Je, BASATA wanajua kwamba wanatakiwa na Sheria kudhibiti Kelele sehemu za Makazi ya watu?

Pfizer

JF-Expert Member
Mar 25, 2021
304
518
Baraza la Sanaa la Taifa BASATA badala ya kuwapa elimu sahihi Wasanii kama Sheria inavyo wataka, wao wanawadanganya na kuwapoteza eti NEMC inazima Muziki.

NEMC haizimi Muziki, imeweka viwango ambavyo havitaleta kero kwa jirani asiyetaka Kelele.

Mfano mtu anaweka baa katikati ya makazi ya watu halafu anataka apige muziki usiku kucha tena kwa sauti ya juu

Maana yake watoto waliozunguka eneo hilo hawawezi kujisomea, wazee, wajawazito na wagonjwa hawawezi kupumzika matokeo yake pressure zinaongezeka, vifo, kuzaa watoto njiti, viziwi wanaongezeka

Lakini watu wanakosa amani na utulivu wa falagha wawapo majumbani mwao.

NEMC hauzii muziki ndo maana baa zilizofuata masharti zimefunguliwa na zinaendelea.

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).
Katika kudhibiti changamoto ya kelele na mitetemo, BASATA imetakiwa na Sheria kufanya yafuatayo;

1. Kusimamia vibali vya matukio ya sanaa na burudani vinatumika kulingana na masharti ya vibali husika.

2. Kutoa elimu juu ya athari zitokanazo na kelele na mitetemo.

3. Kushiriki katika vikao vya kufanya tathmini na kutoa maamuzi juu ya uthibiti wa kelele na mitetemo katika jamii.

Lakini leo BASATA hiyo hiyo inaungana na watu wasio na uelewa kuhusu udhibiti wa kelele na kuruhusu nyimbo zinazowaondolea Weledi katika utendaji wao wa kazi.

Watu wenye vyanzo vya kelele hawawezi kuachwa tu wafanye watakavyo kinyume na Sheria iliyopo.

Kelele ni sauti zilizozidi viwango zinazosababisha madhara kwa afya ya binadamu, wanyama na mazingira.

Uchafuzi huu unatokana na kelele zisizo dhibitiwa pale zinapozalishwa na kusababisha athari za kiafya kwa jamii.

Changamoto ya kelele inachangiwa zaidi na kukua kwa shughuli za kiuchumi na kijamii ikiwemo matumizi mabaya ya teknolojia.

Kwa siku za hivi karibuni, kelele zimeongezeka kwenye maeneo ya makazi na hivyo kusababisha matatizo ya kiafya kwa jamii ikiwemo kupoteza uwezo wa kusikia, matatizo ya uzazi, kupunguza umakini katika mafunzo, ajali na uwezo wa kawaida wa kusikilizana.

Vyanzo vikuu vya kero ya kelele ni pamoja na kumbi za starehe ikiwemo biashara za vileo (baa), vyombo vya usafiri na usafirishaji (magari, ndege, treni nk.), matumizi ya teknolojia zilizopitwa na wakati kwenye viwanda vikubwa na vidogo (Karakana za kuchomelea, ufyatuaji matofali, mashine za kusaga na kukoboa nafaka), majenereta, matangazo ya biashara kwenye makazi, shughuli za ujenzi, nyumba za ibada n.k.

Hivyo katika kukabiliana na changamoto ya kelele ni muhimu kuimarisha jitihada za pamoja na ushirikiano miongoni mwa Taasisi za Serikali na wadau ili kusimamia viwango vya kelele na mitetemo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria.

Kila Mtanzania ana wajibu wa kuhakikisha kelele zinapungua mtaani ili watu wasikilizane na Walale kwa amani, sio swala na NEMC peke yake

Ukiachilia mbali BASATA na NEMC, taasisi nyingine zinazotakiwa ziwe mstali wa mbele kudhibiti kelele ni pamoja na TBS, Ofisi ya Makamu wa Rais, OR-TAMISEMI, Mamlaka ya Afya na Usalama Mahala Pa Kazi (OSHA) nk.
 
View attachment 2636621

Kwanza nawapongeza NEMC wameweza kwa muda mfupi wameweza kudhibiti mekelele Dar na Dodoma ,kwa sasa kuna utulivu ,tatizo ni hizi taasisi na mamlaka nyengine ,badala ya kutekeleza sheria na kuhakikisha kunakuwa na utulivu wao wanakaa upande wa makelele hii sio sawa
 
Tatizo ni kwamba taasisi nyingi viongozi wake badala ya kutafuta suluhu ya tatizo wao wanayakimbia matatizo na kuwatupia mzigo NEMC ,hovyo kabisa ,BASATA walitakiwa wakazie waliponza NEMC hakuka anayekatazwa kupiga mziki ila upigwe kistaaarabu na kwa viwango vinavyokubalika na sheria ambavyo ni salama kwa jamii ,

Kuna ujinga mwengine nimeuona jana Mwanza RC hafahamu kuwa anao wajibu sio wa kulinda tu biashara bali hata usalama wa watu na mazingira lakini jana makala amechagua biashara na kutoa matamko kuwa wafunguliwe ,haya ni maamuzi ya hovyo kabisa NEMC wanasimamia sheria

Wanasiasa wanakuwa vikwazo na chanzo cha kero na makelele kwenye jamii hii haikubaliki NEMC simamieni sheria mtaani tunataka utulivu
 
Baraza la Sanaa la Taifa BASATA badala ya kuwapa elimu sahihi Wasanii kama Sheria inavyo wataka, wao wanawadanganya na kuwapoteza eti NEMC inazima Muziki.
View attachment 2636621
NEMC haizimi Muziki, imeweka viwango ambavyo havitaleta kero kwa jirani asiyetaka Kelele.

Mfano mtu anaweka baa katikati ya makazi ya watu halafu anataka apige muziki usiku kucha tena kwa sauti ya juu

Maana yake watoto waliozunguka eneo hilo hawawezi kujisomea, wazee, wajawazito na wagonjwa hawawezi kupumzika matokeo yake pressure zinaongezeka, vifo, kuzaa watoto njiti, viziwi wanaongezeka

Lakini watu wanakosa amani na utulivu wa falagha wawapo majumbani mwao.

NEMC hauzii muziki ndo maana baa zilizofuata masharti zimefunguliwa na zinaendelea.

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).
Katika kudhibiti changamoto ya kelele na mitetemo, BASATA imetakiwa na Sheria kufanya yafuatayo;

1. Kusimamia vibali vya matukio ya sanaa na burudani vinatumika kulingana na masharti ya vibali husika.

2. Kutoa elimu juu ya athari zitokanazo na kelele na mitetemo.

3. Kushiriki katika vikao vya kufanya tathmini na kutoa maamuzi juu ya uthibiti wa kelele na mitetemo katika jamii.

Lakini leo BASATA hiyo hiyo inaungana na watu wasio na uelewa kuhusu udhibiti wa kelele na kuruhusu nyimbo zinazowaondolea Weledi katika utendaji wao wa kazi.

Watu wenye vyanzo vya kelele hawawezi kuachwa tu wafanye watakavyo kinyume na Sheria iliyopo.

Kelele ni sauti zilizozidi viwango zinazosababisha madhara kwa afya ya binadamu, wanyama na mazingira.

Uchafuzi huu unatokana na kelele zisizo dhibitiwa pale zinapozalishwa na kusababisha athari za kiafya kwa jamii.

Changamoto ya kelele inachangiwa zaidi na kukua kwa shughuli za kiuchumi na kijamii ikiwemo matumizi mabaya ya teknolojia.

Kwa siku za hivi karibuni, kelele zimeongezeka kwenye maeneo ya makazi na hivyo kusababisha matatizo ya kiafya kwa jamii ikiwemo kupoteza uwezo wa kusikia, matatizo ya uzazi, kupunguza umakini katika mafunzo, ajali na uwezo wa kawaida wa kusikilizana.

Vyanzo vikuu vya kero ya kelele ni pamoja na kumbi za starehe ikiwemo biashara za vileo (baa), vyombo vya usafiri na usafirishaji (magari, ndege, treni nk.), matumizi ya teknolojia zilizopitwa na wakati kwenye viwanda vikubwa na vidogo (Karakana za kuchomelea, ufyatuaji matofali, mashine za kusaga na kukoboa nafaka), majenereta, matangazo ya biashara kwenye makazi, shughuli za ujenzi, nyumba za ibada n.k.

Hivyo katika kukabiliana na changamoto ya kelele ni muhimu kuimarisha jitihada za pamoja na ushirikiano miongoni mwa Taasisi za Serikali na wadau ili kusimamia viwango vya kelele na mitetemo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria.

Kila Mtanzania ana wajibu wa kuhakikisha kelele zinapungua mtaani ili watu wasikilizane na Walale kwa amani, sio swala na NEMC peke yake

Ukiachilia mbali BASATA na NEMC, taasisi nyingine zinazotakiwa ziwe mstali wa mbele kudhibiti kelele ni pamoja na TBS, Ofisi ya Makamu wa Rais, OR-TAMISEMI, Mamlaka ya Afya na Usalama Mahala Pa Kazi (OSHA) nk.
NEMC Wanahitaji pongezi kwani wamefanikiwa kwa muda mfupi Sana chakushangaza baada ya taasisi za serikali kumpongeza na kuweka nguvu wanabomoa BASATA hawajui kabisa nguvu NEMC waliyotumia na kuleta tija leo dar es salam kumetulia wanatikiwa wajitafakari
 
BASATA Sijui wanakwama wapi wanafanya mambo ambayo sio kwanza wao walitakiwa kuwa jino moja na NEMC Kwenye hili sasa inapotokea wanajizimq data sio jambo Zurich kwani NEMC kazi waliofanya ni yakuungwa mkono ilikuwa too much now kila kitu kinakwenda sawa kwa kufuata sheria
 
Hutakuta kelele mitaa ya wanaojitambua. Masaki, Slipway, Garden Avenue na inayofanana. Hata kuweka turubali barabarani kwa msiba ni nadra.
 
NEMC wanafanya kazi nzuri sana, waendelee hivyohivyo.
Kuna vitoto vichanga, wagonjwa, wazee wanahitaji utulivu lakini unakuta mahali fulani sauti kubwa ya muziki. Sasa haya maisha gani?
 
Hilo gitaa halina uwezo wa kufuata nota za mziki? Naona kama linalia chord mbili tuu
 
Nakuunga Mkono. Wanasaiasa hasa Musukuma aache kuingilia utendaji wa vyombo vya Serikali kwa kutumia kivuli cha Ubunge. Hakuna alitekataza Muziki bali wameambiwa wapunguze na kidhibiti kelele kwa majirani wanao wazunguka eti wao wanaandamana kwamba wamekatazwa kupiga Muziki. Kwani muziki lazima majirani wapate tabu?

Vipo vifaa vya kuzuia kelele isisambae, kwanini hawataki kutumia?
NEMC wanafanya kazi nzuri sana, waendelee hivyohivyo.
Kuna vitoto vichanga, wagonjwa, wazee wanahitaji utulivu lakini unakuta mahali fulani sauti kubwa ya muziki. Sasa haya maisha gani?
 
Ukiachilia mbali BASATA na NEMC, taasisi nyingine zinazotakiwa ziwe mstali wa mbele kudhibiti kelele ni pamoja na TBS, Ofisi ya Makamu wa Rais, OR-TAMISEMI, Mamlaka ya Afya na Usalama Mahala Pa Kazi (OSHA) nk.
Bonge la article. Barikiwa saaaana, SEMA hizi Simbilisi hazieleweki
 
Back
Top Bottom