Rais Samia, Mzee Kinana mmemponza Bernard Membe!

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
938
2,297
Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.

Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma yako.
 
Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.

Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
Kwamba kuwashugghulikia Sisi Sukuma Gang, ni mpaka 2025??.
Nchi yenu, Vyombo Dola Vyenu.

Si mlisema Wazuri Hawafi?.

Hamuwezi kumuondoa JPM, nyie Mbaki mnakula Mema ya Nchi.

Bado, Bado, Nchi hii akishaondoka wa Msoga, Uhuru huo umepatikana.
 
Nchi gani ipo nyuma ya huyo Dorcas?
Janeth naye aseme nini?
Hii vita haikuisha 17-03-2021, pale ndo ilianza. SG is real na haipo kinyonge kaeni mkao wa kula, kwa BM tumetest mitambo kuona kama ipo sawa, yajayo ndo yenyewe jiandaeni.
Hakika, yajayo ndio yanatakiwa Kuwafurahisha.

Mbuyu wa Msoga ukianguka, Nitachinja Ng'ombe kituo Fulani cha watoto yatima, tule, tusherekee.

Hawa wahuni Hawa, walimuondoa JPM.
 
Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.

Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
Uehu
 
Jamani, hebu acheni kwanza tumpumzishe salama mzee wetu Bernard Membe
 
Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.

Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
Nina mzigo wa kuni mbichi. Niutume uendelee kuchochea kiive?
 
Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.

Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
KIfo hakina mwenyewe !! Zamu ya membe imefika baas, tusubiri zamu zetu!
 
Back
Top Bottom