Rais Samia ashiriki Sherehe za Kuapishwa Rais Mteule wa Nigeria, Bola Tinubu, Mei 29, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,989
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Nigeria Mhe. Bola Tinubu katika Eagle Square Abuja chini Nigeria leo tarehe 29 Mei, 2023.



Samia1.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Eagle Square Jijini Abuja kwa ajili ya kushiriki katika Sherehe ya kuapishwa kwa Rais mpya wa Nigeria Mhe. Asiwaju Bola Ahmed Tinubu

Samia.jpg

Samia Nigeria.jpg

Rais Mteule wa Nigeria, Asiwaju Bola Ahmed Tinubu akiapa kuwa Rais wa Nchi hiyo kufuatia ushindi alioupata katika uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Februari 2023, Sherehe hizo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Eagle Square Jijini Abuja


Kujua safari nyingine za Rais nje ya Tanzania, Soma: Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
 
Back
Top Bottom