Habari wana JF
Binafsi sina shaka na Uwezo wa Rais Samia katika kuongoza taifa. Tatizo liko wananchi na viongozi wa chini ambao ni washauri.
1. WANANCHI hawa hisia imetawala akili hivyo kuna...
Raila Odinga (baba) atakuwapo barabarani leo 0600 kwenye maandamano yaliyoitwa haramu na serikali huko. Kwamba:
1. Wana ujumbe wao kupeleka ikulu
2. Wana ujumbe wao kupeleka hazina
3. Wana ujumbe...
Kama ushirikiano ungeweza kukuzwa zaidi katika EAC, ingekuwa ni jawabu kwa matatizo ya usalama yaliyopo DRC au South Sudan na Somalia. Hata Kenya sasa hivi kuna instability because of our...
Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na akiwa Afrika ya Kusini, Mbowe Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Vyama vya Demokrasia Afrika (DUA), ametoa wito huo nchini...
Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je?
Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana ameongoza mchapalo maalumu ulioandaliwa kwa ajili Mawaziri wa Michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya Nne (AUSC)...
Hatushangai sana kwa uduni wa Bunge la sasa. Kwa vyovyote inatokana na namna lilivyopatikana, na pia inatokana na ubaya wa katiba tuliyo nayo.
Bunge hili la sasa, halina faida yoyote kwa yeyote...
Wewe ulikuwa Waziri wa Mifugo, ukafanya yako tukakuona. Tuambie uliyemkabidhi ofisi, anafuata yako au anatekeleza yake kwa mujibu wa Katiba?.
Kushinikiza na kutaka ya mtu fulani yaendelezwe ni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) leo tarehe 01 Mei, 2023 mkoani Morogoro.
Rais amewasili uwanjani...
Alikuwa anapiga kelele kupaza sauti yake juu ya shida alizo nazo.
Ameamuru atolewe maana anasababisha mtafaruku.
Enzi za JIWE angesikilizwa na huenda alikuwa na hoja
SIJAPENDA
Zanzibar Kuna Waziri anaitwa Hamza, hakuna anayemjua hasa bara, ametumwa ajenda ya kutikisa Muungano. Anatoa maneno ya chokochoko ili kutibua maji ya kisima.
Namshauri aliyemtuma ajitokeze, kwa...
Ama hakika majuto ni mjukuu..! Tunajuta kukusajili Pogba, tumejichanga sana kupata hela ya kukusajili kipindi kile tukitegemea utakuja kuipa timu mafanikio......tulipigana kwa jasho na damu kupata...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Mei, 2023.
Kwa kuwa kila anayesimama anasema tutamuenzi kiongozi wetu Hayati JPM, basi waziri wa ujenzi na yule wa fedha msije kusahau kuwa kabla ya umauti kumkuta mzee wetu alikuwa ameagiza TANROAD kuanza...
Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita
Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini
Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini...
Binafsi sielewi kabisa sababu za Wabunge kupigania Majimbo yao yagawanywe ikiwa hatuna mfano bora wa maendeleo katika jimbo dogo.
Kwanza, Vigezo vyote vilivyowekwa ndani ya Katika ya JMT...
SUBIRA MGALU ATOA ELIMU YA MLIPAKODI CHALIZNE MKOA WA PWANI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ambaye ni Balozi wa kuhamasisha kulipa kodi tarehe 2 Mei, 2023 aliwahamasisha...
Msiojua kingereza mnisamehe
Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape...
Nikweli Uchumi wa Dunia umetikiswa na kushuka kutokana na vita vya wenzetu huko ulaya. Lakini Mimi napata tabu kidogo kama mtu ninaye elewa uchumi kama Taifa tunakosea na tunakoelekea uwenda kama...
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay alisema Milembe aliuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana.
Huyu mama Mkoa wa Geita umemshinda 100%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.