Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yawezekana Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uongozi wake ukawa ndio uongozi ambao umetoa mwanya kwa kila kiongozi wa ngazi yoyote ile kuonyesha uwezo...
0 Reactions
2 Replies
952 Views
Na Bwanku M Bwanku. Leo Alhamisi Mei 04, 2023 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ni mgeni rasmi na atafungua mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Baraza la Michezo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya "video" na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Michezo katika Kanda ya IV ya Afrika (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV)...
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Hatua ya Rais Samia Suluhu kutoweka wazi kiwango cha nyongeza za mishahara ya wafanyakazi katika siku kuu ya Mei Mosi imewaibua wachambuzi wa Siasa na uchumi, ambao wanaona kwamba hatua hiyo...
1 Reactions
0 Replies
463 Views
Abdul Nondo amesema hakuna mtu mwenye Hati miliki ya Jimbo hivyo 2025 atakwaana na boss wake Zitto Kabwe Kwenye kura za Maoni ACT Wazalendo kugombea Ubunge Kigoma mjini Sasa ndugu zangu wa...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
MHE. HAMAD CHANDE (NAIBU WAZIRI FEDHA) - BAJETI ZITAZINGATIA JINSIA Serikali imeeleza kuwa Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya mwaka 2023/24 umetoa maelekezo kwa Maafisa Masuuli...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
MILIONI 16 ZACHANGIA UJENZI WA ZAHANATI 13 JIMBO LA BAHI, DODOMA Mbunge wa Jimbo la Bahi Mhe. Kenneth Nollo tarehe 03 Mei, 2023 alifika Kijiji cha Mapinduzi Kata ya Kigwe kwa lengo la kutembelea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeendelea na juhudi mbalimbali za kuhamasisha na kuvutia uwekezaji nchini. Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara...
0 Reactions
0 Replies
405 Views
Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inazidi kuboresha huduma za afya kwa wananchi na kuanzia sasa akina mama wajawazito wanaofika kwenye kliniki za uzazi na zile za...
2 Reactions
2 Replies
628 Views
Mimi ni miongoni mwa walioamini kwamba Kambaya ameingia Chadema kwa Malengo maalum, na nilitarajia kwamba baada ya muda fulani atarudi alikotoka, sema sikudhani kwamba ataondoka haraka namna hii...
19 Reactions
48 Replies
3K Views
Watanzania tulio wengi kwa Imani kubwa tulimchagua Shujaa Magufuli 2015 kuwa Rais wetu Uchapa kazi wake ukasababisha CCM ishinde Majimbo ya Uchaguzi kwa 99% na ndio Wabunge aliotuachia Shujaa...
1 Reactions
6 Replies
522 Views
Km mtakavyokumbuka tarehe moja mwezi huu wa 5 ilikuwa sikukuu ya wafanyakazi duniani yaani mei mosi. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndiye aliyekuwa mgeni rasmi. Wakati wa hutba zake...
0 Reactions
3 Replies
614 Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 18 leo Mei 4, 2023. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amewataka wabunge Kulipa TBA kodi ya nyumba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika Nchi zilizoendelea wizara ya kazi ni wizara muhimu Sana. Kwasababu inatakiwa kusimamia haki za wafanyakazi katika sekta zote. Ili hao wanaofanya kazi waweze kulipa kodi Kwa kila kazi ambayo...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Watawala hawajui hiki kitu. Wanawakumbatia sana Chawa pasipo kugundua siku wakifa wale Chawa huangalia binadamu mwingine mwenye hali ya kuwakaribisha anahamia huko. Kama huamini Rais wa sasa...
0 Reactions
3 Replies
563 Views
JK amteua Zitto Kamati ya Madini MWANDISHI WETU Dar es Salaam RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Jaji Mark Bomani na kuongoza Kamati ya Kuangalia upya Mikataba ya Madini...
0 Reactions
213 Replies
26K Views
TANGAZO MUHIMU Mwaliko wa kushiriki Mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Sweden utakaofanyika Tarehe 9 Mei hadi 11 Mei 2023 Nchini Sweden.
0 Reactions
1 Replies
457 Views
Kwa chama cha siasa duniani kinahitaji mtaji wa wanachama ili kiweze kushinda uchaguzi. CHADEMA sasa imekuja na mkakati wa kijasusi kwenye kukiimarisha chama na kuongeza mapana ya chama chetu...
0 Reactions
3 Replies
506 Views
Habari wana JF Binafsi sina shaka na Uwezo wa Rais Samia katika kuongoza taifa. Tatizo liko wananchi na viongozi wa chini ambao ni washauri. 1. WANANCHI hawa hisia imetawala akili hivyo kuna...
1 Reactions
7 Replies
788 Views
Raila Odinga (baba) atakuwapo barabarani leo 0600 kwenye maandamano yaliyoitwa haramu na serikali huko. Kwamba: 1. Wana ujumbe wao kupeleka ikulu 2. Wana ujumbe wao kupeleka hazina 3. Wana ujumbe...
8 Reactions
65 Replies
4K Views
Back
Top Bottom