Video: CCM imeishiwa vichwa vyenye akili bila shaka. Hivi watu wa dizaini hii ndiyo mnawapanga kujibu hoja za mtu kama Tundu Lissu kweli?

Kwamba alipigwa risasi kwa amri ya jiwe na kwamba waliompiga risasi mpaka leo hawajakamatwa.
Kwamba Ben sanane aliuwawa na jiwe mwenyewe hapo magogoni.
Kwwamba kuna maiti zilikuwa zinaelea baharini bila maelezo toka kwa jeshi la polisi
Kwamba katiba ibadilishwe
Kapigwa risasi kwa amri ya jiwe
1. aweke ushahidi mezani
2. atoe ushirikiano polisi na wapelelezi
3. aombe kupitia mahakama atumie wapelelezi binafsi ambao wapo hapa nchini au kutoka nchi za nje wapeleleze kesi yake tujue ukweli
Meengi anayosema hayalingani na uhalisia- ukiacha kupigwa risasi amabayo ni FACT mengine yote ni mauzauza.
Ben Sanane
Mara ya mwisho bwana huyu alikuwa na mteja wake- Mh. Mbowe. Mh. Mbowe ndiye anayepaswa kuisaidia polisi kupelelez ayu wapi Ben. Kwa maelezo ya Katibu Mkuu wa zamani wa CHADEMA, CHADEMA wanakikosi cha utekaji, upotezaji, uuuwaji kinachongozwa kwa namna ambayo katibu mkuu hajui. Kikosi hicho kilishiriki kifo cha Cha Wangwe.
Maiti baharini
Pole nasikia moja ya maiti hizo ilikuwa ya babu yako mzaa mmeo
 

Attachments

  • 637DFFCF-7035-43A2-9C5C-DFF91B252684.jpeg
    637DFFCF-7035-43A2-9C5C-DFF91B252684.jpeg
    94.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom