Baada ya kusuasua kukamilika kwa mradi wa Dege Eco Village kwa thamani ya dola 653 milioni za Marekani (zaidi ya Sh1.3 trilioni), Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lililokuwa...
Tulionya umeme wa maji sio wa uhakika kwa sababu mvua hazitabiriki siku hizi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani.
Umeme wa uhakika ungekuwa ule wa gesi kule kusini.
Lakini watu...
Sijafurahishwa na mfululizo wa kejeli, matusi na majibu dhidi ya Dr. Bashiru mara baada ya yeye kutumia Uhuru wa kikatiba wa kujieleza.
Nafahamu akiwa "mtoto pendwa" awamu ya 5 Dr. Bashiru...
Kwanini mnafanya jambo la nchi kama personal ama family issues?
Unapofail katika jukumu la kitaifa, ukionekana hutoshi mahala kama unajua hilo ni jambo la kitaifa na sio personal basi ni rahisi...
Kwako mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu Hassan tunakuomba sasa ufufue ule mjadala wa nchi kujiunga kwa mkataba wa EPA.
Binafsi naona hakukua na mjadala mpana na wenye tija juu ya nchi kuridhia au...
Huyu mbunge wa Mtera bwana Livingston Lusinde ana kiherehere sana. Ila analiwa timing. Asidhani Kinana, Mkwere, Nape, Makamba sr &jr pamoja na Membe wamemsahau. Enzi za Jiwe aliwatukana sana kwa...
Mungu ni mwema sana sana.
Hivi sasa roho wa uharibifu ameanza kumalizia kazi yake ndani ya CCM, na tukae mkao wa soap series yenye maeneo mengi ya wanaCCM kutafunana wenyewe kwa wenyewe huku...
Ni wazi kwamba watu wenye uroho wa madaraja, wanayataka hata kama eakimeaga damu, ambao walikuwa hawamtaki SSH, na Wana kundi lao dogo sana linaloongozwa na NDULI Bashiru (chasaka wa kisiasa...
Binadamu wenye upeo mdogo na wapendao sifa na kujipendekeza ni wepesi sana kusahau au kushindwa kujifunza kulingana na yanayowatokea huku wakidhani na wengine nao wanavichwa vya kusahau kama wao...
Mijadala mingi katika mitandao yetu ya kijamii inajikita katika kulinda madaraka ya baadhi ya watu.
Mwananchi wa kawaida anakosa majibu ya maswali anayokutana nayo kila siku.
Huyu ana mfukuza...
SUMAYE AREJEA RASMI CCM
Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye leo Februari 10, 2020 ametangaza kurudi Chama cha Mapinduzi (CCM)
Disemba 4, 2019 alitangaza kuachana na CHADEMA huku akidai...
"Kwenye dini tunafundishwa kushukuru. Yeye (Dkt Bashiru Ally) alipaswa kuwa chawa mkuu sababu Ubunge wake unatoka Ikulu (kuteuliwa). Mtu ambaye ugali wake unatokana na Ikulu, anakerekage Ikulu...
Kuna clip ya Kibajaji nimekutana nayo mtandaoni ,eti bajeti ya wizara ya kilimo sasa ni bilioni 950.
Nimejiuliza Kibajaji amechukua figure za maandishi kwenye bajeti ya kilimo au fedha hizo...
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuwa kuna mvutano mkubwa baina ya wakulima na wafugaji mkoani Lindi na Wilaya ya Tunduru kwa kile alichobainisha kuwa ni kukosekana kwa...
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi
Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama...
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa amewaonya wakulima wa Kilosa wasithubutu kumpa jukwaa la kuongea kiongozi aina ya Bashiru
Naye mwenyekiti wa CCM wa Kilosa Mzee Mbaraka amesema Dr Bashiru amepotea Njia...
Kiukweli hii kitu inaitwa Sukuma Gang haikuwa kitu halisi kwa sababu Shujaa Magufuli alikuwa ni Jeshi la Mtu mmoja aliyekamata mihimili yote mitatu.
Magufuli hakuwa na Wapambe ila Watu...
Kwa Sasa kila mwanaccm anasimama na kusema chochote huku huyu akimtisha yule
Najiuliza tu mtatuzi wa migogoro mingi ndani ya Chama alikuwa Mzee Mkapa na Wote walimwogopa
Sasa Mkapa amelala, je...
Katika suala ambalo napenda kuwaasa watanzania wenzangu.
Siasa ni mchezo kama michezo mingine.
Tushindane kwa hoja sio kutishana wala kuwekeana maneno ya ugomvi.
Tujibizane kwa hoja ndio siasa...
Sasa leo wameanza kukiri waenyewe tena wazi wazi kabisa, mwanzoni tuliambiwa sijui wanajiteka wenyewe mara walikua mafisadi.
--
“Wakati wa serikali ya awamu ya tano,tulilalamika hata Bungeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.