Tundu Lissu akutana na wananchi wa Mganza, ahani vifo vya wavuvi

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,200
02 August 2023
Mganza, wilaya ya Chato
Tanzania

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ameongea na wananchi wa Mganza Chato.



Asikiliza vilio vya wavuvi na wafugaji vya wananchi wa eneo hili la kanda ya ziwa ikiwemo Mganza Chato, Tarime, Bariadi, Kisesa, Meatu.

Askari wa hifadhi na serikali ya CCM hawatumii mfumo sahihi wa haki jinai bali wanapiga risasi wananchi bila ya kuwafikisha mahakamani wahukumiwe badala yake wanajiamulia kutoa hukumu ya kifo bila kutumia mahakama wakati sheria hazisemi uvuvi au ufugaji ni kosa la jinai na huhukumiwa kwa adhabu ya kifo amesikitika Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom