Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutokana na uhitaji wa mifumo ya kisasa ya taaluma na utoaji wa ajira, ninashauri pawepo na mfumo wa kidijitali wa upatikanaji wa vyeti vya elimu (accessibility) ambao utaunganishwa na taasisi...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Rais Magufuli ni Rais shupavu na mwenye kujiamini. Ni wazi na inaonekana, wala sio swala la kujadili. Kwanza niseme tu, binafsi ninahusudu Kiongozi anayezungumza na kutenda kwa MAMLAKA. Rais...
9 Reactions
56 Replies
4K Views
Nawakumbusha Chadema wazee wa Mwambukusi kwamba Rais Samia atatoa mbolea ya ruzuku Kwa wakulima Hadi mwaka 2025. Sio tuu mbolea ya ruzuku Bali kuanzia msimu wa mwaka ujao mbolea inaenda kushuka...
4 Reactions
92 Replies
4K Views
Muda unaonesha ukombozi wa Tanzania kutoka mikononi mwa mafisadi, wabadhilifu wa mali za umma, siasa za majitaka za CCM ni sasa. Nchi ya Tanzania inahitaji ukombozi kutoka kwenye mikono ya Watu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwenye siasa za kidemokrasia, kuongelewa vibaya ni jambo la kawaida sana. Ni jambo la kutegemewa. Kama kuna ambao hawaridhishwi na utendaji wako wa kazi, basi watu hao wana haki zote za...
8 Reactions
21 Replies
1K Views
Hapa nazungumzia sayansi ya siasa sizungumzii uzuri au ubora wa sera za chama. Mfano wamefanikia kuwaaminisha umma kuwa Raisi Ni mpole na msikivu na ameleta malidhiano na kuruhusu mikutano ya...
1 Reactions
15 Replies
969 Views
Kuna clip naiona ikionesha mahojiano ya Salim Kikeke na mama wa Taifa. Salim alimuuliza mama tutegemee lini katiba mpya. Mama akajibu majibu fulani ya kufarakanisha.
4 Reactions
91 Replies
9K Views
Hitaji la juu la sarafu ya dola na kushuka kwa hitaji la sarafu ya shilingi inatupa picha ya kushuka kwa thamani ya shilingi,kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania kiuhalisia kunaongeza...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mambo yanayoendelea sasa hivi hapa nchini ambayo siyaelewi kabisa. Inapotokea mtu maarufu anapomkosoa huyu rais wetu hadharani au inapotokea hata mtu tu wa kawaida akafanya au kusema kitu...
46 Reactions
243 Replies
19K Views
Naandika mimi Rashda Zunde✍️ Tupo katika Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu, awamu ambayo ni tulivu, huru na demokrasia imetawala na mpaka dunia inatambua kwamba sasa...
-1 Reactions
19 Replies
1K Views
Viongozi wa vyama vya siasa wamekemea tabia ya baadhi ya Wanasiasa wanaotumia vibaya fursa ya mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kutoa lugha za matusi, udhalilishaji na kupandikiza chuki...
0 Reactions
8 Replies
982 Views
Ukija uchaguzi wa uhuru na haki mwaka 2025 nawaambia huyo kiongozi wetu kupata ushindi hata wa asilimia 20 sidhani. Tatizo lake hasomi alama za nyakati nchi inanuka ufisadi kila mahali gharama za...
24 Reactions
78 Replies
5K Views
Gari la Serikali la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu lenye namba za usajili DFP. 9182 likitumiwa na Afisa Biashara Mkoa wa Simiyu, Mustafa Kimomwe (ambaye pia ni Afisa Ushirika) na maafisa wenzake...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Watu wakiishiwa hoja, husingizia jinsia ama dini! Lissu sifahamu kama ni Mkristo ama dini gani. Ninachojua Tundu Lissu kwake suala la dini, ni la mtu na Mungu wake na siyo Tanzania inajisiwe na...
11 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni nadra Sana kuona Mikutano ya CHADEMA wamealika wasanii Ili kubusti mahudhurio sana utakuta Sugu au Prof Jay ndio wanachana mistari. Au Wasanii wote ukimtoa Ney wa Mitego na Roma Mkatoliki ni...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna tofauti kubwa sana kati majukwaa anayotumia Lissu na Mbowe je kuna ubaguzi….? Lissu ni Makamu Mwenyekiti wa chama lakini mikutano yake imekuwa haiandaliwi kwa hadhi pengine kukosa watu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Shabiby ametoa...
37 Reactions
205 Replies
16K Views
Ndiyo huitaji mwanasheria wala Waziri kukupa maelekezo kibao kukuaminisha kuwa eti Dubai ni state kama ilivyowekwa kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai. Nenda google tu andika "Dubai is a state?"...
0 Reactions
5 Replies
935 Views
02 August 2023 Mganza, wilaya ya Chato Tanzania Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ameongea na wananchi wa Mganza Chato. Asikiliza vilio vya wavuvi na wafugaji vya wananchi wa eneo hili...
2 Reactions
0 Replies
332 Views
Wakuu natanguliza Salamu . Baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja . Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza , kwenye nchi yetu ya Tanzania , ni yupi hasa mwenye mamlaka ya kuamuru kutekwa...
11 Reactions
73 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…