Ni wazi Mbowe ameishiwa na hana cha kuongea. Anazungumzia sana jinsi ambavyo asubuhi alikuwa mfungwa jioni akawa ana kula kuku Ikulu. Na anashukuru sana. Yaani amesahau hata ni nani alimkamata na...
Hii ni mara ya pili hawaonekani hadharani kulikoni?
Mara ya kwanza ni kuagwa kwa mwili wa kachero mmbobezi Bearnad Kamilius Membe,huyo alikuwa ni swahiba wao mkubwa sana wa wazuri hawafi,nilijua...
Nchi yetu imekuwa na Marais wachache tangu kupata uhuru hivyo ni rahisi kupima legasi zao mahususi kwa upekee wa kila mmoja
Tukianza na Rais wa kwanza Mwl Nyerere anakumbukwa kwa mengi ila kwa...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Samwel Shelukindo amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Japan nchini, Mhe. Yasushi Misawa na kujadiliana masuala...
Sijamuona Tundu Antipas Lissu mgombea Urais wa Chadema kwenye uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino
Nilitegemea angetua na chopa kuhudhuria show na baadae angerejea Kigoma
Haya ni matukio muhimu sana ya...
Mwenyekiti wa Chadema Mbowe amesema alipotoka Jela asubuhi na Jioni kwenda Ikulu alimwambia Rais Samia " Wewe ni mwanamke, ni mama mlezi wa familia Usirithi Ukatili wa Mtangulizi wako"
Mbowe...
MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ASISITIZA MATUMIZI YA UCHUMI WA KIDIGITALI & APONGEZA UJIO WA MINARA YA MAWASILIANO KATIKA KATA 12 ZA KITETO
"Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka fedha...
Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo...
TARURA MKOA WA IRINGA KAZI INAENDELEA
NDANI ya miaka miwili ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumekuwa na uimarikaji kwa mtandao wa barabara za...
BILA UZALENDO HATA TUJENGE HOSPITALI AU SHULE KILA KATA, BADO NI BURE.
Anaandika, Robert Heriel
Kukosa miundombinu ya Huduma za kijamii ni tatizo lakini kukosa uadilifu na Uzalendo ni janga...
Jee huu ni UNAFIKI au UPUMBAVU? Seriousness ya Watanzania iko wapi? Ndiyo maana Mwigulu anawadharau anajuwa zile ni mbambamba tu. Angalia wajinga hao kwenye clip wanavyogombea kupata selfie na...
Mama Janeth Magufuli kwa kweli amezidi kupendeza, nimefuatilia sana matukio yake katika awamu ya sita, ni mtu mwenye furaha sana, anatabasamu, kwa kweli anaonekana mtu mwenye amani sana, hana...
Ni dhahiri kwamba mkutano wa CDM hauwi mkutano bila kumtaja JPM.
Nimeshuhuda mara kadhaa katika mikutano ya CDM inayoendelea. Hakuna Kiongozi anayemaliza mkutano bila kumtaja JPM.
Hongera sana...
Gia aliyoingia nayo Zelensky kwenye kampeni ya uchaguzi huko Ukraine ni KUAHIDI KULETA AMANI kwenye majimbo mawili ya Donbass yaliyojitenga. Aliahidi kuwa atayaruhusu kuwa na uhuru wa ndani lakini...
Mzuka wanajamvi!
Huyu mwanamama alishawahi kuwa kwenye baraza la mawaziri wakati wa Kikwete na kupelekwa Kuwa Balozi wetu Japan.
Lakini rais Magufuli alipoapishwa tu na kuwa rais mara ya kwanza...
MBUNGE NGASSA: "IGUNGA MLITUPA KURA, TUNAWALIPA MAENDELEO"
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, amefanya Ziara ya Kikazi Jimboni kwa kufanya Ziara kwenye Vijiji vinne vya Kata...
Utakuta tumekopa mabilioni kujenga ikulu kubwa zaidi duniani. Tumekopa hata ramani ya Mjerumani aliyotumia kujenga ikulu ya Magogoni, mwonekano ni uleule hata Zanzibari muonekano ni ule ule, nani...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao.
Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana...
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa humu Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, ninaomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea na kujadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.