Kambaya amekimbia CHADEMA baada ya njama zake kubainika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,901
Reaction score
287,998
Mimi ni miongoni mwa walioamini kwamba Kambaya ameingia Chadema kwa Malengo maalum, na nilitarajia kwamba baada ya muda fulani atarudi alikotoka, sema sikudhani kwamba ataondoka haraka namna hii.

Nawashukuru sana Viongozi wa Chadema, ambao tangu mwanzo tulipowastua kuhusu njama ya Kambaya walitusikiliza na kuzifanyia kazi taarifa zetu juu ya mtu huyu , ila wakasema mwacheni aje (Hatuwezi kuanika kila kitu humu JF), Lakini watu wa serikali wanawezaje kumtumia mtu kama Kambaya ili kuhujumu Chadema? mbona hana uwezo huo !

Kiufupi ni kwamba Kambaya Amekimbia mwenyewe baada ya njama zake kubainika, alipanga afanye uasi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, ila baada ya yeye mwenyewe kugundua kwamba CHADEMA haiwezekani akaamua kuendelea na biashara zake huko soko la Tandale.

Kwa wasiomfahamu Kambaya ni hivi , huyu jamaa ni mmachinga anayehusika na biashara za matunda , yaani matikiti, nyanya, karoti, vitunguu na machungwa kwenye soko la Tandale, ndio maana baada ya kujenga nyumba ya ghorofa baadhi ya wadau walihoji alikopata hela, si rahisi kujenga jengo la bei ghali ikiwa wewe ni muuza matikiti wa soko la Tandale.

Tuliwahi kuonya huko nyuma humu humu jf kwamba CHADEMA AIHUJUMIKI NA KAMA UMEKULA HELA ZA WATU ILI UFANYE HUJUMA NI VEMA UKAREJESHA HELA HIZO ZA WATU ILI USIDHALILIKE.
 
Maswali yangu ni haya: Does That mean CCM or for that matter Rais Samia bado anafanya upuuzi huu wa Magufuli?

Does Rais Samia disburse funds for this nonsense?

Who is behind this? I believe Rais is not aware of this!
 
Mimi ni miongoni mwa walioamini kwamba Kambaya ameingia Chadema kwa Malengo maalum, na nilitarajia kwamba baada ya muda fulani atarudi alikotoka, sema sikudhani kwamba ataondoka haraka namna hii .

Nawashukuru sana Viongozi wa Chadema, ambao tangu mwanzo tulipowastua kuhusu njama ya Kambaya walitusikiliza na kuzifanyia kazi taarifa zetu juu ya mtu huyu , ila wakasema mwacheni aje (Hatuwezi kuanika kila kitu humu JF) , Lakini watu wa serikali wanawezaje kumtumia mtu kama Kambaya ili kuhujumu Chadema? mbona hana uwezo huo !

Kiufupi ni kwamba Kambaya Amekimbia mwenyewe baada ya njama zake kubainika, alipanga afanye uasi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, ila baada ya yeye mwenyewe kugundua kwamba CHADEMA haiwezekani akaamua kuendelea na biashara zake huko soko la Tandale.

Kwa wasiomfahamu Kambaya ni hivi , huyu jamaa ni mmachinga anayehusika na biashara za matunda , yaani matikiti , nyanya , karoti , vitunguu na machungwa kwenye soko la Tandale , Ndio maana baada ya kujenga nyumba ya ghorofa baadhi ya wadau walihoji alikopata hela , si rahisi kujenga jengo la bei ghali ikiwa wewe ni muuza matikiti wa soko la Tandale.

Tuliwahi kuonya huko nyuma humu humu jf kwamba CHADEMA AIHUJUMIKI NA KAMA UMEKULA HELA ZA WATU ILI UFANYE HUJUMA NI VEMA UKAREJESHA HELA HIZO ZA WATU ILI USIDHALILIKE.
Kambaya amekuzidi akili sio mwana maridhiano ya kipuuzi,akalie maridhiano pesa wale kina mbowe na genge lake

USSR
 
Mimi ni miongoni mwa walioamini kwamba Kambaya ameingia Chadema kwa Malengo maalum , na nilitarajia kwamba baada ya muda fulani atarudi alikotoka , sema sikudhani kwamba ataondoka haraka namna hii .

Nawashukuru sana Viongozi wa Chadema , ambao tangu mwanzo tulipowastua kuhusu njama ya Kambaya walitusikiliza na kuzifanyia kazi taarifa zetu juu ya mtu huyu , ila wakasema mwacheni aje (Hatuwezi kuanika kila kitu humu JF) , Lakini watu wa serikali wanawezaje kumtumia mtu kama Kambaya ili kuhujumu Chadema ? mbona hana uwezo huo !

Kiufupi ni kwamba Kambaya Amekimbia mwenyewe baada ya njama zake kubainika , alipanga afanye uasi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 , ila baada ya yeye mwenyewe kugundua kwamba CHADEMA haiwezekani akaamua kuendelea na biashara zake huko soko la Tandale .

Kwa wasiomfahamu Kambaya ni hivi , huyu jamaa ni mmachinga anayehusika na biashara za matunda , yaani matikiti , nyanya , karoti , vitunguu na machungwa kwenye soko la Tandale , Ndio maana baada ya kujenga nyumba ya ghorofa baadhi ya wadau walihoji alikopata hela , si rahisi kujenga jengo la bei ghali ikiwa wewe ni muuza matikiti wa soko la Tandale

Tuliwahi kuonya huko nyuma humu humu jf kwamba CHADEMA AIHUJUMIKI NA KAMA UMEKULA HELA ZA WATU ILI UFANYE HUJUMA NI VEMA UKAREJESHA HELA HIZO ZA WATU ILI USIDHALILIKE.
Kila mwenye akili alijua huyu katumwa na wahafidhina wa CCM na ndiyo maana alitengwa 'kimtindo' hadi waliomtuma wakagundua kuwa tumemstukia ndiyo wakamfanyia hiyo press ya mchongo ya kujitoa.
 
mmachinga anayehusika na biashara za matunda , yaani matikiti , nyanya , karoti , vitunguu na machungwa kwenye soko la Tandale

kujenga nyumba ya ghorofa

si rahisi
Ninasema hivi, Wananchi chagueni kwa umakini 2025.
Natoka nje ya mada,Imenilazimu. Ni kwamba....

Haya matusi ambayo maharamia huwa wanawabebesha na kuwamezesha CHADEMA ita wakosti sana. Hizi ni zile Mwenyekiti alizoziita propaganda za kitoo. (Pamoja na kuwa natofatiana sana na ajenda za Chadema, kwa hizi propaganda naungana na Mbowe) Mie naziita...ni

Matusi dhidi ya Jamii ya Mtanzania na Mwafrika kwa Ujumlaz.

Kama kweli huu ndio mtazamao wa UONGOZI wa CHADEMA na CHADEMA digital basi CHADEMA imeishiwa. Kuna wakati unafika na kuanza kudadavua vizuri lengo kuu la hawa wanaojiita wakombozi. Ni kuwa Hatuwezi. Ni Fikra za Mkoloni mamboleo. Kitaeleweka.

Kwa kweli hizo sio fikra za kiafrika na wala sio fikra za kujenga mtu yeyote yule anayetaka kujikwamua kiuchumi kwa shughuli halali

This is wrong..
 
Kambaya amekuzidi akili sio mwana maridhiano ya kipuuzi,akalie maridhiano pesa wale kina mbowe na genge lake

USSR
Sasa yeye afaidi maridhiano wakati Chadema inasulubiwa na mwehu wa chato yeye na basha wake lipumbavu si walikuwa wanakula ruzuku ya CUF waliyohongwa na magumashi kupitia msajilili Mtungi hadi akajenga lile kasri lake.
 
Mimi ni miongoni mwa walioamini kwamba Kambaya ameingia Chadema kwa Malengo maalum, na nilitarajia kwamba baada ya muda fulani atarudi alikotoka, sema sikudhani kwamba ataondoka haraka namna hii.

Nawashukuru sana Viongozi wa Chadema, ambao tangu mwanzo tulipowastua kuhusu njama ya Kambaya walitusikiliza na kuzifanyia kazi taarifa zetu juu ya mtu huyu , ila wakasema mwacheni aje (Hatuwezi kuanika kila kitu humu JF), Lakini watu wa serikali wanawezaje kumtumia mtu kama Kambaya ili kuhujumu Chadema? mbona hana uwezo huo !

Kiufupi ni kwamba Kambaya Amekimbia mwenyewe baada ya njama zake kubainika, alipanga afanye uasi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, ila baada ya yeye mwenyewe kugundua kwamba CHADEMA haiwezekani akaamua kuendelea na biashara zake huko soko la Tandale.

Kwa wasiomfahamu Kambaya ni hivi , huyu jamaa ni mmachinga anayehusika na biashara za matunda , yaani matikiti, nyanya, karoti, vitunguu na machungwa kwenye soko la Tandale, ndio maana baada ya kujenga nyumba ya ghorofa baadhi ya wadau walihoji alikopata hela, si rahisi kujenga jengo la bei ghali ikiwa wewe ni muuza matikiti wa soko la Tandale.

Tuliwahi kuonya huko nyuma humu humu jf kwamba CHADEMA AIHUJUMIKI NA KAMA UMEKULA HELA ZA WATU ILI UFANYE HUJUMA NI VEMA UKAREJESHA HELA HIZO ZA WATU ILI USIDHALILIKE.
Acha uzushi. Kambaya anafanya biashara ya magari na spear zake na Ofisi yake iko ilala karibia na boma opposite na magorofa yale.
 
Ninasema hivi, Wananchi chagueni kwa umakini 2025.
Natoka nje ya mada,Imenilazimu. Ni kwamba....

Haya matusi ambayo maharamia huwa wanawabebesha na kuwamezesha CHADEMA ita wakosti sana. Hizi ni zile Mwenyekiti alizoziita propaganda za kitoo. (Pamoja na kuwa natofatiana sana na ajenda za Chadema, kwa hizi propaganda naungana na Mbowe) Mie naziita...ni

Matusi dhidi ya Jamii ya Mtanzania na Mwafrika kwa Ujumlaz.

Kama kweli huu ndio mtazamao wa UONGOZI wa CHADEMA na CHADEMA digital basi CHADEMA imeishiwa. Kuna wakati unafika na kuanza kudadavua vizuri lengo kuu la hawa wanaojiita wakombozi. Ni kuwa Hatuwezi. Ni Fikra za Mkoloni mamboleo. Kitaeleweka.

Kwa kweli hizo sio fikra za kiafrika na wala sio fikra za kujenga mtu yeyote yule anayetaka kujikwamua kiuchumi kwa shughuli halali

This is wrong..
Usaliti ni laana
 
Maswali yangu ni haya: Does That mean CCM or for that matter Rais Samia bado anafanya upuuzi huu wa Magufuli?

Does Rais Samia disburse funds for this nonsense?

Who is behind this? I believe Rais is not aware of this!
kuna wahafidhina wengi sana huko ccm na kwingineko ambao hawakubaliani na mambo yanavyokwenda
 
Sababu ya siasa ndo umeamua kutukana wauza matunda wotee??

Una uhakika hakuna muuza matunda anaweza Jenga ghorofa??
Binafsi ningependa kupata mfano wa mtu kama huyo kwa hapa Tanzania. Siyo kwamba haiwezekani, lakini kwa hali ilivyo hapa, biashara ya namna hiyo haimwezeshi mtu kuwa na uwezo huo. Hata kwa kukopa kwa kutegemea pato la biashara hiyo si rahisi.

Lakini hapo hapo tujiridhishe ni ghorofa la namna gani hilo linalozungumziwa?
 
Back
Top Bottom