Miaka 9 ya ACT-Wazalendo na vifo vitatu, wagombea urais

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Chama cha ACT Wazalendo kimeadhimisha miaka 9 ya kuzaliwa kwake wakati huu ambapo kimekumbwa na misiba mitatu mikubwa ya waliowahi kuwa viongozi na wagombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania na Zanzibar.

Anna Mghwira alikuwa ni mgombea Urais wa Chama hicho mwaka 2015 na alifariki dunia Alhamisi Julai 22, 2021 katika Hospitali ya Mount Meru Arusha.

Februari 17 2021 — Maalim Seif alifariki dunia akiwa ametumikia wadhifa wa makamu wa kwanza wa rais wa SMZ kwa chini ya siku 100 - akitoka kuwa mgombea Urais huko visiwani Zanzibar.

Mapema jana May 12,2023 Bernard Membe naye amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.Membe alikuwa mgombea Urais wa Tanzania mwaka 2020.

Wafuatilizi wa siasa wanasema kwa vyovyote vile mwaka 2025 kutashuhudiwa sura mpya kwenye Uchaguzi Mkuu nafasi ya Urais kupitia ACT Wazalendo na Zitto Kabwe akitajwa kama Mgombea kinara wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hasa kutokana na uamuzi wake wa kung'atuka kwenye uongozi wa Chama chake kufikia May 2024.
pmsigwa_-20230513-0001.jpg
 
Chama cha ACT Wazalendo kimeadhimisha miaka 9 ya kuzaliwa kwake wakati huu ambapo kimekumbwa na misiba mitatu mikubwa ya waliowahi kuwa viongozi na wagombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania na Zanzibar.

Anna Mghwira alikuwa ni mgombea Urais wa Chama hicho mwaka 2015 na alifariki dunia Alhamisi Julai 22, 2021 katika Hospitali ya Mount Meru Arusha.

Februari 17 2021 — Maalim Seif alifariki dunia akiwa ametumikia wadhifa wa makamu wa kwanza wa rais wa SMZ kwa chini ya siku 100 - akitoka kuwa mgombea Urais huko visiwani Zanzibar.

Mapema jana May 12,2023 Bernard Membe naye amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.Membe alikuwa mgombea Urais wa Tanzania mwaka 2020.

Wafuatilizi wa siasa wanasema kwa vyovyote vile mwaka 2025 kutashuhudiwa sura mpya kwenye Uchaguzi Mkuu nafasi ya Urais kupitia ACT Wazalendo na Zitto Kabwe akitajwa kama Mgombea kinara wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hasa kutokana na uamuzi wake wa kung'atuka kwenye uongozi wa Chama chake kufikia May 2024.View attachment 2620185
Usicheze na watu wa kihoma mkuu, utaishia usikokujua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom