Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi si mtu wa siasa ila kama mdau wa uchumi ninatamani niongelee mambo kadhaa katika context hii ya kiuchumi. 1. There is no way tax payer amewahi kukubaliana na issue inayohusiana na ulipaji wa...
1 Reactions
3 Replies
880 Views
Wasitutishe, wasitubabaishe. Lazima kuwe na tozo na kodi mbalimbali. Haya ma vieti mnadhani ni mengi hivi sababu wajapan wanatupa bure? Mnadhani yanatumia maji? Au yanatumia upepo? Burundi...
0 Reactions
1 Replies
382 Views
Na Sadick Mtulya MWANASIASA kijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa chama hicho, wilayani Tarime mkoani Mara, Livingstone Lusinde amesema mwanasiasa mkongwe nchini, John Malecela (75) ni...
1 Reactions
205 Replies
24K Views
Halakini wabunge wamemuomba awaachie hii ishu kwa sababu akifika mahakamani jaji atazuia kumtesa tena na maneno kama wanavyofanya sasa hivi, kabla ya kumfikisha huko, According to the dataz ni...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Kisa kingine cha kweli acha niwashirikishe kuhusu JPM kipindi alipokuwa W UJ. Kama sikosei ilikuwa mwaka 2013 kipindi hicho miradi miwili ya barabara kuanzia Songea mjini hadi Namtumbo na Likuyu...
5 Reactions
8 Replies
884 Views
- Haya wakuu habari nilizozipata sasa hivi toka ndani ya mkutano wa siri sana ni kwamba mgombea Masauni, nidye ameibuka mshindi wa uchaguzi huo baada ya kuwashinda wagombea wengine. - Uchaguzi...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi mzigo wa gharama za matibabu hasa kwa wenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
THOMAS Nkola maarufu kama mkulima na mfugaji amefungua maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kuwashitaki baadhi ya mawaziri, wakuu wa taasisi za umma na kampuni binafsi. Nkola ameomba...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Ama hakika kabla hujafa hujaumbika , Enyi vijana mnaopata vyeo vya kuteuliwa kuweni waangalifu mno pale mnapotenda majukumu yenu , hivi vyeo na hayo masaluti mnayopigiwa ni vya muda mfupi sana na...
32 Reactions
106 Replies
15K Views
MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Wakuu wote JF, wasalaaam waleiykum! - Katika siku za karibuni wananchi wa Tanzania tumejionea jinsi watawala wetu either wasivyo na maadili na uongozi tuliowapatia kama dhamana tu, wasivyo na...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Polepole ni mzalendo Wa Kweli. Nitamuombea Kwa Mungu muweza Wa Yote Ili amlinde na kumpa ushindi dhidi ya adui ZAKE na adui Wa Taifa hili Kama Mfalme Daudi. Tunamuhitaji Polepole kuliko wakati...
10 Reactions
83 Replies
8K Views
...sasa 16 billioni zimeenda wapi!!!? :confused: Usanii mtupu!!!! Money recouped from EPA: Govt tables 53bn/-mini-budget JAPHET SANGA in Dodoma Daily News; Wednesday,February 04, 2009...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
- According to the dataz nilizozinasa sasa hivi, ni kwamba Muungwana atakuwa njiani kuelekea US taarifa zaidi baadaye! Respect. FMEs!
1 Reactions
49 Replies
6K Views
- Heshima mbele wakuu wote JF, baada ya muda mrefu sana tupo wote tena unajua mishe mishe ya maisha. Leo ya ustaafu kutoka kwenye siasa zetu Tanzania, I mean tufike pahali tujikite as a nation...
13 Reactions
45 Replies
3K Views
Na Alfred Lucas Mwanahalisi~Maslahi ya taifa Mbele MFANYABIASHARA na mbunge wa Igunga, Rostam Aziz amesitisha uchapishaji magazetini wa taarifa yake ya kukana tuhuma za ufisadi. Taarifa...
1 Reactions
58 Replies
8K Views
MBUNGE KWAGILWA REUBEN NHAMANILO AZUNGUMZIA UPOTEVU WA FEDHA ZA MADAWA MSD NA WASHITIRI Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Mhe. Benaya Liuka Kapinga akichangia...
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Salaam Ndugu zanu, Bunge linaendela muda huu, mgomo wa kariakoo unaendela muda huu lakini Spika analetewa hoja hii mezani anajifanya kama hajui kinachoendelea. Kwamba Spika anashindwa kutazama...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom