sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,434
- 5,099
Ukiachana na uelewa, kitu kikubwa kinachotutesa Tanzania ni "utengano wa ujumla", watanzania hatuna common ground ambayo itatufanya tu "think and feel" pain or pleasure at the same moment in response to what is happening in the country. Na huo ndio utengano wa ujumla
Tuko more individualized, yaani as long as mtu yeye yake yanamuendea, hawezi kufikiria wengine wengine hayamhusu.
Na hii iko kuanzia wananchi wa chini hadi viongozi wa juu kabisa, na ukiona kiongozi analishikilia jambo sana, wawezakuta kuna maslahi binafsi nyuma yake.
Kwenye nchi kunapokosekama kundi kubwa lililo na umoja madhubuti, ni ngumu kupata watu watakao simama pamoja juu ya jambo fulani,
Kila nikiiangalia Tanzania naona kabisa hakuna kundi lenye umoja madhubuti kuweza kusimia kitu kwa maslahi ya taifa.
Kila mtu anajali yakwakwe, sisemi siasa zenye ukabila Kenya ni nzuri, ila nasema umoja wao unaleta heshima kwa viongozi walio serikalini.
Utengano wa ujumla wa Watanzania ndiyo unafanya kila anaepata nafasi anajipimia.