Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 613
JK amteua Zitto Kamati ya Madini
MWANDISHI WETUDar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Jaji Mark Bomani na kuongoza Kamati ya Kuangalia upya Mikataba ya Madini, ikijumuisha wabunge wawili wa upinzani na wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM).
Taarifa ya Ikulu iliyosainiwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo, imewataja wabunge wa upinzani waliomo katika kamati hiyo kuwa ni pamoja na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, kupitia Chadema, Zitto Kabwe na Mbunge wa Bariadi Mashariki, Chadema, John Cheyo.
Kwa upande wa CCM wabunge walioteuliwa yumo Dk. Harrison Mwakyembe wa Kyela na Ezekiel Maige wa Msalala. Wajumbe wengine wametajwa kuwa ni pamoja na Peter Machunde wa Soko la Hisa la Dar es Salaam, David Tarimo wa PriceWater Coopers na Maria Kejo wa Wizara ya Sheria na Katiba.
Wengine ni Mwanasheria wa Wizara ya Nishati na Madini, Salome Makange, Mugisha Kamugisha kutoka Wizara ya Fedha na Edward Kihundwa, ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Makazi, Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi.
Teuzi na tenguzi nyingine
- Rais Kikwete amteua Bi. Juliet Rugeiyamu Kairuki kuwa mkurugenzi mtendaji wa TIC
- Rais Kikwete afanya uteuzi mpya tume ya utumishi na usuluhishi
- Rais Kikwete afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu watano wapya
- Rais Kikwete afanya uteuzi katika Mahakama nchini
- Ikulu: Rais Kikwete hajalidharau Bunge (Uteuzi TANESCO)
- Rais Kikwete aombwa kulivunja tena baraza lake la mawaziri
- Rais Kikwete Ateua Makatibu Tawala wa Mikoa
- Uteuzi wa wakuu wa mikoa na wilaya wavuja, Luhanjo atengeneza mtandao wake
- Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao
- Rais Kikwete amteua Natu Rashid Msuya, kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wadhamini PTF
- Rais Kikwete amtimua Mwenyekiti wa Bodi Bandari
- Rais Kikwete ateua wakuu wapya wa mikoa
- Kikwete atema Mawaziri 60 Katika Urais Wake hadi sasa!
- Uteuzi wa Manaibu Makatibu Wakuu wa Wizara
- JK amteua Prof. Idriss Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya TIRDO
- Rais Kikwete amteua Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai (DCI)
- Rais Jakaya Kikwete amteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama
- Rais Kikwete amteua Shaban Lila kuwa Jaji Kiongozi
- Rais Kikwete amteua Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi mpya wa mashtaka (DPP)
- Kikwete amteua Prof. Peter Msolla kuwa Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais
- Rais Kikwete amteua bwana Abdul Sisco kuwa Balozi
- Rais Kikwete amemteua Mtendaji Mpya wa Mamlaka ya Rufaa ya Zabuni
- Kikwete amteua Daudi Felix Ntibenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha
- Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wasaidizi wake wawili
- Rais Kikwete amemteua Bwana Willy Kitima kuwa Msaidizi wa Rais Nyaraka
- Rais Kikwete ateua Makatibu wa Wizara!
- Rais Kikwete amteua Zitto Kabwe Kamati ya Madini
- Rais Kikwete amteua Victoria Richard Mwakasege kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi
- Rais Kikwete amteua Alan Kijazi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA)
- Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge
- Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh
- Rais Kikwete amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
- Kikwete amteua Dr. Mighanda Manyahi Mwenyekiti Bodi ya TANESCO
- Rais Kikwete amemteua Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, awahamisha wengine
- Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili
- Rais Kikwete amemteua Pius Msekwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi
- Kikwete amteua Batilda Salha Burian kuwa balozi wa Tanzania nchini Japan
- Baada ya Salva kuondoka Ikulu, Premi Kibanga naye afungishwa virago!
- Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM