Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali yaomba siku 14 kumjibu Mkulima aliyewashtaki Mawaziri Na Grace Gurisha SERIKALI imeiomba Mahakama ya Hakimu MkaziKisutu, Dar es Salaam, muda wa siku 14 kuwasilisha kiapo kinzani katika...
19 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuuliza sio ujinga. Nimeona kila kona wanafuatana bila kuona ufanisi bali wanapokelewa kwa maelfu ya magari na kuangalia vituo vya afya bila kusikiliza kero kutoka kwa wananchi.
1 Reactions
4 Replies
742 Views
Kwa mara nyingine serikali ya CCM imechanwa laivu. Haina aibu, huruma wala utu. Ajabu na kweli yenyewe inaona sawa tu. Inamwakilisha nani kwenye minajili hii? Labda walamba asali, wahuni au wale...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu siku za karibuni nimeona kuna kukosewa kwa nembo ya "bibi na bwana" ile niliyoisoma kwenye maarifa ya jamii. Au labda siku hizi imebadilishwa? Hii ndio inayotambulika Hapa ikitumika...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
"Mgogoro wa Ardhi baina ya kijiji cha Rusumo na Gereza la Rusumo, mgogoro ulioletwa na Afisa wa Ardhi ambaye Mamlaka yake ya kinidhamu yapo chini ya Wizara ya Ardhi." - Mhe. Ndaisaba George...
1 Reactions
2 Replies
989 Views
Sitaandika sana, Huwezi amini maneno haya yalitoka kwenye kinywa cha mwanadamu, tena mbele ya camera! Leo hii nimemwona jamaa huyo huyo analia mbele ya camera baada ya mwili wa mpendwa kuwasili...
38 Reactions
91 Replies
8K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, leo Mei 25, 2023. Rais wa Uganda Yoweri...
6 Reactions
73 Replies
11K Views
Kama hii ni saa 10 jioni yaweza kuwa ni muda muafaka wa kujitathmini: Kufikiria kuunganisha nguvu hata kupitia ma coalition linaweza kuwa jambo lenye tija zaidi. Tuyaweke maslahi ya taifa...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kikundi cha Ngoma na Sarakasi cha Safi kutoka jijini Dar es Salaam kimekuwa kivutio katika viunga vya jiji la Johannesburg Afrika Kusini kwa kutia fora kwa kutoa burudani safi wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
510 Views
Jioni ya leo itachezwa fainali ya kwanza ihusuyo mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika baina ya timu ya Yanga dhidi ya Usm ya Algeria. Hivi karibuni yamepata kutokea matukio ya...
1 Reactions
3 Replies
707 Views
KEYU mini electric truck 4x4 High Performance Long Delivery Electric Cargo Pickup Truck & SUV Fast Charge Time(h):3-5h, up to 300 KM , Price $2,295.00 Bei za mafuta zinapanda, mfumuko wa bei...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Ametutoka huyu mwamba na sauti zinasikika kutoka pande zote za nchi ya kwamba huyu mtu alikuwa hazina ya taifa ni kweli. Inawezekana alikuwa hazina lakini kwa makusudi mliamua kumpuuza..membe...
14 Reactions
26 Replies
5K Views
Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 ya kiafrika yaliyo ongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kama Madini, Mafuta Ghafi nk kwa mwaka uliopita 2022 kwa bahati mbaya Tanzania sio miongoni mwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Upatikanaji wa katiba mpya ni utaratibu wa kisheria, na mchakato mzima ni lazima uwe wa kisheria. Process nzima, kuanzia vikao mpaka ushirikishwaji ni lazima viwe vya kisheria. Vikao vya mchakato...
13 Reactions
38 Replies
2K Views
Husika na kichwa Cha habari hapo juu....sisi makada wa Chama Cha Mapinduzi, uzalendo wetu kwenye chama chetu Ni kujibu hoja za wapinzani na kuujuza Umma wa Watanzania juu ya Mambo ambayo...
3 Reactions
98 Replies
4K Views
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa msimamo wake kuhusu masuala ya uraia pacha nchini baada ya hivi karibuni kuwa na mijadala mbalimbali ya uraia pacha. Akijibu swali la...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mnapojibu kwa kusema kazi iendelee basi kweli mnapeperusha bendera ya Tanzania kwenye jua kali katika msimu huu wa kiangazi. Kwa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kitu kimoja ninachompendea Tundu Lissu ni kuwa Mtu wa msimamo Thabiti kama Nabii Danieli. Kwake black is black and white can never be red. Huyu bwana yuko very persistent, determined and self...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Ni majuzi tu kwa mara ya pili mfululizo rais wetu amefanya mabadiliko ya uongozi wa mikoa 3 na wilaya moja. sikufurahishwa kuondolewa kwa meja jenerali Mzee kisa tu anasimamia sheria. Vile vigingi...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa DSM Albert Chalamila amesema ni aibu Kumsumbua Waziri Mkuu kuja kutatua Changamoto wakati yeye Mkuu wa Mkoa Yupo. Chalamila ameahidi kwamba Hilo halitajitokeza tena ===== Mkuu...
9 Reactions
53 Replies
7K Views
Back
Top Bottom