Rais Samia Mkuu wa Mkoa Mongela na CCM wanakuhujumu Arusha Mjini

Tanzaoregano

New Member
Aug 31, 2022
3
1
Rais Samia kuwa makini na utoto wa Mongela na Chongolo Arusha Mjini

Wanabodi leo acha niwape habari Arusha namna ambavyo Chongolo na Mongela wanavyoteseka kama nilivyotumiwana anaejiita mtumishi mzalendo wa Jiji la Arusha.

Tatizo kubwa la Arusha Mjini ni Dr. John Pima ambaye yuko mahakamani kwa WIZI wa kutupwa kupitia Jiji la Arusha. Dr Pima alikuwa anakula na Chongolo, Rc Mongela, Matoroka, Mzee Zelothe, Meya, Saipulani(kupitia mikopo ya vijana), Meku (kupitia mikopo ya vijana)na TAMISEMI.

Sisi watumishi tunaonewa tu, mmoja wetu alitumwa kumpelekea Rc Mongela Million 20 ofisini kwake na Dr Pima kupitia gari la serikali alipeleka Milion 10 CCM kwa Matoroka na Zelothe, baada ya hapo akaenda Dodoma kupeleka million 50 nyumbani kwa Chongolo Karibu na kwa Makam wa Rais Dodoma na hela nyingine alipewa Naibu katibu mkuu wa zaman wa TAMISEMI Bwana Kiliba ambaye kahamishiwa Wizara ya Mazingira. Dr. Pima alitoka nyumbani kwa Chongolo saa 8 usiku baada ya kumuachia mzigo na kugeuza Arusha usiku huo.

CCM Mkoa wa Arusha wamekuwa wanachukua hela nyingi Jiji la Arusha na hasa kipindi cha Dr Pima. Mara wajifanye wanakarabati uwanja wa sheikh amri abeid, mara waandae Futari nk. Chunguzeni pale mamilion yalioenda na matumizi yake, ni aibu tupu.

Vita anavyo pigwa Gambo ni kwasababu anaingilia ulaji wa watu katika Jiji la arusha. Kinacho nisikitisha Mimi badala ya kupambana na gambo wanapambana na sisi Wanyonge. Kila mtu anae onekana yupo karibu na Gambo anashughulikiwa na Mongela au Chongolo. Na hapa nitatoa mifano michache sana.

1. Kupitia TAMISEMI na Rc Mongela Walituhamisha watumishi 40 wa Jiji la Arusha ili kuficha wizi wa Jiji la Arusha. Baadae CAG akawaumbua.

2. Kupitia Chongolo wamewaondoa watumishi wa CCM wa Jiji la Arusha kwa Uonevu kabisa

a. Walimuondoa katibu wa UWT Wilaya na kumpeleka Korogwe
b. Walimuondoa katibu UVCCM Wilaya ya Arusha Mjini na kumpeleka CCM Makao Makuu
c. Walimuondoa katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Mjini na kumpeleka Kiteto
d. Walimuondoa katibu wa CCM Wilaya ya Arusha na kumpeleka Momba

3. Kupitia Rc Mongela
a. walimpiga majungu Dr Kihamia akaondolewa kwenye URAS kwa kuwa alikuwa anapiga vita ufisadi na Wizi
b. Walimuondoa mkuu wa IDARA ya Local Government Bi Susan Mnafe kwa kuwa alikataa mtandao wa Wizi wa Mongela
c. Walimuondoa Afisa vijana mkoa ambaye miaka yote amekuwa msimamizi wa mwenge na kumpeleka Wilayani, tetesi zinasema Mongela alikuwa anamtaka mke wa huyu wa kijana hivyo kaaona amkomeshe
d. Amemuondoa msaidizi wake binafsi Mongela mwenyewe ambaye alikuwa afisa Tarafa
e. Amemuondoa Afisa Tarafa wa Elerai na kumpeleka Mtwara
f. Yaani list ya Uonevu ni ndefu sana

Jambo kubwa hapa ni la kujiuliza mama samia atashtuka lini ? Toka kelele za Wizi zilipoanza Jiji la Arusha umewahi kusikia Mongela akikemea? Unadhani ni bahati mbaya? Kwanini anagombana na kila mtu na kisha kumpiga majungu ahamishwe?

Yote haya yanafanyika kwa kushirikiana na Chongolo ili kulinda Maslahi yao ya rushwa walizo kula kwa Dr Pima.

Chongolo amekula Rushwa sana Kwenye Mgodi wa Longido kwa Laizer kiasi cha kumpigania ili awe Mnec wa CCM lakini rushwa ikawatoa ulingoni pamoja na Bajuta.

Rais Samia, mfuatilie Chongolo kwa makini sana maana anakula rushwa hadi kwa Wabunge. Anatamba kuwa anakumudu ndio maana anaweza kubadilisha watendaji wa Chama kwa kukupiga fiksi kidogo tu.

Mwisho kabisa fuatilieni Uhamaji wetu sisi watumishi wa Jiji la Arusha na Mkoani ili muone Mongela na Chongolo wanavyo tutesa kwa rushwa zao.

Huyo Gambo si mumfukuze tu uanachama ili sisi Wanyonge tusiokuwa na hatia tupone.

Ninawasilisha C & P
 
Back
Top Bottom