Kigoma: Freeman Mbowe atikisa Kasulu Vijijini, elimu ya Katiba Mpya yaendelea kutolewa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,230
Baada ya Uzinduzi wa Ikulu Mpya huko Chamwino, mambo mengine ya msingi yangali yanaendelea.

Ile Operesheni ya 255 kama unavyoona pichani ingali inaendelea kwa kasi kubwa. Huko Kasulu Chadema inaendelea kusonga mbele kwa kuendelea kufundisha umuhimu wa Wananchi wenyewe kwa jasho lao kuipigania Katiba Mpya , ambayo ndani yake kumejaa mambo mengi mazuri sana.

FB_IMG_1684584547896.jpg

Usiondoke JF

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Wewe m.senge unajipendekeza sana kwa Mbowe Kwa kiwango kisichokuwa cha kawaida. Mpaka watu wanaweza hisi wewe ni ule upande wa upinde,, Kwa mujibu wa mienendo ya kimagharibi.
Matusi na Uchawi ndio nguzo kuu ya Masikini , lakini kwa bahati nzuri ni kwamba huku kwetu Tandika Mwembeyanga matusi ni kama ndio yanakotengenezwa .

Hata hivyo mimi sijipendekezi kwa Mbowe , Najipendekeza kwa Chadema .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Matusi na Uchawi ndio nguzo kuu ya Masikini , lakini kwa bahati nzuri ni kwamba huku kwetu Tandika Mwembeyanga matusi ni kama ndio yanakotengenezwa .

Hata hivyo mimi sijipendekezi kwa Mbowe , Najipendekeza kwa Chadema .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Basi kumiliki smartphone na tablet na kukaa unapost Kila anachofanya Mbowe unajionaga tajiri na kuita watu maskini, nakupa elimu ya Bure. Hakuna tajiri anayeshinda mitandaoni masaa 24 mwaka mzima anasifia wanaume wenzie, wewe ni maskini tu huna lolote ila kwasababu pengine unapotokea watu Wana hali mbaya sana kiuchumi na wewe una nafuu ndo unajionaga tajiri. Acha kuita watu usiowajua maskini, hiyo ndo kanuni ya kwanza ya kuonyesha wewe ni maskini. Huwezi kumsikia tajiri yoyote wa kweli duniani akimuita binadamu mwingine maskini. Ila kwa akili zako za kukaa unasubiri Mbowe afanye nini ulete taarifa hapa, unaweza usinielewe.
 
Baada ya Uzinduzi wa Ikulu Mpya huko Chamwino, mambo mengine ya msingi yangali yanaendelea.

Ile Operesheni ya 255 kama unavyoona pichani ingali inaendelea kwa kasi kubwa. Huko Kasulu Chadema inaendelea kusonga mbele kwa kuendelea kufundisha umuhimu wa Wananchi wenyewe kwa jasho lao kuipigania Katiba Mpya , ambayo ndani yake kumejaa mambo mengi mazuri sana.

View attachment 2628817

Usiondoke JF

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hii ni "Operation 255". SAWA.

Na ile nyingine inayotembea na Lissu inaitwaje mkuu 'Erythrocyte'.

Ni wazi kwamba kuna operation mbili zinakwenda sambamba, au siyo?

Mbowe kabaki na ajenda ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, ambayo Samia yupo tayari kwa hilo; kwa hiyo hii ni habari inayorudiwa rudiwa sasa bila ya kuwa na lolote la ziada; mengine yote weshayamaliza Samia na Mbowe huko kwenye maridhiano!

Lakini huko huko CHADEMA kuna wanaodai la ziada, wasiotaka kuwa CCM B. Huko ndiko aliko 'HIchilema' wa CHADEMA.
 
Ni jambo zuri.
 
Mkuu Chadema ni moja , kuhusu Katiba mpya kwenye kundi la Lissu tumeelekeza lisemwe na Mnyika , uwe pia unamsikiliza , utapata kitu kingine .

Nadhani nikubali na kukiri jambo moja, kwamba nimekuwa 'tegemezi' sana kwako inapokuja kwenye maswala ya CHADEMA humu jukwaani. Akina Mnyika siwaoni popote humu JF siku hizi.

Kwa hiyo naomba uniwie radhi juu ya hili.
 
Back
Top Bottom