Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Tanzania amemshukuru Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kutosimamisha shughuli za kiuchumi wakati wa janga la Covid 19 na kusema hatua hizo...
18 Reactions
74 Replies
4K Views
Nimeandika kama kumbukumbu tu, wala sina nia mbaya. Kama mtakumbuka Wagombea Urais wa chama hicho waliofariki na ambao waliosajiliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi wamefikia watatu; Maalim Seif...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema kuna tetesi za Covid-19 anaimba Wananchi watulie Ummy amesema wanachakata taarifa Kutoka vituo mbalimbali kama kuna dalili za ongezeko la matatizo ya...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Jaji wa Mahakama Kuu anaamua kuficha historia ya Membe kwa kuacha kusema alikuwa mwanachama wa ACT na aligombea urais, kwenye ulimwengu wa kidijitali ambao taarifa zinatunzwa jaji anajaribu...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
15 Reactions
282 Replies
24K Views
Unajua Lissu anajitia hajui kuwa hali iko hivi, Rais Samia 2025 hataki kabisa upinzani mkali, sasa Lissu yeye anakomaa. Mambo tayari yako mezani pale Mbeya, wataka jimbo Sugu apate na Tulia...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , ndugu Paulo Makonda , kwa mara ya kwanza katika kipindi kirefu ameonekana hadharani. Ni kwenye msiba wa Bernard Membe kwenye viwanja vya Karimjee, bado...
15 Reactions
87 Replies
9K Views
Waziri wa zamani wa Uchukuzi William Kusila (78) amefariki dunia leo mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili . Chanzo : Mwananchi
9 Reactions
61 Replies
9K Views
Naangalia hapa vyombo vya habari vya Kenya, naona kuna ratiba ya Ruto kufanyiwa mahojiano tena, hii ni mara ya pili kama sikosei tangu aingia Madarakani. Kwa mtakao fuatilia mtakuja niambia wale...
1 Reactions
8 Replies
675 Views
Zitto Kabwe: Nilipokuwa nina mgogoro ndani ya CHADEMA Membe alinihurumia akataka kunipa Ubalozi wa Ujerumani! KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema wakati akiwa na mgogoro ndani ya CHADEMA...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema katika kitabu cha historia ya maisha ya Membe alichokiandika mwenyewe enzi za uhai wake huenda kuna sehemu kitawakwaza...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Walianza NEMC sasa ni zamu ya TRA kumgombanisha Rais na wananchi wake anaowapenda. Ni ukweli usiopingika kuna Taasisi zinamuingiza Mhe. Rais katika mtego na wananchi kadiri siku zinavyokwenda...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama kichwa cha thread kinavyoonesha, sishabikii vita ila inaonekana nchi za Magharibi na Marekani ni tishio sana kila anaemsaidia Urusi hufanya hivyo kisiri siri!. West hujiona wapo sahihi kwa...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Kuna kelele nyingi za wanafiki kwako Mh. Membe. Lililo jema ni kwamba unaufahamu sana unafiki wao. Manabii wa kweli wa Mungu, tangu historia, na tangu kale, wanafahamika kwa kusimama na kuusemea...
20 Reactions
53 Replies
4K Views
Jasusi wa zamani wa TISS, Mwanadiplomasia na waziri mstaafu Benard Membe yupo kimya Sana awamu hii. Membe ni jasiri aliyemtikisa Magufuli na kukosoa utendaji wake tangu mwaka 2016 mwanzoni...
6 Reactions
84 Replies
9K Views
Katika hali ya kawaida, hakuna binadamu mwenye akili timamu ambaye hufurahia kifo cha binadamu mwenzake, labda binadamu huyo aliyekufa awe ni mtu ambaye uwepo wake unasababisha vifo vya wanadamu...
27 Reactions
264 Replies
15K Views
Nimemuona bwana Nape alivyotingwa na majonzi wakati mwili wa Godfather wake ukiingia nyumbani Mikocheni. Kiukweli ameshindwa kujizuia. Kanuni ya dunia ni moja kama umeamua kuwa na moyo wa chuma...
14 Reactions
43 Replies
5K Views
GHARAMA KUBWA ZA AFYA NCHINI; TUNATAKA KILA MTANZANIA KUWA KWENYE HIFADHI YA JAMII [Uchambuzi wa Bajeti ya Afya kwa mwaka wa fedha 2023/24] Utangulizi. Ijumaa Mei 12, 2023 Waziri wa Afya Ndugu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
MANENO ya Kiingereza yenye kubeba tafsiri ya ujasiri ni mengi. Hapa nitatumia mawili, “valorous" na “plucky”, kueleza wasifu wa Bernard Kamillius Membe. Mwanasiasa, mwanadiplomasia na kachero...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom