Hovyo kabisa!
Tuna viongozi wazembe na wasio na uwezo hata kidogo wa kuibua kuanzisha miradi na kuisimamia ili wapewe heshima zao, badala yake wanataka kulazimisha kupewa heshima zisizo zao...
Mngejua nguvu na mama oneni alivyomtoa Kalemani na Chamuriho na sukumagang wengine
Mnaona alivyowatoa fasta sukuma Gang wote?Tena chaap kwa haraka bila hata kujitetea
Wengine walikua na makosa...
Kinachowasaidia sana ccm kubaki madarakani ni wapinzani na watanzania kusahau matukio mazito kwa mda mfupi. Tena wana mbinu sana hawa watu, walipoona swala Alphonce Mawazo limepamba moto wakaamua...
MBUNGE DKT. ALFRED KIMEA ASISITIZA MATUMIZI YA LUGHA YA KINGEREZA KWENYE MTAALA WA ELIMU TANZANIA YASIPUUZWE
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, Dkt. Alfred Kimea tarehe 16 Mei, 2023 amechangia...
Utanzania kwanza 🇹🇿
1. Hamuwezi Kushika Dola kwa kudharau vyama vingine vyenye Nia. Wanyonge huungana kumkabili mwenye nguvu, msiendeshe siasa ya Tanzania kwa kufananisha na Republican na...
Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo imeadhimisha kilele cha Siku ya Uanuai wa Utamaduni katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambayo huadhimishwa duniani kote tarehe 21 Mei kila mwaka.
Akizungumza...
Nimeridhika na Maelezo ya Chadema kwamba wanatoa Elimu ya Katiba Mpya jinsi itakavyowakwamua Watanzania waliozungukwa na Ufukara
Kwamba wamejibobeza kwenye Maendeleo ya WATU siyo Vitu
Mungu...
KAMA ilivyozoeleka kwa baadhi ya wafanyabiashara, huwa wanapandisha bei ya bidhaa mara tu wanaposikia serikali imeongeza msha-hara na marupurupu kwa wafanyakazi kila mwaka. Uviziaji huo hufanyika...
Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Mei 21, 2023 jijini Dar es Salaam amefungua wiki ya michezo kuelekea Siku ya Afrika Mei 25, 2023 iliyoandaliwa na Umoja wa...
Baada ya Uzinduzi wa Ikulu Mpya huko Chamwino, mambo mengine ya msingi yangali yanaendelea.
Ile Operesheni ya 255 kama unavyoona pichani ingali inaendelea kwa kasi kubwa. Huko Kasulu Chadema...
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA MAWASILIANO, TEKNOLOJIA YA HABARI NA UCHUKUZI ACT WAZALENDO MWL. PHILBERT MACHEYEKI KUHUSU MPANGO WA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI KWA...
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba leo 21/5/2023 , Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na Team yake akiwemo Katibu Mkuu John Mnyika , bado wangali Kigoma katika ile Operesheni Kabambe...
Ndugu zangu nimekuwa nikiwaza kwamba kanisa Katoliki linawezaje kuthibiti migogoro ndani yake? Hata kama ipo ni ngumu kuisikia mtaani kiasi cha kutitishia ustawi wa kanisa hilo, baadae nikapata...
Doto Mashaka Biteko, mmoja wa wanasiasa vijana kabisa na ambao tangu kuingia katika siasa na katika serikali, wameonyesha siyo tu utendaji unaokwenda na wakati, bali pia uwezo wa kuzielewa wizara...
Ikulu haijakamilika ujenzi unaendelea,this time around ni Samia Complex
=====
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma leo amesema baada ya...
Nimefatilia jana uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma naona hayati Magufuli hakutendewa haki.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao sio waumuni wa Magufuli hata kidogo sikufurahishwa na utendaji wake...
Ukweli huo unaweza kupuuzwa tu na mtu mwenye kufikiria leo. Lakini kwa mwenye maono na afya ya akili, katiba iliyopo inatokana na msingi wa sheria za kikoloni na baadae kuendelea kufanyiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.