Mbowe kapigwa picha nyingi sana Msibani kwa Membe

Lissu kesho atatoa hotuba za vijembe na matusi kisa tu, Mbowe amehani msiba wa mwana CCM
 
Nilikua naangalia ibada ya mazishi ya Mukami Kimathi leo Citizen Tv, aisee wakenya ni wa ajabu sana, Rais, makamu Rais Vs Raila walikua wanapopoana mbele ya sanduku la marehemu. Ukabila na udini umetawala sana Kenya.
 
Mbowe akumbuke kuwahi kwa makamba naye awekwe kwenye list ya watu wema wasiokufa Tanzania
 
... kongole na heshima kwake Mh. Mbowe kuhani msiba wa Mh. Membe maana sote tu mavumbi na mavumbini tutarejea; huo ndio uungwana. Ilikuwa ni heshima zaidi kwake kuchagua kukaa mbali na ule wa dhalimu.
 
Back
Top Bottom