Na nyie CHADEMA Wagombea wenu wa Ubunge ni hao hao kila Mwaka? Abdul Nondo kumvaa Zitto Ujiji 2025!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Abdul Nondo amesema hakuna mtu mwenye Hati miliki ya Jimbo hivyo 2025 atakwaana na boss wake Zitto Kabwe Kwenye kura za Maoni ACT Wazalendo kugombea Ubunge Kigoma mjini

Sasa ndugu zangu wa Chadema Wagombea wenu ni wale wale miaka nenda rudi, badilikeni kwa mfano Mbeya mjini siyo lazima agombee Sugu au Iringa mjini siyo lazima agombee mchungaji Msigwa

Ni hayo tu!
 
Kama ndivyo mwambie Kasim Majaliwa asigombee ubunge jimboni kwake Ruangwa, pamoja na Tulia Akson naye asigombee Mbeya mjini.
 
Abdul Nondo amesema hakuna mtu mwenye Hati miliki ya Jimbo hivyo 2025 atakwaana na boss wake Zitto Kabwe Kwenye kura za Maoni ACT Wazalendo kugombea Ubunge Kigoma mjini

Sasa ndugu zangu wa Chadema Wagombea wenu ni wale wale miaka nenda rudi, badilikeni kwa mfano Mbeya mjini siyo lazima agombee Sugu au Iringa mjini siyo lazima agombee mchungaji Msigwa

Ni hayo tu!
Pumbavu, Nondo ashindane na "Mungu" wake? Hiyo ilikuwa ni gheresha kuzuga eti kuna demokrasia. Huwezi kushindana na AYATOLLAH
 
Hii ni kazi yenu mitandaoni? Au unajituma tu kwasababu umemaliza kupika ubwabwa saa hizi. Huwa sijaelewa mentality ya huu ujinga wa waTz mitandao hasa kwenye siasa.

Ujingaujinga tu.
 
Abdul Nondo amesema hakuna mtu mwenye Hati miliki ya Jimbo hivyo 2025 atakwaana na boss wake Zitto Kabwe Kwenye kura za Maoni ACT Wazalendo kugombea Ubunge Kigoma mjini

Sasa ndugu zangu wa Chadema Wagombea wenu ni wale wale miaka nenda rudi, badilikeni kwa mfano Mbeya mjini siyo lazima agombee Sugu au Iringa mjini siyo lazima agombee mchungaji Msigwa

Ni hayo tu!
Nondo hamuwezi Zitto.
 
Back
Top Bottom