CHADEMA na mbinu za medani kisiasa

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,925
95,203
Kwa chama cha siasa duniani kinahitaji mtaji wa wanachama ili kiweze kushinda uchaguzi.

CHADEMA sasa imekuja na mkakati wa kijasusi kwenye kukiimarisha chama na kuongeza mapana ya chama chetu.

Wanawake ktk siasa za Afrika ndiyo mtaji mkubwa sana hasa kwenye kufanya hamasa na kwenye kujitokeza kupiga kura.

CHADEMA imekuwa ikiongeza sana idadi ya wanachama hasa akina mama ili kuweza kuenenda na mkakati halisi wa kushinda huu mchezo.

Hongereni sana wana CHADEMA wote na uongozi mkuu wa CHADEMA.

Hapa chini ni wana CHADEMA wilaya ya Nachingwea ambako muamko wa siasa za upinzani zilikuwa ni almost ni 0 kipindi cha nyuma.

 
Back
Top Bottom