Rais mstaafu mzee Kikwete alikuwa nje ya Nchi na amewasili mchana huu na moja kwa moja ameelekea Karimjee kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Membe
Kikwete amekuta Viongozi wakuu wa Serikali...
Kwa hali inavyoendelea nchini ni dhahiri hakuna tena upinzani. Bali kuna uungwaji mkono juhudi unaofanywa na wapinzani kwa CCM ila kila mmoja kwa staili yake. ACT Wazalendo wanakula pamoja na...
Wakati dalali wa Mahakama kampuni ya Yono (vijana wa kazi) ikihesabu siku zilizobaki katika 14 (siku za kazi) alizolewa mtukanaji Cyprian Majura Musiba kumlipa fidia Kachero Bernard Membe jumla ya...
Mbunge wa Mtama mh Nape Nnauye anesema Membe alikuwa na mchango mkubwa sana kwenye Jimbo lao
Nape anesema Membe alikuwa akimuunganisha na Mabalozi mbalimbali akiwemo wa China ambapo ni rafiki...
Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe.
Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna...
Inaumiza kijana wa kitanzani, na mwana wa masikini kutoka mbwinde, unapiga kitabu vizur sana unakomaa kinoma noma alafu unasikia kitu moja unalo lipita elimu eti linakuwa kurugenzi lako.
Kama...
Kinafahamika kipaumbele cha Serikali ya Tanzania kilipo. Hivyo ni Kodi, tozo na kulamba asali.
Kwamba yatokee magonjwa yenye kuuwa watu? Hapo tegemea neno changamoto tokea za kupumua hadi za...
Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo
Kauli yake inakuja baada ya Mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad kumuidhinisha Tundu Lissu (Chadema)...
Kwa nini tunaendelea kupoteza muda kuwa au kufuatilia mfumo wa kidemokrasia na ushahidi unaonyesha wazi kuwa ni mfumo mbovu usiofaa kitu!!? Critics mmoja alisema kuwa tofauti kubwa ya mfumo wa...
Ndugu zangu watanzania,
Kwa hakika kifo ni fumbo na hakuna aijuaye kesho yake. Tukeshe tukiomba kwa Mwenyezi MUNGU kwa maana Ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kutulinda na kutupigania. Ni Mungu...
Hata kama mlimchukia Magufuli, lakini haki yake kwa yale mazuri yake Mumpe!
Kama Bwawa kwa Mwaka 2021 lilikuwa limefikia 37% ya ujenzi wake (kwa mujibu wa takwimu zako binafsi).
Halafu unasema...
Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na kamati ya Usalama, Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya Ludewa, na Mbunge wa Jimbo la Ludewa wameupokea Mwenge wa Uhuru ambao...
Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika.
Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
Wakati Kristo Yesu alipochagua kuingia nyumbani"Sebuleni" mwa Mtoza Ushuru Zakayo hakuna ambaye aliamini na wengi walipigwa na butwaa, imekuwaje Kristo Yesu kaingia kwenye nyumba ya Mtoza...
Nilibahatika kuzalisha nikiwa kidato Cha NNE, ila sio rikziki kapo kakike ila kutoka Moro mpaka kuolewa Zanzibari kwangu nahesabu sio RIZIKI.
Nimezunguka kati ya nyumba nzuri hapa Marangu mtoni...
Wote tunajua Zitto Kabwe alimpigia kampeni za Urais Tundu Antipas Lissu mwaka 2020 badala ya mgombea wa ACT Wazalendo mzee Membe.
Japo Wassira anasema Tanzania inafanya Siasa za Unafiki lakini...
MHE. MARTHA GWAU MGENI RASMI KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA CAMPUS YA SINGIDA.
Mhe. Martha Nehemia Gwau Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida amekuwa mgeni Rasmi kwenye...
Ninafuatilia kwenye runinga tukio la kuuaga mwili wa aliyekuwa mtumishi wa serikali na mwanadiplomasia mbobezi ndg Bernard Membe.
Ninawiwa kuwaasa viongozi wetu wa serikali, bunge na mahakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.