Mbunge wa Masasi aliyewahi kuwa Waziri wa Biashara na Uwekezaji mh Mwambe amesema mifumo ya sasa ya TRA siyo rafiki, imejaa Uonezi na ni Sumbufu.
Mwambe amesema hii inatokana na kila mmoja pale...
Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya.
Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama...
Nashauri tusiishie kuomboleza kifo Cha Magufuli na Membe ila tusogeze fikra zetu na kujitafakari sisi kama Tanzania na watanzania wake Kwa ujumla.
Kuna Nini kati ya Tanzania na Muumba wetu wa...
Sioni tena namna mtu yeyote atakejiliwa katika masuala ya afya kama alivyokejeliwa Edward Lowassa kuanzia 2014-2015 katika harakati za kusaka madaraka makubwa ya nchi.
Sioni tena mwanasiasa...
Kuna matukio yanatokea Tanzania yanasikitisha Sana
Katika mazingira ya Tanzania ambaye aliweza kuutafuta urais na akaupata ni Hayati baba wa TAIFA na Rais Kikwete born town the rest hawakutafuta...
Binadamu siku zote hufanya mahesabu kabla ya kufanya jambo lolote lile. Hakuna binadamu anayefanya jambo ilimradi tu, ukiona binadamu anafanya jambo ujue ana mategemeo fulani.
Kuna dalili zote...
Nimemtazama Lowassa akiwa kwenye harakati za kusaka wadhamini 30 kila mkoa, nimemuhurumia sana. Nikajiuliza, let's say chama chake kimpitishe kugombea jambo ambalo sio rahisi sana. Je, ataiweza...
Watanzania tuache unafiki. Wakati Musiba anamtukana membe watu wote tulisikia na hao maaskofu walisikia.
Wananchi tulinyamaza hakuna aliyesimama kumkaripia au kumkataza musiba asimtukane membe na...
Tunakumbushana tu hayo ndio majina 5 yaliyopitishwa na Kamati Kuu ya CCM kugombea Urais wa JMT
Ni kwamba hao wote Wana sifa za kuwa Rais wa JMT
Waliokosa sifa Kamati Kuu ya CCM iliwatema...
Mahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili mkurugenzi mkuu wa gazeti la Tanzanite na mwanaharakati huru, ndugu Musiba dhidi ya aliyekuwa Waziri wa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.
Pamoja na uzoefu wake ktk siasa...
Salaam Wakuu,
Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais...
KISHINDO CHA MEMBE KUREJEA CCM,SHAKA AONGOZA MAPOKEZI.
ALIYEKUWA mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Bernard...
Membe pamoja na porojo zote ulizonazo mdomoni za kuchafua aliyekuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania DR.JOHN POMBE MAGUFULI kamwe huwezi kuwa saizi yake katika utendaji wala ushawishi...
Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu...
CYPRIAN MUSIBA.
Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua...
Ktk kesi ya mbowe ya ugaidi,mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu,mashabiki woote wa chadema waliilalamikia mahakama kwa kutumika kisiasa kukandamiza upinzani,wakasema mahakama za Tanzania ni hovyo...
Wajumbe wa Kamati kuu ya Chadema wakiongozwa na Mh Lema na Mh Wenje hawatasahau ukarimu wa Mseminari Benard Membe aliyewakaribisha Kujikimu kwake Rondo ambako walikula na kunywa na wengine kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.