Mimi si mtu wa siasa ila kama mdau wa uchumi ninatamani niongelee mambo kadhaa katika context hii ya kiuchumi.
1. There is no way tax payer amewahi kukubaliana na issue inayohusiana na ulipaji wa kodi kwa hiyari, popote duniani na hii ni kwa sababu kodi inauma.
2. Kariakoo ni onus ya mapato yetu ya kodi ambayo ndio basis ya uendeshaji wa bajeti na uchumi wetu. Nchi yetu inaendeshwa kibajeti kwa zaidi ya 70% ya mapato ya kodi (tax based revenues) na kwamba every tax policy una adopt lazima i focus katika kuongeza makusanyo ya kikodi.
3. Kariakoo ina walipa kodi wengi wa kimkakati maybe kuliko maeneo mengi ambayo DRD (Domestic Revenues Department) hupata na ndo sababu Kariakoo imepewa hadhi ya kimkoa katika kodi. Yaani Kariakoo ni Mkoa wa Kikodi ambao una Meneja wa TRA mkoa. Sasa eneo hili ni la kimkakati na how to deal with them lazima iwe very fragile, kwa sababu tunategemea mapato yao BUT in return tunategemea kwamba hii move inaeza sababisha migogoro nao.
4. Wajibu wa TRA wa kisheria tangu kuanzishwa kwao mwaka 1996 ni kukusanya Kodi, kutunga sera za kikodi kwa ubia na serikali na kwamba TRA inafahamu wajibu huu ni lazima ulete migogoro na wengi ikiwemo rafiki wa kodi wa kKoo na kwamba kila kodi inatozwa ni inatozwa kwa mujibu wa sheria kama inavyoelekezwa katika Katiba ya Nchi ibara ya 138 na kwamba yote yanafanyika kwa ajili ya watu.
5. Kodi haitozwi kwa kuonewa kwa sababu kodi ni matokeo ya tathmini binafsi (self assessment) au tathmini ya Kamishna wa TRA kwa mujibu wa sheria ambayo ndo hupelekea mlipa kodi kulipa. Ni kwa bahati mbaya sana mnachanganya kodi na siasa zenu kitu ambacho ni way too silly.
6. Wanasiasa msiingilie masuala ya kodi na ulipwaji wake maana kodi ni mchakato wa kisheria na ni vema tukiheshimu the fact kwamba mchakato wa utungaji wa sheria nyie ni washiriki wakubwa na kwamba mnapoleta political confusion mna athiri mapato ya kikodi ambayo athari zake katika uchumi ni kubwa sana. Ingependeza sana tutafute Suluhu za kisheria na si hizi shortcuts za kisiasa na za kuchafuana.
Mwisho: Tuache siasa , tutafute Suluhu za kisheria.