Ujio wa Kamala Harris ni pigo kwa wafuasi wa Hayati Magufuli na legacy yake

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Kiukweli hakuna kitu kimewauma wafuasi wa Hayati Magufuli kama ujio wa Kamala Harris, hawaamini walichokiona.

Haya ni mafanikio makubwa kwa Rais Samia na Wapinzani kuileta Marekani Tanzania na ni pigo kwa Sukuma Gang na wafia-ufuasi wa legacy Hayati Magufuli.

Leo kuna watu watatamani wangezikwa naye ile siku, hakika Mama ameupiga mwingi, huko walipo wamenuna.

Mpaka miaka 10 ya Rais Samia iishe watakuwa washateseka sana hawa wafuasi wa Mwendazake.

Huu ni mwanzo tu, ni suala la muda tu mtarudi mlikotoka, huu mchezo hauhitaji hasira, ile legacy uchwara imeyeyuka mithili ya barafu mbele ya moto mkali.

Walisema Samia hawezi sasa ameweza! Kaweza kuirudisha demokrasia zile story za kuokotwa kwenye viroba hazipo tena wala kutekwatekwa hovyo, naam huyo ndio Rais Samia Suluhu Hassan.

Na kilichowanunisha zaidi ni hili la Upinzani waliokua wanawaita wasaliti sasa wanafanya mikutano na nguvu ya upinzani imepaa na kuongezeka.

Linawauma sana kuona kina Mbowe, Lissu, Zitto na Lema wakiwa majukwaani pamoja na kuwa waliteswa hadi kuchungulia kifo wakati wa utawala wa Kayafa.

Safari hii mtajua hamjui, hata mseme hadi mtoke moto mdomoni au mjitie ulimi puani hayupo tena wa kuwatetea, mmetawanyika, hamjulikani kama mpo au hampo na hamjui tena njia, giza limewazidia kote.

Hivi ni lini mtakubali kuwa Mwendazake alishafariki? Eti Samia afanye kama mtangulizi wake, mtangulizi yupi, yule katili asiyekuwa na wa kuigwa?

Kweli Mungu ni fundi aisee, hakuna wa kuwatetea tena, ndio basi tena kwishney na legacy yake uchwara!
 
C0DDD78D-B985-48BF-AA3F-3ACBCA0CB1E7.jpeg
 
Y
Kiukweli hakuna kitu kimewauma wafuasi wa Hayati Magufuli kama ujio wa Kamala Harris, hawaamini walichokiona.

Haya ni mafanikio makubwa kwa Rais Samia na Wapinzani kuileta Marekani Tanzania na ni pigo kwa Sukuma Gang na wafia-ufuasi wa legacy uchwara wa Hayati Mwendazake.

Leo kuna watu watatamani wangezikwa nae ile siku, hakika Mama ameupiga mwingi, huko walipo wamenuna hawa Sukuma Gang.

Mpaka miaka 10 ya Mama Samia iishe watakuwa washateseka sana hawa wafuasi wa Mwendazake.

Huu ni mwanzo tu, ni suala la muda tu mtarudi mlikotoka, huu mchezo hauhitaji hasira, ile legacy uchwara imeyeyuka mithili ya barafu mbele ya moto mkali.

Walisema Samia hawezi sasa ameweza! Kaweza kuirudisha demokrasia zile story za kuokotwa kwenye viroba hazipo tena wala kutekwatekwa hovyo, naam huyo ndio Rais Samia Suluhu Hassan.

Na kilichowanunisha zaidi ni hili la Upinzani waliokua wanawaita wasaliti sasa wanafanya mikutano na nguvu ya upinzani imepaa na kuongezeka. Linawauma sana kuona kina Mbowe, Lissu, Zitto na Lema wakiwa majukwaani pamoja na kuwa waliteswa hadi kuchungulia kifo wakati wa utawala wa Kayafa.

Yaan ndugu unaongeaga pumba sana.Ni mpumbavu na mjinga .Tafuta pesa acha kuwa mpumbavu.
 
Mwijaku, Baba levo na wale wauza magari...unaweka kundi gani la binadamu na hasa wakiwa kama wakiume?

Ukilijua jina la mbwa.........
 
Kiukweli hakuna kitu kimewauma wafuasi wa Hayati Magufuli kama ujio wa Kamala Harris, hawaamini walichokiona.

Haya ni mafanikio makubwa kwa Rais Samia na Wapinzani kuileta Marekani Tanzania na ni pigo kwa Sukuma Gang na wafia-ufuasi wa legacy uchwara wa Hayati Mwendazake.

Leo kuna watu watatamani wangezikwa nae ile siku, hakika Mama ameupiga mwingi, huko walipo wamenuna hawa Sukuma Gang.

Mpaka miaka 10 ya Mama Samia iishe watakuwa washateseka sana hawa wafuasi wa Mwendazake.

Huu ni mwanzo tu, ni suala la muda tu mtarudi mlikotoka, huu mchezo hauhitaji hasira, ile legacy uchwara imeyeyuka mithili ya barafu mbele ya moto mkali.

Walisema Samia hawezi sasa ameweza! Kaweza kuirudisha demokrasia zile story za kuokotwa kwenye viroba hazipo tena wala kutekwatekwa hovyo, naam huyo ndio Rais Samia Suluhu Hassan.

Na kilichowanunisha zaidi ni hili la Upinzani waliokua wanawaita wasaliti sasa wanafanya mikutano na nguvu ya upinzani imepaa na kuongezeka. Linawauma sana kuona kina Mbowe, Lissu, Zitto na Lema wakiwa majukwaani pamoja na kuwa waliteswa hadi kuchungulia kifo wakati wa utawala wa Kayafa.

Safari hii mtajua hamjui, hata mseme hadi mtoke moto mdomoni au mjitie ulimi puani hayupo tena wa kuwatetea, mmetawanyika, hamjulikani kama mpo au hampo na hamjui tena njia, giza limewazidia kote.

Hivi ni lini mtakubali kuwa Mwendazake alishafariki? Eti Samia afanye kama mtangulizi wake, mtangulizi yupi, yule katili asiyekuwa na wa kuigwa?

Kweli Mungu ni fundi aisee, hakuna wa kuwatetea tena, ndio basi tena kwishney na legacy yake uchwara!
Mkuu JPM AMEKUFA na IT WILL NEVER TETURN. Hebu anzisha mada za hapa tulipo na tunapoelekea chini ya Mama yako na uongozi uliopo. Kumjadili Marehemu haitasaidia Mkuu.
 
Legacy imezikwa rasmi.

Yeye alikuwa anatembelewa na Rais wa Malawi,,Museven sijui Odinga na maskini wengine 😁😁

Hawakuwa na Msaada wowote wa maana.
 
Mkuu JPM AMEKUFA na IT WILL NEVER TETURN. Hebu anzisha mada za hapa tulipo na tunapoelekea chini ya Mama yako na uongozi uliopo. Kumjadili Marehemu haitasaidia Mkuu.
Nimewaambia nyie wafuasi wake maana mnateseka sana
 
Back
Top Bottom