Miradi mikubwa haikuanza kipindi cha Hayati Magufuli pekee

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
19,073
28,737
Habari za weekend wanajukwaa

Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya miradi awamu ya nne kwa kuweka rekodi sawa kuwakilisha awamu zingine zilizopita kabla ya JPM.

1. Mradi wa Bomba la gesi ulicost matrilioni ya fedha na ulifanyika enzi za JK na Leo hii umeme wa Tanzania kwa 60% unategemea Bomba lile la gesi.

2. Barabara za lami zilijengwa almost Kila mkoa Ili kuunganisha mikoa jirani; pamoja na madaraja ya kumwaga kama Malagarasi n.k. So kama ni miundombinu ya barabara kikwete aliwekeza sana.

3. Mfumo wa Barabara za mwendokasi uliasisiwa kipindi hiki na serikali ya JK Ilimwaga mabilioni kujenga mwendokasi na kuagiza mabasi husika.

4. Airport ya J.K Nyerere Airport ilipanuliwa awamu ya nne. Leo hii tuna Airport yenye Hadhi ya kimataifa jambo ambalo halikufanyika tokea uhuru!!

5. Uzalishaji umeme ulipanuliwa kwa kujenga kituo Cha kufua umeme wa gesi pale Kinyerezi. Hatua hii iliongeza capacity ya uzalishaji umeme kuliko awamu zote zilizopita!!

6. Kulifanyika mradi mkubwa wa kutoa Maji ziwa Victoria kuelekea mikoa ya Kanda ya kati. Mradi ule umefika mpaka mkoa wa Tabora na Sasa unaelekea Singida!! Hayo ni mabilioni na ubunifu wa hali ya juu licha ya kelele kutoka kwa mataifa kama Misri yaliyopinga kabisa kuguswa Maji ya ziwa Victoria.

Hii ni mifano tu ya haraka haraka kwenye eneo la miundombinu. Kwahiyo tuache hizi propaganda kwamba miradi ilianza awamu ya 5 na imeisha awamu ya 5 ni uzembe tu wa kufikiri. Hiyo miradi tajwa hapo juu ingefanyika awamu ya 5 nadhani kelele zingekua nyingi mnoo.

Ni vizuri tuheshimiane Kila awamu, alipoishia Nyerere, mkapa aliendeleza and so on hata Mama Samia anaendeleza anapoweza so tusijikweze kweze na kelele nyingi as if JPM alikua Alpha na Omega.

Naomba kuwasilisha
 
Safi sana, malizia hata Udom alijenga Kikwete pia, kabla ya Kikwete kulikuwa hakuna Tanzania kila kitu kilianzia kwa Kikwete, umemponda Magufuli na kumsifu Kikwete hauna tofauti na mashabiki wa Magufuli na uko subjective zaidi lkn unasahau Kikwete alichukuwa nchi kutoka kwa Mzee Mkapa na Mzee Mkapa kwa Mzee Mwinyi na Mzee kutoka kwa Mwalimu Nyerere, lkn wewe umeanzia kwa Kikwete you are no diffrent uko hapa kuendekeza ligi za kitoto.

Next time jaribu kuwa objective badala ya kuwa subjective na emotional.
 
Na hii miradi ilikuwa muhimu na ya kimkakati sana kiasi kwamba haiwezi kuwa Tembo mweupe.
Habari za weekend wanajukwaa

Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya miradi awamu ya nne kwa kuweka rekodi sawa kuwakilisha awamu zingine zilizopita kabla ya JPM.

1. Mradi wa Bomba la gesi ulicost matrilioni ya fedha na ulifanyika enzi za JK na Leo hii umeme wa Tanzania kwa 60% unategemea Bomba lile la gesi.

2. Barabara za lami zilijengwa almost Kila mkoa Ili kuunganisha mikoa jirani; pamoja na madaraja ya kumwaga kama Malagarasi n.k. So kama ni miundombinu ya barabara kikwete aliwekeza sana.

3. Mfumo wa Barabara za mwendokasi uliasisiwa kipindi hiki na serikali ya JK Ilimwaga mabilioni kujenga mwendokasi na kuagiza mabasi husika.

4. Airport ya J.K Nyerere Airport ilipanuliwa awamu ya nne. Leo hii tuna Airport yenye Hadhi ya kimataifa jambo ambalo halikufanyika tokea uhuru!!

5. Uzalishaji umeme ulipanuliwa kwa kujenga kituo Cha kufua umeme wa gesi pale Kinyerezi. Hatua hii iliongeza capacity ya uzalishaji umeme kuliko awamu zote zilizopita!!

6. Kulifanyika mradi mkubwa wa kutoa Maji ziwa Victoria kuelekea mikoa ya Kanda ya kati. Mradi ule umefika mpaka mkoa wa Tabora na Sasa unaelekea Singida!! Hayo ni mabilioni na ubunifu wa hali ya juu licha ya kelele kutoka kwa mataifa kama Misri yaliyopinga kabisa kuguswa Maji ya ziwa Victoria.

Hii ni mifano tu ya haraka haraka kwenye eneo la miundombinu. Kwahiyo tuache hizi propaganda kwamba miradi ilianza awamu ya 5 na imeisha awamu ya 5 ni uzembe tu wa kufikiri. Hiyo miradi tajwa hapo juu ingefanyika awamu ya 5 nadhani kelele zingekua nyingi mnoo.

Ni vizuri tuheshimiane Kila awamu, alipoishia Nyerere, mkapa aliendeleza and so on hata Mama Samia anaendeleza anapoweza so tusijikweze kweze na kelele nyingi as if JPM alikua Alpha na Omega.

Naomba kuwasilisha
 
Isipokuwa Magufuli alitaka kuaminisha Wajinga kwamba yeye ndiye alianzisha Tanzania na kila kitu kilichomo
Werevu wanalazimisha kuwa wajinga zaidi pale wanapoambiwa JPM amejenga vituo vya afya nchi nzima, bwawa la JKNHP, SGR, flyover, barabara kubwa ya njia nane, meli kedekede, umeme wa 27,000 nyumbani kuwekewe, na mambo haya yako hadi makwao wanakoishi na ndugu zao wengi walifikiwa kwa gharama ndogo za kuingiziwa umeme kuliko wakati wote wa uhai wa nchi hii!

Eti wanataka wawe vipofu na viziwi wasione wala kusikia alichofanya huyu mwamba!

Pumbavu zenu mnaodhani ni wasomi na werevu halafu mnalazimisha kufunga masikikio na kuziba macho yenu kisa JPM kamwambia Mbowe alipe kodi blicanas akajidai eti yeye ni mpinzani atapiga kelele kwa mabeberu JPM akamatwe, mambo mengine ni 😂🤣

Acheni wehu basi nyinyi wasomi!

Mkifanya vema hata nyinyi tutawapongeza tuu!

Hapo ulipo huna lolote na ndiyo maana anazungumziwa JPM
 
Habari za weekend wanajukwaa

Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya miradi awamu ya nne kwa kuweka rekodi sawa kuwakilisha awamu zingine zilizopita kabla ya JPM.

1. Mradi wa Bomba la gesi ulicost matrilioni ya fedha na ulifanyika enzi za JK na Leo hii umeme wa Tanzania kwa 60% unategemea Bomba lile la gesi.

2. Barabara za lami zilijengwa almost Kila mkoa Ili kuunganisha mikoa jirani; pamoja na madaraja ya kumwaga kama Malagarasi n.k. So kama ni miundombinu ya barabara kikwete aliwekeza sana.

3. Mfumo wa Barabara za mwendokasi uliasisiwa kipindi hiki na serikali ya JK Ilimwaga mabilioni kujenga mwendokasi na kuagiza mabasi husika.

4. Airport ya J.K Nyerere Airport ilipanuliwa awamu ya nne. Leo hii tuna Airport yenye Hadhi ya kimataifa jambo ambalo halikufanyika tokea uhuru!!

5. Uzalishaji umeme ulipanuliwa kwa kujenga kituo Cha kufua umeme wa gesi pale Kinyerezi. Hatua hii iliongeza capacity ya uzalishaji umeme kuliko awamu zote zilizopita!!

6. Kulifanyika mradi mkubwa wa kutoa Maji ziwa Victoria kuelekea mikoa ya Kanda ya kati. Mradi ule umefika mpaka mkoa wa Tabora na Sasa unaelekea Singida!! Hayo ni mabilioni na ubunifu wa hali ya juu licha ya kelele kutoka kwa mataifa kama Misri yaliyopinga kabisa kuguswa Maji ya ziwa Victoria.

Hii ni mifano tu ya haraka haraka kwenye eneo la miundombinu. Kwahiyo tuache hizi propaganda kwamba miradi ilianza awamu ya 5 na imeisha awamu ya 5 ni uzembe tu wa kufikiri. Hiyo miradi tajwa hapo juu ingefanyika awamu ya 5 nadhani kelele zingekua nyingi mnoo.

Ni vizuri tuheshimiane Kila awamu, alipoishia Nyerere, mkapa aliendeleza and so on hata Mama Samia anaendeleza anapoweza so tusijikweze kweze na kelele nyingi as if JPM alikua Alpha na Omega.

Naomba kuwasilisha
Hata hiyo miradi ya wakati wa JK sifa wanampa yeye (mwendazake) ati ndo alikuwa Waziri wa Ujenzi lakini hawampi sifa Waziri wa ujenzi wa awamu yake. Naamini hata mganga aliyempa nguvu yule bwana yule naye kafia zake mbali ili asije kumtengeneza kiongozi mwingine wa mfano wake.
 
Habari za weekend wanajukwaa

Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya miradi awamu ya nne kwa kuweka rekodi sawa kuwakilisha awamu zingine zilizopita kabla ya JPM.

1. Mradi wa Bomba la gesi ulicost matrilioni ya fedha na ulifanyika enzi za JK na Leo hii umeme wa Tanzania kwa 60% unategemea Bomba lile la gesi.

2. Barabara za lami zilijengwa almost Kila mkoa Ili kuunganisha mikoa jirani; pamoja na madaraja ya kumwaga kama Malagarasi n.k. So kama ni miundombinu ya barabara kikwete aliwekeza sana.

3. Mfumo wa Barabara za mwendokasi uliasisiwa kipindi hiki na serikali ya JK Ilimwaga mabilioni kujenga mwendokasi na kuagiza mabasi husika.

4. Airport ya J.K Nyerere Airport ilipanuliwa awamu ya nne. Leo hii tuna Airport yenye Hadhi ya kimataifa jambo ambalo halikufanyika tokea uhuru!!

5. Uzalishaji umeme ulipanuliwa kwa kujenga kituo Cha kufua umeme wa gesi pale Kinyerezi. Hatua hii iliongeza capacity ya uzalishaji umeme kuliko awamu zote zilizopita!!

6. Kulifanyika mradi mkubwa wa kutoa Maji ziwa Victoria kuelekea mikoa ya Kanda ya kati. Mradi ule umefika mpaka mkoa wa Tabora na Sasa unaelekea Singida!! Hayo ni mabilioni na ubunifu wa hali ya juu licha ya kelele kutoka kwa mataifa kama Misri yaliyopinga kabisa kuguswa Maji ya ziwa Victoria.

Hii ni mifano tu ya haraka haraka kwenye eneo la miundombinu. Kwahiyo tuache hizi propaganda kwamba miradi ilianza awamu ya 5 na imeisha awamu ya 5 ni uzembe tu wa kufikiri. Hiyo miradi tajwa hapo juu ingefanyika awamu ya 5 nadhani kelele zingekua nyingi mnoo.

Ni vizuri tuheshimiane Kila awamu, alipoishia Nyerere, mkapa aliendeleza and so on hata Mama Samia anaendeleza anapoweza so tusijikweze kweze na kelele nyingi as if JPM alikua Alpha na Omega.

Naomba kuwasilisha
Unamatatizo ya ubongo si bule
 
Duuuh!! JPM anazidi kuwatesa baadhi ya watu ingawa alishakwenda,nafikiri uwezekano upo wa wengine kuugua uchizi kisa wivu juu yake!!
Hapana kumekua na kelele nyingi sana mfano Mama kamalizia Bwawa ila kelele zikawa kibao kwamba bila JPM wasingeweza!! Leo meli imeshushwa kelele kibao kuwa
 
Safi sana, malizia pia hata Udom alijenga Kikwete pia, kabla ya Kikwete kulikuwa hakuna Tanzania kila kilianzia kwa Kikwete, umemponda Magufuli na kumsifu Kikwete hauna tofauti na mashabiki wa Magufuli na uko subjective zaidi lkn unasahau Kikwete alichukuwa nchi kutoka kwa Mzee Mkapa na Mzee Mkapa kwa Mzee Mwinyi na Mzee kutoka kwa Mwalimu Nyerere, lkn wewe umeanzia kwa Kikwete you are no diffrent uko hapa kuendekeza kigi za kitoto.

Next time jaribu kuwa objective badala ya kuwa subjective na emotional.
Sentensi moja ya mleta mada umeifumbia macho (Kwa makusudi?):
Hapo chini nimeweka mifano tu ya miradi awamu ya nne kwa kuweka rekodi sawa kuwakilisha awamu zingine zilizopita kabla ya JPM.
 
Cha muhimu ni kwamba miradi yote imejengwa na Chama Tawala CCM

Chadema hata Visima vya Sabodo viliwashinda kwenye Halmashauri walizoziongoza
Chadema walikusanya kodi kwenye halmashauri ipi?

Waliteua mkurugenzi yupi? Au waliajiri watumishi katika halmashauri ipi?

Usifikiri tumeshasahau Ile kauli 'kama mmechagia diwani au mbunge wa upinzani sahauni maendeleo' by JPM.
 
Habari za weekend wanajukwaa

Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya miradi awamu ya nne kwa kuweka rekodi sawa kuwakilisha awamu zingine zilizopita kabla ya JPM.

1. Mradi wa Bomba la gesi ulicost matrilioni ya fedha na ulifanyika enzi za JK na Leo hii umeme wa Tanzania kwa 60% unategemea Bomba lile la gesi.

2. Barabara za lami zilijengwa almost Kila mkoa Ili kuunganisha mikoa jirani; pamoja na madaraja ya kumwaga kama Malagarasi n.k. So kama ni miundombinu ya barabara kikwete aliwekeza sana.

3. Mfumo wa Barabara za mwendokasi uliasisiwa kipindi hiki na serikali ya JK Ilimwaga mabilioni kujenga mwendokasi na kuagiza mabasi husika.

4. Airport ya J.K Nyerere Airport ilipanuliwa awamu ya nne. Leo hii tuna Airport yenye Hadhi ya kimataifa jambo ambalo halikufanyika tokea uhuru!!

5. Uzalishaji umeme ulipanuliwa kwa kujenga kituo Cha kufua umeme wa gesi pale Kinyerezi. Hatua hii iliongeza capacity ya uzalishaji umeme kuliko awamu zote zilizopita!!

6. Kulifanyika mradi mkubwa wa kutoa Maji ziwa Victoria kuelekea mikoa ya Kanda ya kati. Mradi ule umefika mpaka mkoa wa Tabora na Sasa unaelekea Singida!! Hayo ni mabilioni na ubunifu wa hali ya juu licha ya kelele kutoka kwa mataifa kama Misri yaliyopinga kabisa kuguswa Maji ya ziwa Victoria.

Hii ni mifano tu ya haraka haraka kwenye eneo la miundombinu. Kwahiyo tuache hizi propaganda kwamba miradi ilianza awamu ya 5 na imeisha awamu ya 5 ni uzembe tu wa kufikiri. Hiyo miradi tajwa hapo juu ingefanyika awamu ya 5 nadhani kelele zingekua nyingi mnoo.

Ni vizuri tuheshimiane Kila awamu, alipoishia Nyerere, mkapa aliendeleza and so on hata Mama Samia anaendeleza anapoweza so tusijikweze kweze na kelele nyingi as if JPM alikua Alpha na Omega.

Naomba kuwasilisha
tofauti ya JPM na JK ni kwamba JPM miradi mingi aliianzisha tu na mingi haikuvuka hata asilimia 10 ndiyo mama anahangaika nayo sahivi. Miradi aliyokamilisha ni Kijazi exchange na Mfugale flyover pengine na wa Chato Airport ambao hauna maana tena maana ulikuwa uwanja wake binafsi na yeye ameshakufa
 
Habari za weekend wanajukwaa

Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya miradi awamu ya nne kwa kuweka rekodi sawa kuwakilisha awamu zingine zilizopita kabla ya JPM.

1. Mradi wa Bomba la gesi ulicost matrilioni ya fedha na ulifanyika enzi za JK na Leo hii umeme wa Tanzania kwa 60% unategemea Bomba lile la gesi.

2. Barabara za lami zilijengwa almost Kila mkoa Ili kuunganisha mikoa jirani; pamoja na madaraja ya kumwaga kama Malagarasi n.k. So kama ni miundombinu ya barabara kikwete aliwekeza sana.

3. Mfumo wa Barabara za mwendokasi uliasisiwa kipindi hiki na serikali ya JK Ilimwaga mabilioni kujenga mwendokasi na kuagiza mabasi husika.

4. Airport ya J.K Nyerere Airport ilipanuliwa awamu ya nne. Leo hii tuna Airport yenye Hadhi ya kimataifa jambo ambalo halikufanyika tokea uhuru!!

5. Uzalishaji umeme ulipanuliwa kwa kujenga kituo Cha kufua umeme wa gesi pale Kinyerezi. Hatua hii iliongeza capacity ya uzalishaji umeme kuliko awamu zote zilizopita!!

6. Kulifanyika mradi mkubwa wa kutoa Maji ziwa Victoria kuelekea mikoa ya Kanda ya kati. Mradi ule umefika mpaka mkoa wa Tabora na Sasa unaelekea Singida!! Hayo ni mabilioni na ubunifu wa hali ya juu licha ya kelele kutoka kwa mataifa kama Misri yaliyopinga kabisa kuguswa Maji ya ziwa Victoria.

Hii ni mifano tu ya haraka haraka kwenye eneo la miundombinu. Kwahiyo tuache hizi propaganda kwamba miradi ilianza awamu ya 5 na imeisha awamu ya 5 ni uzembe tu wa kufikiri. Hiyo miradi tajwa hapo juu ingefanyika awamu ya 5 nadhani kelele zingekua nyingi mnoo.

Ni vizuri tuheshimiane Kila awamu, alipoishia Nyerere, mkapa aliendeleza and so on hata Mama Samia anaendeleza anapoweza so tusijikweze kweze na kelele nyingi as if JPM alikua Alpha na Omega.

Naomba kuwasilisha
Sijui kama wataelewa
 
Back
Top Bottom