KAMA ilivyozoeleka kwa baadhi ya wafanyabiashara, huwa wanapandisha bei ya bidhaa mara tu wanaposikia serikali imeongeza msha-hara na marupurupu kwa wafanyakazi kila mwaka. Uviziaji huo hufanyika...
Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Mei 21, 2023 jijini Dar es Salaam amefungua wiki ya michezo kuelekea Siku ya Afrika Mei 25, 2023 iliyoandaliwa na Umoja wa...
Baada ya Uzinduzi wa Ikulu Mpya huko Chamwino, mambo mengine ya msingi yangali yanaendelea.
Ile Operesheni ya 255 kama unavyoona pichani ingali inaendelea kwa kasi kubwa. Huko Kasulu Chadema...
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA MAWASILIANO, TEKNOLOJIA YA HABARI NA UCHUKUZI ACT WAZALENDO MWL. PHILBERT MACHEYEKI KUHUSU MPANGO WA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI KWA...
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba leo 21/5/2023 , Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na Team yake akiwemo Katibu Mkuu John Mnyika , bado wangali Kigoma katika ile Operesheni Kabambe...
Ndugu zangu nimekuwa nikiwaza kwamba kanisa Katoliki linawezaje kuthibiti migogoro ndani yake? Hata kama ipo ni ngumu kuisikia mtaani kiasi cha kutitishia ustawi wa kanisa hilo, baadae nikapata...
Doto Mashaka Biteko, mmoja wa wanasiasa vijana kabisa na ambao tangu kuingia katika siasa na katika serikali, wameonyesha siyo tu utendaji unaokwenda na wakati, bali pia uwezo wa kuzielewa wizara...
Ikulu haijakamilika ujenzi unaendelea,this time around ni Samia Complex
=====
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma leo amesema baada ya...
Nimefatilia jana uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma naona hayati Magufuli hakutendewa haki.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao sio waumuni wa Magufuli hata kidogo sikufurahishwa na utendaji wake...
Ukweli huo unaweza kupuuzwa tu na mtu mwenye kufikiria leo. Lakini kwa mwenye maono na afya ya akili, katiba iliyopo inatokana na msingi wa sheria za kikoloni na baadae kuendelea kufanyiwa...
Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi?
Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo...
Mbunge wa Jimbo la Songwe Mhe. Philip Mulugo akichangia kwenye makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2023/2924 iliyosomwa Bungeni na Mhe...
Mh Rais nakupongeza Kwa kulifungua jengo kubwa la ikulu mpya.
Mh Rais' naomba jumapili ya Leo uungane na Mimi na Taifa Kwa ujumla kumwombea Mh Rais' Dr John Joseph Magufuli Mwenyezi Mungu akapate...
Watu walikuwa wamechoka kupoteza ndugu na mali zao kwa kutekwa na kuporwa.
Watu walikuwa wamechoka kwa ubaguzi wa kisiasa. Kulikuwa na kauli za kijinga kama "mkimchagua mpizani sileti maji ama...
Gharama yake Sh280milioni, asema nchi yetu ni masikini
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameonyesha kwa vitendo kuwa yeye ni mtoto wa mkulima baada ya kukataa gari jipya ka kifahari alilonunuliwa na...
Ni kwa nia njema tu katika kulinda haki za watoto.
Kwenye picha za mikutano ya chadema utaona idadi kubwa ya watoto pengine kuliko hata watu wazima. Hii si sawa.
Akili ya watoto haina uwezo wa...
Sina sababu ya kutaja Miradi mikubwa mikubwa iliyofunguliwa na serikali chini ya Ilani ya CCM maana ni mingi mno
Kadhalika kwa upande wa Uzinduzi wa Operesheni mbalimbali Chadema ndio Mabingwa...
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.