Humphrey Polepole; urais wa Tanzania unakuita

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Polepole ni mzalendo Wa Kweli.

Nitamuombea Kwa Mungu muweza Wa Yote Ili amlinde na kumpa ushindi dhidi ya adui ZAKE na adui Wa Taifa hili Kama Mfalme Daudi. Tunamuhitaji Polepole kuliko wakati Wowote katika nchi hii.

Nitashangaa sana kama kundi kubwa la JPM litasaliti juhudi ZOTE za MAGUFU na Julius Kambarage Nyerere za kulipigania Taifa hili Tangu Ukoloni.
Mbegu aliyoipanda Nyerere ,Karume,Sokoine na MAGUFULI hakika tusikubali ikafishwa na kakundi ka wahuni,wezi, wauaji na wanafiki wanaojali maisha Yao na kuangamiza maisha ya watu wasio na hatia Kwa manufaa ya Wageni wanaoiba mali za umma na kuifanya Tanzania KUWA shamba la Bibi.

Wananchi wengi walimwelewa sana MAGUFULI katika kulipigania Taifa hili . Ni ajabu sana Kama 2025 kundi lililokua linamsaidia JPM katika kuteketeza ndoto za Mwalimu Nyerere Ndani ya MAGUFULI litakaa kimya na kuacha nchi iende kihuni huni .

Polepole ni KIJANA Jasiri sana na anayeichukia rushwa ya kuihujumu taifa Kwa wazi Kabisa.

Kundi la JPM kwanza Kabisa ni lazima liwe wazi Kabisa kupigania Kariba mpya . Katiba mpya itatufanya wananchi tuchague viongozi tunoona watalivusha taifa hili . Katiba iliyopo haifai mana ni katiba ya kundi la Wachache.

Nilijiuliza mara nyingi sana KUWA Kama tulishinda Vita ya Uganda Kwa kupoteza maisha ya Wanajeshi WETU makumi Elfu ni vipi leo tukubali nchi ihujumiwe na kakundi kadogo ambako hakana athari yoyote kwenye nchi zaidi ya familia zao wenyewe . Yaani Miaka nenda Rudi malaria inatusumbua wakati Kuna dawa ya kuua mbu na kumaliza Tatizo. Ni upumbavu mkubwa mpaka Karne hili Bado tunawalisha watu madawa ya malaria Badala ya kuua mbu. Wahuni ni watu wabaya sana

Acha upumbavu we polepole hata hata mwenyeketi wa nyumba kumi hufai kabisa. Mchinjaji mkubwa
 
Nami naungana na wewe, namuona ni mtu sahihi kwa nchi yetu, MWENYEZI Mungu tusaidie tunamhitaji bwana huyu.
 
Akigombea kura yangu anayo.

Tumfiche kwa maombi
Hazina ya taifa
 
Kaka ungekua unatetea maslahi ya taifa ningeungana na ww lkn imeonesha wazi upo Kwa maslahi ya sukuma gang!

Pia kwanini unaona umuhimu wa katiba sasa hivi na wakati kipind Cha kina pole pole wakiwa kwenye mfumo walikataa katiba mpya
Tunaganga yajayo yenye masilahi kwa nchi
 
Hawa jamaa wakisema watanzania, wanyonge, wazalendo, nk wanamaanisha SG.

Baada ya mauwaji yote yaliofanyika enzi zao, leo hii wanawaita wasiokua wao eti " kakundi ka wahuni, wezi, wauwaji..."
 
Back
Top Bottom