FMES: Capitalising On CCM's Mistakes, Wapinzani Wapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FMES: Capitalising On CCM's Mistakes, Wapinzani Wapo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Field Marshall ES, Dec 5, 2009.

 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Wakuu wote JF, wasalaaam waleiykum!

  - Katika siku za karibuni wananchi wa Tanzania tumejionea jinsi watawala wetu either wasivyo na maadili na uongozi tuliowapatia kama dhamana tu, wasivyo na adabu na sisi tuliowachagua, wasivyo na heshima kwa katiba na sheria za jamhuri yetu, wasivyo na utu, wengine walevi, waropokaji hovyo hovyo, incompetent, wasiowawajibikaji na ubaradhuli mwingi sana unaoonyesha kutotujali kabisa wananchi wa taifa hili.

  - Ningependa sana kuwasikia wapinzani au kwa wale mlio karibu nao, kwamba wanafanya nini kuka-capitalize on yote haya ya uozo wa CCM? Na je tukiwapa uongozi hivi ni kweli watafanya tofauti na hawa waliopo kwenye uongozi wa sasa yaani CCM?

  - I was just, thinking aloud!

  Respect.  Field Marshall Es!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Very sad to say this,but hao wapinzani wanaonekana
  ndio the worst,,,,,,,,,yaani hata hao ccm ni afadhali..

  Mimi naamini hizi nchi za waafrika zilipewa uhuru haraka sana....
  Tungepewa uhuru miaka ya tisini ingekuwa bora zaidi....
   
 3. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2009
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,401
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Mzee ES, hiyo hata mie nimefikiria sana, na nimeshindwa kuelewa kwa nini Wapinzani wa Tanzania hawagundui hilo? Infact my expectation was very high of Dr. Slaa, mtu ambaye naona ni very intelligent kule Chadema, ilibidi atumie hizo weakness za CCM na ku-mobilize attack ya hali ya juu.

  Kule CUF kuna hawa jamaa Lipumba na Maalim Seif, wote kimya, I wonder.

  Halafu kuna hili suala la umoja wa wapinzani. Hadi hii leo wapinzani wa nchi hii hawajapata picha kuwa bila kuungana na kuwa na msimamo mmoja - Taifa kwanza hawawezi kumshinda CCM. This was a very good opportunity for them to mobilize an unprecedent campaign against CCM. Lakini hadi leo wanangoja uchaguzi ufike, zaidi sasa hivi wameshaanza kubomoana wenyewe kwa wenyewe.

  Wapinzani sasa hivi strategically wapo na kete nzuri; kutoka kwa wananchi, viongozi within CCM (ambao wameshachoshwa na siasa za CCM), also on the diplomatic front.
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Bahati mbaya wapinzani wana matatizo hayo hayo ya U-MIMI.
  Sasa hivi uchaguzi karibu na ndio utasikia ruzuku inavyoliwa kwa fujo na kufukuzana kwingi.
  Bahati mbaya hakuna chama kilicho capture imagination ya waTanzania wengi kwa itikadi yake.
  Kama alivosema Baba wa Taifa, upinzani kwa CCM ni lazima utatoka NDANI ya CCM yenyewe,tunaomba upinzani huo uwe wa amani.
   
 5. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #5
  Dec 5, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Mkiipa CHADEMA dhamana otafanya tofauti na CCM,will be the best ruling party in Africa.Nadhani steps zake mnaziona...
   
 6. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0

  - Mkuu labda ungefafanua zaidi if you don't mind, kwa nini unafikiri Chadema hawatafanya kitu tofauti maana ni mawazo yako hayo!

  Respect.


  FMEs!
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Mimi lipumba naona anafaa kuwa rais..
  Na cuf wako imara kimaadili...
  But tatizo cuf watavunja muungano.
  Na siungi mkono serikali tatu.
   
 8. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0

  - Mkuu okay, lets deal na what we have already, kuliko what we don't have si kuna nchi zingine kama Namibia zimepata uhuru late, vipi na wao wako kama sisi tuliopata mapema, jaribu kwenda ndani kidogo!

  - By the way ni majuzi tu one of my sister amerudi kutoka huko Namibia alikwenda as a part of the team ya kusimamia uchaguzi wa huko uliofanyika karibuni, ananimbia kwamba huko hakuna cha anything zaidi ya SWAPO tu, kwa hiyo uchaguzi wao ni a piece of cake, sasa sisi vipi wapinzani wanajitayarisha vipi na uchaguzi ujao?

  Respect.


  FMEs!
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  namibia sio kama tz..
  Laiti kama namibia
  wangekuwa wengi na mali asili nyingi
  wasingekuwa na tofauti na south africa,
  suala si democracy peke yake.
  Suala ni uwezo wa kuleta maendeleo.
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,882
  Trophy Points: 280
  FMES hii thread yako ina matatizo mawili

  1. Kwanza inasababisha kilio kwa wapenda mabadiliko
  2. Inahakisi hali halisi ya matatizo tuliyo nayo


  I like Chadema, lakini jinsi walivyobadilika siku za karibuni hasa kwenye issue za uchaguzi(kutotangaza matokeo) Upinzani wanaweza WAKAWA WORSE KWENYE KUNG'ANG'ANIA MADARAKA!

  Pili kuna KUHESHIMU SANA WENYEVITI WA VYAMA HATA KUWAONA KAMA MUNGU, HII NI ALAMA TOSHA YA UKIWAWEKA HAWA WATAGEUZA NCHI KWENDA KWENYE UFALME

  CCM inabidi itoke madarakani though, nadhani FMES unajua msimamo wangu nawachukia CCM. Ila naogopa nisije kanyaga Mavi baada ya kuruka MKOJO

  Kenya ni mfano Tosha, doa waliloliweka Chadema kufutika ni kazi sana, na imemuharibia sana Dr.Slaa.

  MBOWE MSTAARABU SANA MBELE YA CCM!!! hajafika nusu robo ya akina Tsvangirai!

  Nasubiri matusi kutoka kwa wanachadema , maana silaha yao kubwa ndani ya JF ni matusi tu!!!! anyway, that also explains something!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Now back to wapinzani, wanafanya nini na this great opportunity wanayopewa na CCM, I mean it is all over our faces yaani sisi wananchi, you name it kuanzia IPTL, Kagoda, EPA, Richimonduli, BOT & Balali, Dowans, Tanesco, Lowassa, Rostam, Karamagi, Mkapa, I mean I can go on and on!

  - Mimi nilitegemea majuzi wakati mkutano wa Nyerere Foundation unaendelea wapinzani wangeomba platform huko na kuwataka hao viongozi wote wa CCM wanaojifanya majasiri kwa maneno, basi waonyeshe ujasiri wao kwa vitendo kwa kuhamia Chadema au vyama vingine mara moja ili kupambana na CCM, au japo kuonyesha kuchoshwa kwao na uozo wa baadhi ya viongozi wa CCM waliowashambulia sana kwenye huo mkutano!

  - I mean I don't care what, leo katibu mkuu wa Mwalimu Nyerere baba wa taifa letu, Butiku akitangaza kujiengua na CCM na akajiunga na Chadema, that symbolically ni a big plus kwa wapinzani na hasa masilahi ya taifa.

  However: lets say Nyerere Foundation wasingewapa hiyo platform ndani ya mkutano fearing a backlash form CCM's mafisadis, then why wapinzani hawakuweka kambi nje ya ukumbi wa hii kongamano na ku-mobilze wananchi huku wakiwataka viongozi wote waliorusha maneno mazito huko ndani, hasa Butiku, na Quaressi, kujiunga nao mara moja kama kweli wamechoshwa na Rais wao wa sasa! Believe me that would have been a political scandal good kwa masilahi ya taifa, wakikataa basi wao ni kutangaza rasmi kwamba wamewaomba hawa the so called viongozi waliochoshwa ndani ya CCM, lakini ni waoga kama mafisi kumbe ni maneno tu ya sizitaki mbichi hizi!

  - I mean wapinzani tuambieni so far mmefanya nini na mnaffanya nini katika kujaribu ku-capitalize on CCM's misery?

  Respect.


  FMEs!
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Butiku,qaresi???????
  Mimi sioni umuhimu wa hawa watu....
  I mean mi wazyri kwa ku criticise but....sioni kama
  tunawahitaki kiuongozi....
  Unahitaji new blood,new way foraward sio recirclyng...
   
 13. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0

  - Mkuu ninakusikia sana, lakini tafadhali sana msimataje tena huyu mtu wa Zimbabwe, yaani Tsvangira, maana ni majuzi tu nilikuwa na kigogo mmoja wa serikali yetu aliyekwua huko kwa muda kidogo akipima hali ya hewa ya kisiasa,

  - Aliniambia kwa uchungu sana jinsi huyu jamaa alivyo a sell out, kwamba hawezi fanya anything huko Zimbabwe bila ya okay ya US na UK, as opposed na mawazo yetu wengi kwamba he is a hero, inasikitisha sana hata mimi nilishamshitukia sana mapema, lakini nilikuwa sina uhakika mpaka nilipokaa chini na huyu mkulu.

  Respect.


  FMEs!
   
 14. M

  Marigwe JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Hivi tumewahi kujiuliza wakati Nyerere anatabiri kuwa wapinzania wa kweli watatoka CCM mnafikiri alikuwa anamaanisha kwamba kitakachosababisha upinzani ni antagonism ndani ya mafisadi wakigombania kile walichokiiba kupitia Kagoda, Richmond, Green etc? Kwa sababu hivi sasa huo ndiyo ugomvi wenyewe. Ninachoelewa Nyerere upinzani utatokana na tofauti za kiitikadi. Na kwa sasa hilo halipo na wala halitakuwepo kwa siku za karibuni. Hebu angalia wajumbe wa NEC na CC hakuna ideologists labda Kinguge ambaye naye kachoka. Waliobakia wengine ni wachumia tumbo tu. Kwa hiyo utabiri wa Nyerere si wa 2010 wala 2015. What we need is an opposition party of intellectuals not the likes of Baregu au Azaveli. Hawa they are just philosophers and nothing else.
   
 15. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Mkuu symbolically kwa maoni yangu they do matter tena sana, ndio maana Republicans kule US huwa wanamuita Kissinger wakati wa kampeni za urais, huwa ni for symbolism purpose only na sio anything else!

  - Kumbuka hawa Butiku na Quaresi, have nothing to gain wala to loose, sasa ukiwashawishi kuikana CCM to the public, unaweza kupata a big moral authority boost as chama cha siasa on the otherside of CCM, kumbuka kwamba hawa wote wawili wako very strong na their tribes pia,

  - Kumbuka Mramba na Yona waliposhikwa, kuna waliolichukulia lile tatizo in the tribelines na infact, the dataz ni kwamba waliweza ku-escape the prison kutokana na juhudi kubwa zilizofanywa behind the scene on the tribelines, sasa for the struggling opposition Tanzania, unawahitaji hawa kwa sababu kwanza it is the only thing you have at your disposal, halafu their price haiwezi kuwa that high.

  - Kama ningekuwa a political strategist wa any of the opposition party Tanzania, believe me ningekufa nao hawa kuhakikisha ninawa-recruit for the public relations consumption, kwa sababu ukiwa na sauti zao in your pocket, it is a huge moral authority, ndio maana mtandao waliwa-recruit kina Darwesh kumlima Salim, it worked ingawa pia ni lazima uwe carefully namna ya ku-play your hand maana too much of it inaweza kuishia kuwaunganisha CCM against you!

  Respect.


  FMEs!
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Nimekuelewa mkuu.
  Respect...
   
 17. M

  Marigwe JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  An opposition party that should include intelectuals, trade unionists the likes of Rwegasira of TRL, the students and their leaders under the Kikwete. Muwe na ideology. Kikwete aachane na CCM. Kwa njia hii akina Sita na wale wana CCM kama akina Mpendazoe na Lembeli siyo Kimaro, na wajitoe CCM wamuunge mkono JK. Ukiweza kuwa mobilise hawa na jeshi la wasomi wasiokuwa na ajira unawatuma vijijini kukinadi chama. Then you ask support religious leaders wasiokuwa mafisadi maana huko pia wapo. Kwa njia hii utaupata upinzani wa kweli. Halafu CCM unamwachia Makamba na akina Lowasa, Rostam, Karamagi na tuone na fedha zao na utajiri wao wataishia wapi. Baada ya uchaguzi CCM will disappear kwa style ya mshumaa.
   
 18. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #18
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Mkuu heshima yako sana, hivi kweli unasema kwamba intellectualism za kina Mtei, Makani, Lipumba, Seif, Mbatia, na Mrema ni that lwo kwamba we should look for another messiah?

  - Yaani kweli can we comfortably declare kwamba our national misery ni due to a crisis on our opposition's intellectualism? Are we there yet mkuu?

  Respect.


  FMEs!
   
 19. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2009
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,401
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo na wewe umemwamini huyo mkulu?? Tafadhali endelea na topic hii, ulivyoingiza tu kuwa ati mtu alyekuambia hayo maneno ni ya kigogo wa serikali umeniacha mbali! What did you expect him to tell you? For now leave Zimbabwe for Zimbabweans maana yetu ni mazito sana kuliko hata ya Tsvangirai. Kwetu hapa Mkulu wa nchi ni sellout zaidi, au huoni Loliondo na yale ya West!! Let us concentrate on our problems you may discover we will be worse than Zimbabwe in a very near future
   
 20. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0

  - Sawa sawa mkuu, nimekusikia tuendelee kukata ishus mkuu.

  Respect.


  FMEs!
   
Loading...