Je, kuna uthibitisho wa Kikwete ni ndugu na Bernad Membe?

Ruwamangi

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
949
1,685
Kuliwahi kuzungumzwa sana tena hasa hapa JF kwamba Rais mstaafu wa wamu ya nne Jakaya Kikwete na Bernard Camilius Membe ni Ndugu wa damu wengine wakidai Mama Salma Kikwete na Membe ni ndugu.

Hatujui kama ni kweli au ni maneno tu. lakini haiwezekani watu waseme tu huenda kuna ukweli hawa watu wana mahusiano "fulani" kuachia maswala ya kisiasa.

Kwa heri Mwanadiplomasia, Mwanamikakati na mwanapropaganda Bernard Camilius Membe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana hakuna undugu wowote, kama EL asingekuwa mmasai, pengine wangesema ndugu yake, enzi zile.

Waliposema kuwa, BKM ndo alikuwa mpokea kijiti wangu kwa maandalizi ya JMK, ili kuja kumuachia mwanae, lazima ukaribu ungekuwa hivyo.

Na pengine, dakika za mwisho, baada ya mgombea mwingine kupitishwa, BKM akaona kama kasalitiwa na JMK, na kuamua aliyoyaamua kwa hasira, akikumbuka ya EL.

JMK + SSH = TZ Demise
 
Kuliwahi kuzungumzwa sana tena hasa hapa JF kwamba Rais mstaafu wa wamu ya nne Jakaya Kikwete na Bernard Camilius Membe ni Ndugu wa damu wengine wakidai Mama Salma Kikwete na Membe ni ndugu.

Hatujui kama ni kweli au ni maneno tu. lakini haiwezekani watu waseme tu huenda kuna ukweli hawa watu wana mahusiano "fulani" kuachia maswala ya kisiasa.

Kwa heri Mwanadiplomasia, Mwanamikakati na mwanapropaganda Bernard Camilius Membe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kapimeni DNA!!! Mbona huyo Kikwete sura yake anafanana pia na hayati brigedia jenerali Moses nnauye
 
Kuliwahi kuzungumzwa sana tena hasa hapa JF kwamba Rais mstaafu wa wamu ya nne Jakaya Kikwete na Bernard Camilius Membe ni Ndugu wa damu wengine wakidai Mama Salma Kikwete na Membe ni ndugu.

Hatujui kama ni kweli au ni maneno tu. lakini haiwezekani watu waseme tu huenda kuna ukweli hawa watu wana mahusiano "fulani" kuachia maswala ya kisiasa.

Kwa heri Mwanadiplomasia, Mwanamikakati na mwanapropaganda Bernard Camilius Membe

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unatuletea ramli zako chonganishi za nini kama huna ushahidi?
 
Back
Top Bottom