Bernard Membe amewakosea nini watanzania? hadi iwe hivi?

Binadamu kujisahau kuwa wote ni wa ardhini ndo kunakotuponza.Leo wafurahia huyu au yule kufa then unaenda kulala huamki au wagongwa na baiskeli....wabondwa jiwe kwa bahati mbaya maisha huna.Usimlaumu MTU tatizo ni kujisahau.....
 
TANGU kutangazwa kifo cha Benard Kamilius Membe kumekuwa na hali ambayo sio ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii ya JF, Twita, Instagram, Facebook na Youtube.

Swali langu kwa watanzania Membe aliwakosea nini hadi iwe hivi?
Hali gani hiyo Mkuu?
 
Kwani huko kwenye mitandao ulikopita wao wanasemaje?
Wanaonekana kufurahishwa na taarifa za msiba au wanasikitika?
Kama wanafuahia, wanasema wanafurahia kwa nini?
Kama wanasikitika, kipi kinawafanya wasikitike?
 
Chuki tu eti kisa baada ya yeye kusikia Msiba wa ankari Magu alifanya sherehe na kula kuku na pilau badala ya kuomboleza km wengine walivyofanya, hio nimepewa na imevujishwa kutoka huko ndani ndani na TumainiEl aliesema hivyo kua Mzee Membe alifanya sherehe ankari Magu alipofariki

Ni utamaduni wetu kwa jamii zetu hizi mtu akifariki hata kama alikuwa jambazi, mwizi, malaya (jinsia zote) tapeli na muuaji eti bado tunatakiwa kusema mazuri yake tu kama vile mtendaji (Marehemu) alikuwa anafanya kwa bahati mbaya matendo yake ya kuumiza wengine

Sina lengo kumtetea Marehemu Membe ila kama kuna mtu yoyote alihisi hakuwa na uhusiano nae mwema kipindi cha uhai wake na alionyesha hisia zake sioni Kama ni tatizo hapo

Jamii yetu imejengwa kwa misingi ya unafiki na kujipendekeza pendekeza
 
Yaan jamàa wamesubiri afe kwanza ndio waje na hio point yao kwamba alikula kuku na pilau na kufanya sherehe siku ile ankari Magu alipofariki, inahuzunisha sana
 
Back
Top Bottom