Mtikila Aombwa na Wabunge Kukaa Pembeni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtikila Aombwa na Wabunge Kukaa Pembeni!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Field Marshall ES, May 29, 2008.

 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Halakini wabunge wamemuomba awaachie hii ishu kwa sababu akifika mahakamani jaji atazuia kumtesa tena na maneno kama wanavyofanya sasa hivi, kabla ya kumfikisha huko,

  According to the dataz ni kwamba Mtikila amekubali ujumbe huo wa wabunge, Mods mnaweza kuiunganisha ikibidi,

  later wakuu, niko safarini nilisimama kidogo tu baada ya kupata dataz!
   
 2. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hiyo ya kumburuza Mkapa ina akili, ila aende na full mass nondozz tu asije akapigwa katika technicalities kama wanavyofanya kila mara.
   
 3. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  na aende afundishwe sheria maana naye ni misifa tu
   
 4. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2008
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mkapa hapaswi kupelekwa na mtu mmoja anapaswa kupwelekwa na jopo au wabunge. Hili la kumkataza lina akili sana.

  Lakini vile vile nampongeza Mtikila kwa initiative zake. Ni
   
 5. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mwanzo mzuri sana huu FMES.

  Mtikila itabidi awe makini akisubiria tu sign ya kwenda mbele.. akitaka nyeti aje JF akamate ghala zima la nyaraka.
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mwanzo wa maumivu, itabidi chonya aanze kujipanga pa kukimbilia
   
 7. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2008
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hapa Mkuu ukisikia ujanja mzee inabidi aanze kumuuliza rafiki yake tony kama anaweza kumsaidia mahala pa kujibanza. Vinginevyo pale segerea au keko waanze kujenga nyumba yake taratibu maana makosa yake yanaweza kuwa mengi sana.

  Si umesikia juzi baada ya kusikia Balali amejigeuza akapata nguvu za kuongea. Inawezekana makosa yake anayoyajua Balali yakawa mengi kuliko tunayoyajua sasa. Aliona kama amepata unafuu.
   
 8. Insurgent

  Insurgent JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2008
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 469
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyu mtu hutumiwa tu na watu mbalimbali kutokana na uendawazimu wake. Leo Bulushi kamtumia...
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mafisadi wanarudisha fedha,

  Akaunti haiwi public

  Balali yupo huru wala hatafutwi

  Balali kaamua kufa

  Serikali inaapa balali kafa wala hajauawa (kaaaz kwelikweli)

  Chonya anadai tunamsingizia kuanzisha ANBEN Co. Ltd

  SISI TUNATAKA HELA ZETU NA MAADILI
   
 10. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2008
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kuna harufu fulani inaelekea wanaotupatia majibu wakawa wanahusika kwa njia moja ama nyingine.

  Inakuwaje wachunguzi kila wakifika wanaanza kupata kigugumizi? Mara nyingi kigugumizi kazini huwa kinatokea ukikuta kazi uliyopewa inawatu wanaokuzidi nguvu.

  Hivi tuamini lipi? Inawezekana hata mabosi wakuu, waliotuma watu kazi ndio wahusika wakuu? Mbona hapa inaonekana kazi kuwa ngumu?
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu ES hawa wamemkataza kwamba wata deal na issue ama wamemkataza kwamba tumwache Mzee Mkapa apumzike baada ya miaka 10 ya wizi ?
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,587
  Likes Received: 82,209
  Trophy Points: 280
  Tumewauliza mara chungu nzima waweke hadharani list ya majina ya hao waliorudisha hizo $60 million, lakini inaonekana ilikuwa ni changa la macho tu hawajakusanya chochote!!! Pia tuliomba tuambiwe pesa hizo zimewekwa kwenye bank ipi na account namba yake ili bank hiyo iweze kuwathibitishia Watanzania kwamba kweli katika bank hiyo wana account namba hiyo ambayo balance yake ni hizo $60 millioni lakini wameshikwa na kigumuzi cha kifisadi!!!
   
 13. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  According to the dataz ni kwamba, Mtikila leo ametoa tamko zito sana against Mkapa na ufisadi wake, it was so strong kwamba akaweza kupata attention ya taifa na vyama, vyote vya siasa na hasa alipomalizia kwa kusema kuwa yeye binafsi anajitayarisha kumburuza Mkapa mahakani, kwa sababu anao ushahidi wa kutosha,

  Wabunge wengi ambao wanajitayarisha kumtwanga Mkapa, wakam-reach out Mtikila behind the scene, na kumuomba sana kuwa akifanya hivyo sasa it is a good thing, lakini tatizo ni kwamba Mkapa, atawaomba majaji legally kupiga marufuku viongozi wa siasa kusema anything on ufisadi wa Mkapa, mpaka kesi itakapokwisha ili wasi-influence wazee wa mahakama, au uamuzi wa mahakama, that is not the strategy ya wabunge hao kama 20 hivi,

  The strategy ni kumtwanga pole pole kwa kutoa ufisadi wake kwa public, kabla ya kufikia hatua ya wabunge hao kumfikisha kwenye sheria, kama walivyomfanya kwenye bandari, Mtikila akakubali under one condition, kwamba anawapa muda maalum, wakishindwa hatawauliza ila ataenda moja kwa moja kwenye sheria, wabunge wakakubali hiyo compromise,

  Binafsi ninamuaminia kuongozi wa wabunge hao, aliyenipigia simu nikiwa safarini, ninaamini kuwa hii ni hatimaye one solid step forward kuelekea kwenye ukweli wa ufisadi wa Mkapa, knowing kwamba ni innocent until proveni guilty! Na wengi tunasubiri kwa hamu hiyo siku, Mkapa amefanya kosa kubwa sana kuzungumza, waliokuwa wanamkingia kifua ndio waliokuwa wakimtaka anyamaze kimya sasa amemamua kuzungumza kwa sababu ameamini kuwa wale wale wanaomkingia kifua ndio wanaolikisha habari zake kama tulivyosema, kwa hiyo akaamua to hell with them,

  I mean sasa amewapa sababu kubwa ya kunawa mikono kuwa hawawezi tena kumsaidia, lakini the big question ni Mkapa anajiamini nini? Na kwa nini hakugusa any specific charges kwenye maneno yake makali huko jimboni kwake? Ina maana kwamba anajua kuwa kesi ni inevitable, inakuja ndio maana hakugusa kabisa charges, the confidence anaitoa wapi huyu? Yale yale ya Balali, kwamba anajua ya wengine, je hao wengine watamuacha au kumpa nafasi ya kwenda kusema kwenye sheria?

  Ndugu zangu wananchi, hapa tunahitaji kuwa makini sana na from now on kuanza kumfuatilia Mkapa kila kona anyopita na anlofanya, nina wasi wasi kuwa yatarudia yale yale ya Balali hapa, haya ni maoni yangu tu binafsi!

  Ahsanteni Wakuu, lakini tutaendelea kuifuatilia hii habari kwa karibu zaidi.
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Mwili Unanisisimka..........napata Vision Ya Mbalii................................na Mwanga Unazidi Kuwa Hafifu............sijui Itatokea Nini....drama....
   
 15. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Mtikila ametumwa na Rostam Azizi amtukane Mkapa ili kuhamisha mjadala. Pia ametumwa afungue kesi dhidi ya Mkapa ili bunge na serikali viwe na mipaka ya kuzungumzia masuala ya EPA na mengineyo. Hii ni kwa sababu kinara wa yote ni Mkapa. It is an exit strategy. Lakini wasilolijua ni kuwa yakienda mahakamani, watavuta muda na kunyamazisha kwa muda lakini kifo cha huko mbele kitakuwa kibaya zaidi kwa Mkapa na kila kitu kitamrudia na Rostam mwenyewe. Tusubiri tuone, wakitengeneza mitego na kujitega

  Asha
   
 16. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Very strong argument mkuu, tupo ukurasa mmoja hapa!
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kama kakubali kukaa pembeni amefanya jambo lamsingi lakini inabidi awe nyuma ya hawa wabunge ili kuwapa support waende sambamba mpaka kieleweke.
  Hapo ni wakati muafaka wa kuwapima majaji wetu uwezo wao wasije wakaanza kutema mzigo mapema hawakaii hawa kumbeba mtuhumiwa kwani wakionyeshwa mlungula tu soo hakuna haki tena hapo.
   
 18. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Kuna logic simple sana ya kujibu hili swali lako. Kama bado unasubiri upate jibu kutoka the powers that be, basi utasubiri sana. Lakini hiyo $60m inaweza ikawa imerudishwa bila tatizo.

  Means to an end, End met, More Rewards, Rewards cleanses initial means to an End.
   
 19. bokassa

  bokassa JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2008
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ningekuwa nkapa, ningeenda UK kununua sunderland FC kama alivyofanya Shinawatra, yule jamaa wa Man City toka Thailand!!!!
   
 20. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
   
Loading...