Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini...
8 Reactions
39 Replies
5K Views
Binafsi sielewi kabisa sababu za Wabunge kupigania Majimbo yao yagawanywe ikiwa hatuna mfano bora wa maendeleo katika jimbo dogo. Kwanza, Vigezo vyote vilivyowekwa ndani ya Katika ya JMT...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
SUBIRA MGALU ATOA ELIMU YA MLIPAKODI CHALIZNE MKOA WA PWANI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ambaye ni Balozi wa kuhamasisha kulipa kodi tarehe 2 Mei, 2023 aliwahamasisha...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Msiojua kingereza mnisamehe Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape...
15 Reactions
56 Replies
3K Views
Nikweli Uchumi wa Dunia umetikiswa na kushuka kutokana na vita vya wenzetu huko ulaya. Lakini Mimi napata tabu kidogo kama mtu ninaye elewa uchumi kama Taifa tunakosea na tunakoelekea uwenda kama...
2 Reactions
6 Replies
757 Views
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay alisema Milembe aliuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana. Huyu mama Mkoa wa Geita umemshinda 100%...
6 Reactions
60 Replies
6K Views
Kutokana bungeni Dodoma! Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi mkoani Kagera Mhandisi Ezra Chiwelesa ameishauri serikali kuanzisha taasisi rasmi za kusimamia sekta ya mifugo pamoja na uvuvi ili...
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD ndiye Waziri wa Fedha Kijana ukimlinganisha na waliomtangulia tangu Mfumo wa Vyama vingi uanze. Matarajio ya Wananchi ni makubwa kwamba atatutoa kwenye Uchumi wa...
2 Reactions
7 Replies
772 Views
Gwajima amekomalia sana na huwa anapenda kurudia kila mara hii hoja yake mufilisi ya nchi kufanya mipango ya miaka 50. Bahati mbaya sana huwa naoana akiiongea kwa ujasiri na kushangiliwa na watu...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Miaka 30 ya Maadhimisho ya Uhuru wa vyombo vya habari; Vikwazo na wajibu wa kiukombozi wa vyombo vya habari. Utangulizi Leo tarehe 3 Mei 2023 ni siku ya maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari...
0 Reactions
2 Replies
678 Views
Najiuliza tangu Prof.Ndalichako ateuliwe kuwa waziri wa elimu ni kitu gani amekifanya chenye kuboresha "quality" ya elimu Tanzania? Nakumbuka alibadili kutoka GPA system kwenda Grade systems. Hii...
23 Reactions
189 Replies
19K Views
Habari Jf ,Ni aibu kuona nchi kama Tanzania baada ya miaka 60 ya Uhuru bado ina changamoto nyingi sana ambazo hazitakiwa kuwepo ,kibaya zaidi bado CCM inaendelea tu kuwepo madarakani. Kwa kifupi...
1 Reactions
7 Replies
770 Views
Sasa ni Dhahiri kwamba, CCM inafahamu kwamba mbele ya Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi haiwezi kushinda uchaguzi wowote ule. Huko Twitter ameonekana Hamis Kigwangwala akimwaga chozi na...
14 Reactions
32 Replies
4K Views
Mtu yule huenda kama angepata watu wa kumsikiliza kabla na au baada ya kupelekwa gerezani. Yawezekana alikuwa na ushuhuda mkubwa sana juu ya alichokuwa ameoteshwa kuhusu madhara ya lile Genge la...
20 Reactions
83 Replies
7K Views
Jambo Jambo? Hivi kwa mwenendo wa uhalifu Geita na huyu RPC mwanamama Safia Jongo, ni wazi kabisa toka mwezi wa kwanza(Januari) mpaka hii leo nani hajui kuwa Geita ni pa moto. Juzi tu hapa...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Naona huyu mkulima amelipwa na anatumika kuzuia kile kinachoitwa muingiliano wa mihimili ya dola bunge, mahakama na serikali hapa: 1.Serkali imepeleka hoja ya wizi wa trillioni 3+ bungeni ili...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanabodi, Naangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na kituo Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi, mmoja wa waalikwa katika kipindi cha Leo, ni mwandishi nguli...
63 Reactions
335 Replies
45K Views
Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila...
7 Reactions
158 Replies
14K Views
Baada ya kusikiliza hotuba ya rais siku ya wafanyakazi, niligundua tumefanywa wajinga tena kwa kuahidiwa kitu ambacho hakipo. Hivi hatuwezagi kuandaa maandamano ya kupinga uongo wa wanasiasa...
4 Reactions
9 Replies
484 Views
Tunashuhudia viongozi wetu wa Afrika kukumbukwa mara baada ya kupoteza maisha, lakini kwa Chato imekuwa kama tofauti sana, Thomas Sankara leo kuna watu wanatamani kumzika upya, kwa sababu ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom