Rais Samia amezuia mfumuko wa bei

Rais Samia amezuia mfumuko wa bei

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,441
Reaction score
1,050
Hatua ya Rais Samia Suluhu kutoweka wazi kiwango cha nyongeza za mishahara ya wafanyakazi katika siku kuu ya Mei Mosi imewaibua wachambuzi wa Siasa na uchumi, ambao wanaona kwamba hatua hiyo imelenga kuwalinda walaji dhidi ya mfumuko wa bei.

Hongera sana Rais Samia Suluhu kwa kuwa na maono ya mbali na kujali wananchi hasa wale wenye kipato kidogo maana ongezeko hilo lingeongeza mfumuko wa bei ambao ungewaasili zaidi watu wenye uwezo mdogo.

 
Back
Top Bottom