Tulia Ackson: Wabunge wengi mnadaiwa kodi na TBA, ukifika muda wa kufukuzwa kwenye hizo nyumba msinifuate mimi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,813
11,991
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 18 leo Mei 4, 2023.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amewataka wabunge Kulipa TBA kodi ya nyumba wanazokaa ili kuiwezesha kutekeleza majukumu yake kabla hawajafukuzwa kwenye nyumba hizo.

Spika Tulia amesema "Mheshimiwa ametaja hoja ya kukaa bure, wabunge wengi mnadaiwa kodi na TBA. Wabunge mnaodaiwa kodi na TBA muilipe TBA ili iweze kufanya majukumu yake. Nasema hivyo sababu nina barua zenu, itakapofika muda wa kufukuzwa huko kwenye majumba msinifuate mimi, nendeni mkalipe ili TBA ifanye kazi yake."
 
ni aibu kwa mbunge anayelipwa fedha kibao halafu anadaiwa na TBA.terrible si wajenge za kwao hayo mamilioni wanayapeleka wapi?kwa sangoma ili wabaki bungeni?
 
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 18 leo Mei 4, 2023.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amewataka wabunge Kulipa TBA kodi ya nyumba wanazokaa ili kuiwezesha kutekeleza majukumu yake kabla hawajafukuzwa kwenye nyumba hizo.

Spika Tulia amesema "Mheshimiwa ametaja hoja ya kukaa bure, wabunge wengi mnadaiwa kodi na TBA. Wabunge mnaodaiwa kodi na TBA muilipe TBA ili iweze kufanya majukumu yake. Nasema hivyo sababu nina barua zenu, itakapofika muda wa kufukuzwa huko kwenye majumba msinifuate mimi, nendeni mkalipe ili TBA ifanye kazi yake."
Wakate direct kwenyevmishahara yao
 
Back
Top Bottom