Nape Nnauye: Mwaka 2010 Membe aliniambia nigombee Ubunge Jimbo la Mtama nikakataa, nikagombea Ubungo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,120
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amesema mh Membe alimuomba agombee Ubunge jimbo la Mtama mwaka 2010 lakini yeye alimkatalia na kumwambia anaenda kugombea Jimbo la Ubungo

Baada ya uchaguzi mzee Membe akamwambia Nape kugombea jimbo la Ubungo haukuwa uamuzi sahihi hivyo arudi Mtama kwani yeye atastaafu 2015 amesema Waziri Nape

Source: Clouds Media
 
Back
Top Bottom