Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu kama ilivyokuwa kwa Kinana, Balozi Membe hajaonekana kwenye matukio makubwa ya kitaifa kuanzia msiba wa Hayati mpaka shughuli za kitaifa zilizofuatia Yuko wapi? Kama sikosei muda mchache...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Wakati kundi moja likipambana na Legacy ya Marehemu Magufuli ili kuizuia isiendelee kusambaa!Lakini imeshindikana na... Huko Duniani inasambaa kama moto wa msituni R.I.P Jemedari John Joseph...
1 Reactions
8 Replies
499 Views
Membe alikuwa Mwanademokrasia wa kweli kakaa bungeni miaka 15 kampisha Mwananchi mwingine Lakini ni Membe pekee aliyepinga utaratibu wa CCM kutoa Fomu Moja ya Uchaguzi wa Rais kwa kila mwaka wa...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Hili liwe ni fundsho kwa wana siasa wa hapa Tanzania. Yaani wananchi tupate tatizo tukiwa kigoma weee kiongozi utwambie tukufuate Lindi ili utusikikize matatizo yetu? Haiwezekani tukaja huko...
21 Reactions
144 Replies
6K Views
Mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa, Nina haki ya kutoa maoni yangu kama ilivyowekwa katika katiba yetu na tamko la Haki za Binadamu. Kwanini nasema unafaa kwasasa? 1. Nimekufuatilia nimeona una...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Naona waziri mkuu analalamika ohoo TRA wana dharau, mara hivi mara vile, Kama kuna kuna sheria wamevunja kwa ninin wasiwajibiswe? Hizi hadaa ni wajinga pekee wanao weza kuzinunua hizi hadaa...
3 Reactions
5 Replies
647 Views
Leo Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amefanya jambo Kubwa sana namna alivyotatua Mgomo wa wafanyabiashara. Mambo makubwa nimejifunza kupitia mgogoro wa Leo Moja amekuwa sehemu ya wenye Tatizo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakati huu.. Wakuu, je kwanini tunataka Katiba Mpya? Sikatai katiba tuliyonayo ina madhaifu lukuki, hata katiba tulionayo inafatwa inavyotakikana? Sote ni mashahidi, katiba tuliyonayo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanabodi, Angalizo la uchangiaji: Kuna watu humu wana vijiba vya roho, akitokea mtu akapendeza wao wanakereka au akisifiwa wao wanakereka na kukasirika. Kama wewe ni mmoja wa kundi hili, nakuomba...
51 Reactions
204 Replies
15K Views
"Leo Mmalawi amepanda ndege ametua Kia anataka kununua viatu jora zima pea mia. Amelipa na amepata risiti unakutana naye na risiti. Kuuliza sio mbaya. Lakini sio sawa unachukua mzigo wake na...
0 Reactions
1 Replies
367 Views
Hivi huyu jamaa ana atumia nini kufikiri, hajui hizo sheria zilifungwa na bunge hilo hilo. Hajui watu walichoka na muziki mikubwa na kuwa kero kwa watu. Leo bunge lisitishe shugli zake ili...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Maoni ya kupata Katiba mpya na safi itokane na WANANCHI wenyewe wa Kila makundi kupitia mikutano ya Kitongoji, Kijiji na mitaa na sio kutafuta wawakilishi ambao waliowengi wanatoa mawazo dhahania...
0 Reactions
3 Replies
759 Views
Msiba wa Mzee wangu Bernard Kamilius Membe umekuja kwangu na mafundisho makubwa mengi sana kuliko nilivyowahi kudhani kama siku siku ningeweza!Lakini kubwa nimeona uwepo wa "knowledge gap" kubwa...
36 Reactions
125 Replies
12K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika katika Soko la Kariakoo ambako wafanyabiashara wametangqza mgomo tangu asubuhi. Majaliwa amelazimika kuacha Bunge na kuja kwa dharura ili kuzungumza na...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TMDA wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
1 Reactions
1 Replies
591 Views
Kumekuwa na maneno mengi ya kejeli na visasi kwa wanasiasa ambao hatunao tena. Masikini wa Mungu hao wanasiasa ambao hatunao tena ukiaangali kwa makini unagunduwa walichokuwa wakikitekeleza ni kwa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama Taifa lingeongozwa kwa ungwana na huruma basi Taifa Hilo lazima liwe ktk hali dhoofu na kutowajibika kwa viongozi. Taifa linaongozwa kwa amri na taratibu Taifa linaongozwa kwa codes na nje ya...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Act ni chama kipya hapa nchini kilianzishwa baada fujo kule chadema mwaka 2013(kama nimekosea mwaka) wakati zitto akitaka kugombea uenyekiti mbowe akamfukuza ndo ACT ikazaliwa Zitto...
2 Reactions
4 Replies
690 Views
-Nikiwa Mwana CCM mkongwe, napenda nitoe dukuduku zangu kuhusiana na mienendo ya ndugu zetu Nape Nnauye pamoja na William Malechela ambao dhahiri wanakiangamiza chama siyo kwa kusimamia na kutetea...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Siku zote umoja na mshikamo ndio nguzo ya Taifa lolote, Taifa lolote likikosa huo umoja linakuwa hatarini na kuwapa maadui wa Taifa hilo nafasi ya kulishinda. Ndio maana baada ya Maandamano ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom