Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania.
Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa.
Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa...
MAISHA ya William Malecela yanaakisi tafsiri ya binadamu mwenye sifa nyingi ndani ya mwili mmoja.
Msomi na kichwa ngumu. Mtu wa misingi na ndimilakuwili. Mpambanaji na mtoto wa baba. Hustler na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo leo tarehe 15 Mei, 2023 amewasili wilayani Bukombe mkoa wa Geita kwa ziara ya siku moja na kuzindua majengo mbalimbali ya Chama Cha...
Wakati Tunaomboleza Msiba wa Membe bado kuna mambo mengine yanaendelea nchini mwetu .
Huko Makete Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaendelea kutoa elimu kuhusu Katiba Mpya na Tume huru ya...
Dunia inakabiliwa na changamoto kuu mbili sasa;
1. Uharibifu wa Mazingira
2. Kujenga uchumi imara katika mazingira magumu
Kwa kuangalia kuanzia mwaka 2030 sioni mwanasiasa mwenye upeo wa...
Tawire tawire wanazengo, nataka nitoe ramli chonganishi (natania ila nina facts).
Pale Ufipa wadau kuna moshi mdogo sana unafuka, kama hamjui hata kama hamuoni basi tuwasaidie kidogo wanazengo...
Ubinafsi wa vyama vya Siasa umebainika leo wakati Zitto Kabwe alipotumia Muda wa salamu za vyama vya Upinzani kwa family ya Membe kutoa salam zake Binafsi na kuwafanya Godbless Lema wa Chadema na...
Zitto amechanganyikiwa? Aliyoyaongea kwenye msiba wa mpendwa wetu mh Membe, yanasidifu hiki ninachosema!
Aliwahi kusema kipindi cha Kifo cha Magufuli kwamba, walioumizwa sana na kifo hicho...
Sina kumbukumbu sahihi kuwa ni lini wafanyabiashara wa Kariakoo wamewahi kugoma kwasasabu yoyote. Kariakoo ndiyo Dubai ya nchi yetu, ina wafanyabiashara wa kila aina, wakiwemo wenye mitaji...
Kwa mara kwanza Tanzania imekua ranked ya pili AFRIKA kwa matumizi sahihi ya teknolojia serikalini.
Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la The Citizen la leo, nikaona waziri wa TEHAMA Nape naye...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameonyesha kutoridhishwa na wasifu wa Bernard Kamillius Membe (69) kutogusia uwepo wake ndani ya chama hicho cha siasa.
Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo...
Katika dharura hutafutwa Watu Wenye ushawishi Ili kusaidia kuleta suluhisho
Kwa kuwa hawa Wafanyabiashara hapa Kariakoo wanakutaja sana Makonda na wamekumbuka MNO na maduka hayajafunguliwa...
- Wakuu uchaguzi mkuu wa taifa uko kwenye kona, Mzee Mandela aliwahi kusema kwamba kwenye ishu muhimu za taifa kama hizi kuwa kimyaa au kuwa neutral ni dalili za kuwa coward.
- Kwa wale tulio na...
Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.
Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
Tangu lile genge lilipoipindua CCM halali, likafanya kampeni nje ya utaratibu wa CCM na kutwaa madaraka, hakuna siku waliwahi kuomba na kutubu kwa kitendo chao cha kuipindua CCM na kutuaminisha...
Ninadhani kuna watu wanabeba ajenda na matamanio ya wananchi na malalamiko ya wananchi kama ni harakati za wafuasi wa Magufuli.
Hali ambayo Mh.Rais na baadhi ha viongozi wenzie wanaziba masikio...
Tamisemi kuna matatizo mengi sana hasa ulaji wa fedha za miradi..waziri na timu yake bado ajafungua macho kuwaziba midomo wezi.
Kwenye biashara napo kugumu wafanyabiashara wameanza kuona giza...
Mgomo unaoendelea Kariakoo uwe wake up call kwa serikali kuacha kutumia vyombo vya dola kuendesha biashara za raia. Tutumie wataalam watuambie tatizo lilipo na tulipatie ufumbuzi.
Siku dola...
Buriani Bernard Membe, Mwanademokrasia
Mama Dorcas Membe pamoja na wanao
Ndugu Wafiwa
Viongozi na Waombolezaji wenzangu
Ndugu Watanzania
Nimepewa nafasi niseme machache ya kumuaga mzee wangu...
Mapema 2021 matukio yalianza hivi hivi safari za Karimjee kutokwisha hadi pigo kuu lilipotimu.
Ee bwana Mungu wa Majeshi mlinde Rais wetu na mpe nguvu ili aweze kulitumikia Taifa kwa amani-AMINA!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.