Mbowe: Membe hakuwa Mtu wa Kukasirika na hata alipokasirika alionesha Tabasamu, nilimpenda kwa hilo tulikuwa Marafiki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,120
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Membe alikuwa na exposure na ndio iliyomfanya asiwe Mtu wa Kukasirika na wakati mwingine alipokasirika alionesha Tabasamu tu

Mbowe anasema pamoja na kutendewa ubaya na CCM na Serikali lakini bado kuna Baadhi ya Viongozi kwenye Taasisi hizo ni Rafiki zao

Membe alikuwa Rafiki yangu kwa sababu alikuwa ni mtu mwenye Kiasi hakuwa na ukada uliopitiliza, amesema Mbowe

Source: Mwananchi
 
Back
Top Bottom