Humphrey Polepole, Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Humphrey Polepole, Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Shark, Nov 28, 2017.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2017
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 19,781
  Likes Received: 6,911
  Trophy Points: 280
  Kumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video
   

  Attached Files:

 2. lumanga

  lumanga Member

  #2
  Nov 28, 2017
  Joined: Nov 27, 2017
  Messages: 38
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Mbona haisikiki?
   
 3. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2017
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 950
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 80
  Tumewachoka nyie chama cha kulia lia
   
 4. K

  Kihava JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2017
  Joined: May 23, 2016
  Messages: 1,627
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  CCM wanajua kabisa kwamba bila mbeleko ya vyombo vya dola hasa polisi CCM hawawezi kushinda uchaguzi kwa zaidi ya 30%
   
 5. K

  Kihava JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2017
  Joined: May 23, 2016
  Messages: 1,627
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  Ni aibu kwa chama kikongwe kama CCM kutegemea mbeleko ya polisi kushinda uchaguzi.
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2017
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 19,781
  Likes Received: 6,911
  Trophy Points: 280
  Nilidhani unasema hii video ni feki
   
 7. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2017
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa sidhani kama ni wazima. Hivi unawezaje kuongea kitu kama hicho hali ukijua kabisa kuwa unarekodiw!
   
 8. Panga Makalikuwili

  Panga Makalikuwili Member

  #8
  Nov 28, 2017
  Joined: Aug 30, 2016
  Messages: 96
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 25
  Kwani kuna kitu umesikia kwenye hiyo video... Au ndo bedela inafuata upepo.
   
 9. Panga Makalikuwili

  Panga Makalikuwili Member

  #9
  Nov 28, 2017
  Joined: Aug 30, 2016
  Messages: 96
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 25
  Naona umetegesha virus mzee.. Mbona haonekani huyo Harakaharaka.
   
 10. madalleh

  madalleh Member

  #10
  Nov 28, 2017
  Joined: Feb 26, 2017
  Messages: 65
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  We boya
   
 11. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2017
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 19,781
  Likes Received: 6,911
  Trophy Points: 280
  Device yako ikiwa na Problem ya kutofungua hii video basi usi-generalize kua tatizo la kila mtu,
  Inawezekana format iliyoko hii video wewe device yako hai-support,
  Ingekua kweli nimeweka attachment ambayo haifunguki basi Mods wasingeuacha huu uzi hewani mpaka sasa.
   
 12. Usher-smith

  Usher-smith JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2017
  Joined: Jul 7, 2015
  Messages: 5,734
  Likes Received: 4,287
  Trophy Points: 280
  Alikuwa na njaa huyo
   
 13. Panga Makalikuwili

  Panga Makalikuwili Member

  #13
  Nov 28, 2017
  Joined: Aug 30, 2016
  Messages: 96
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 25
  Ngoja nikachukuwe nyundo ..itakuwa mchina hii.
   
 14. Tony antony

  Tony antony JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2017
  Joined: Nov 17, 2013
  Messages: 4,568
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  CHADEMA Kwenye social media wameshinda mapema kabisa asubuhi na mapema lakini kwenye Sanduku la kura CCM bado wataendelea kushinda tuu.
   
 15. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2017
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 19,781
  Likes Received: 6,911
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaa,
  Ila serious inafunguka vizuri tu Mkuu, si waona hata hakuna mwengine aliesema haoni??
   
 16. Tobinho

  Tobinho JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2017
  Joined: Nov 28, 2014
  Messages: 1,235
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  ipo siku,nasema IPO SIKU
   
 17. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2017
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Nimeifungua na nimesikia. Labda hicho kimeo chako ndio hakina uwezo wa kuvungua hiyo video. Inaonekana either hakisapoti hiyo format au ni shida tu ya kimeo unachomiliki.
   
 18. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 5,407
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Haaahaaaaa dah maCcm bhana ila leo hii ukimuuliza polepole atasema wananchi hawahitaji uchaguzi huru na haki sababu vipaumbele vyao ni maji barabara n.k hahhaaahaaaaa
   
 19. Mlyuha

  Mlyuha Senior Member

  #19
  Dec 4, 2017
  Joined: Apr 27, 2015
  Messages: 196
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  nafikiri kipindi hicho huyu jamaa alikuwa ukawa kabla ya kuhamia ccm
   
 20. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2017
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 19,781
  Likes Received: 6,911
  Trophy Points: 280
  Upotoshaji huu,
  Lini huyu jamaa alikua UKAWA??
   
Loading...