Katibu mkuu wa CCM Daniel Chongolo aitetemesha na kuiteka Iringa. Atoa maagizo mazito

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,339
9,766
Ndugu zangu watanzania,

Katibu mkuu wa CCM mh Daniel Chongolo ameitetemesha na Kuiteka Iringa kwa maagizo yake Mazito ya kuleta Tabasamu, furaha na matumaini katika mioyo ya wana iringa yaliyo pokelewa na kutekelezwa haraka Sana.

Katibu mkuu huyo anayetajwa na kusifika Kwa utendaji kazi uliotukuka uchapa kazi Hodari ,uzalendo madhubuti,mwenye msimamo usiyo yumba,makini katika kuzungumza na kupangilia hoja, mpenda maendeleo na moyo wa kujituma na anayefanya kazi bila kuchoka, ameleta nuru na mwanga kwa Wana Iringa.

Hii Ni baada ya kutembelea maeneo mbalimbali ndani ya Iringa na kusikiliza Kero na Changamoto Kama ilivyo kawaida na desturi ya CCM na viongozi wake kusikiliza Kero na Changamoto Za Wananchi pamoja na watumishi wa umma makazini kwao, Ambapo katika kusikiliza na kupokea changamoto amekutana na changamoto kadhaa katika secta ya Afya na Miundombinu, ambapo kishupavu,kijasiri , kihodari , kishujaa, kiuzalendo na kuwa na uchungu na maisha ya watanzania akaagiza haraka Sana kupelekwa kwa daktari hospitalini hapo pamoja na kuanza ujenzi wa Barabara ndani ya saa 24, maagizo ambayo yamepokelewa haraka Sana na kutekelezwa kwa uharaka na kuibua shangwe, nderemo na vifijo kutoka kwa wananchi walioonekana kujaa Tabasamu na furaha katika nyuso zao.

Kwa hakika CCM Ni chama kiongozi,ndio maana CCM inaendelea kutawala na Kusalia madarakani kwa miaka yote,ndio maana inaendelea kubeba Imani ya watanzania, ndio maana inaaminika na mamillion ya Watanzania, ndio maana ya kuungwa mkono na watanzania wa makundi yote, ndio maana inaendelea kuchaguliwa na kupita kwa kishindooo katika kila uchaguzi kwa sababu ya kuwajali na kuwasikiliza watu, kwasababu ya kujishusha kwa wananchi, kwa sababu ya kuyapa kipaombele maisha ya watanzania, kwa sababu CCM inatekeleza na kukata kiu ya watu,kwa sababu CCM inatekeleza na siyo kulalamika, ni kwa kuwa CCM inatoa majibu ya matumaini na siyo kuwakatisha Tamaa wananchi. Ni kwasababu CCM imekuwa mfariji wa watanzania, inazungumza lugha ya watu na kufanya yanayotarajiwa na watanzania.

Ndio maana CCM Itaendelea kuwa chama pekee Barani Afrika kinachobeba matumaini ya wananchi waliowengi , kitaendelea kuwa kimbilio la wanyonge na waliokata Tamaa, kitaendelea kuwa Tumaini la wanaoonewa na kutafuta Haki. CCM haina mbadala na haitakuja kupata mbadala kwa kuwa imejidhatiti kuwatumikia watanzania na kuwapatia huduma Bora.

Ndio maana wananchi wakiona viongozi wa CCm wanapata faraja, matumaini,Imani ya kutatuliwa kero na changamoto zao,ndio maana wanakuwa Ni wenye furaha na amani mioyoni mwao kwa kuwa wanakuwa wanaamini shida zao zitapatiwa majibu na kumalizwa, ndio maana watanzania wanavipuuza na kuvidharau vyama vya upinzani kwa kuwa wanafahamu kuwa Ni mavyama ya kulalamika na kupiga makelele tu muda wote,ndio maana watanzania wameelekeza macho na masikio kwa CCM, ndio maana matumaini Yao yapo CCM,ndio maana kila utakako kwenda lazima utaikuta CCM na Wana CCM.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ngoma draw! Wewe ni mbadala wa Erythrocyte naona
 
Back
Top Bottom