Habari zenu Macomrade. Bila Shaka Kila Mmoja anaendelea na Mapambano ya Maisha yake.
Uvccm Ina pande mbili
1. Wapo vijana wazalendo ila ni Waoga.
Hili ni kundi la vijana Wasomi lakini wamejawa...
Rais Samia ameyasema hayo akihutubia kwenye Baraza la Eid ambapo amesema kuna usasa na tunaona ndio maendeleo na ustaarabu, akisema tunatakiwa kwenda na usasa kwa kuendana na tamaduni zetu na...
Nimeshangaa sana leo kukuta Watu kwenye Kijiwe cha Bodaboda wakijadili ripoti ya CAG na kudai hela anayodai Mpina imeibwa na Waziri wa fedha zingetosha kuwanunulia Bajaji Moja moja Bodaboda wote...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba akijibu hoja za Wabunge ndani ya Bunge amejitapa kuwa anajua anachokifanya maana PhD yake ni ya kusomea na siyo kupewa.
Namnukuu
'Hapa tunatisha...
Naona Rais wetu unaamini kukaa meza moja na chadema hasa Mbowe ndio unapata amani ya kuongoza taifa,si kweli kabisa.
Rais Samia unaatakiwa utafute suluhu ya kero za watanzania wengi maskini wenye...
Dear Viongozi,
Ukuaji wa GDP (Gross Domestic Product) haupaswi kutegemea michezo ya kamari au betting. GDP ni kipimo cha thamani ya bidhaa na huduma zote zinazozalishwa katika nchi ndani ya...
Kwa wiki mbili sasa Viongozi wamekuwa wakisisitiza sana sisi Wananchi tuwaombee
Na hapa hata hawawatambui Viongozi wa Dini ndio wawaombee bali siye akina Daudi Mchambuzi
Sasa hawa Viongozi...
Mdawi Ni KIJIJI Kilicho Mkoani Kilimanjaro Wilaya Ya Moshi Vijijini Kata Ya Kimochi.
Ni Kijiji Kongwe Kutokana Na Historia Yake Ambayo Kwa Leo Sitaelezea Historia Hiyo.Ni Kijiji Kinachopakana Na...
Ni siku nyingine Mwenyezi Mungu ametujalia kuiona, tukiwa wazima wa afya na amani ya kutosha. Mungu ni mwema nyakati zote.
Kama ilivyo kawaida, waona mbali huwa hawaeleweki kwa 'matomaso' na hawa...
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa...
Wanabodi,
Tuache siasa, na tusemezane au tuambiane ukweli, iwapo CCM itashinda tena uchaguzi wa mwaka huu, ushindi huo wa CCM, jee utatokana na Watanzania kufanya informed decision kufuatia CCM...
Karibu kufuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 24, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 12.
Mbunge Prof. Shukrani Elisha ameonesha masikitiko kwa Ofisi ya Mkamu wa Rais, Mazingira...
Huyu Nape anaonekana kama kajiniazi fulani. Ana charisma, hata akiongea ni kama anaongea kwa kunata na biti na madaha.
Na kale kamiwani kake, na venye anamkonga samia, basi ni vyema awe Rais wetu...
Kada wa CCM ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wacheza Bao mzee Monday Likwepa amesema hakuna Mwananchi wa Ukonga aliyemtuma Jerry Slaa aiombe Serikal iongeze Bei ya Mafuta
Likwepa amesema ni Tabia...
Kijana mwenzetu akutana na Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, wakati wa ziara yake nchini Tanzania.
Kijana huyu anaitwa Gibson Kawago elimu yake ni Diploma na ni mwanzilishi wa...
Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma aliye nijalia kwa rehma zake mfungo wa Ramadhan salama salimin. ALHAMDULILLAH.
Hoja yangu ya leo ni UAMSHO kwa ndugu zangu waafrika juu ya nadharia ya...
Mwigulu, Nape na January wakati mnashirikuana na Mzee wa Msoga kumpokonya Lowasa Urais mliaminishwa kwamba ninyi nifamilia Bora na mtaendelea kuneemeka na siasa za Tanzania. Lakini Magu...
Na Beatrice Kimaro BBC
Mchambuzi Tanzania
Katika miongo miwili iliyopita, tumeshuhudia uwekezaji mkubwa ukifanywa na Serikali ya Tanzania kwenye miundo mbinu ya usafiri na usafirishaji.
Ukiacha...
Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.
Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini...
Sauti yake, manjonjo yake na mwonekano wake, ni MC mashuhuli, eti leo ni waziri?
Tanzania tuna tabu sana!
Tegemeeni bando kupanda kila uchwao na mitandao kuwa chini zaidi
Hatusemi kwa ubaya, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.