Wadau nawasabahi,
Nimekuwa najiuliza kwanini tunataka kuanza upya mchakato wa Katiba mpya wakati Katiba pendekezwa ya Tume ya Warioba iliyotumia mabilioni ya walipa kodi na Bunge la Katiba nalo...
Waziri Makamba mie nakuomba sana huu mtego wa kulazimisha matumizi ya Gesi ya kupikia wakati hata sio Raslimali ya nchi yetu yaani inaletwa kutoka nje ni hatari sana kwa Ustawi na Usalama wa Taifa...
SHIRIKA la Utangazaji Tanzania TBC limekata matangazo ya Bunge wakati wabunge wakijadili Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambapo Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa amesema katika mwaka...
Ni wazi kwenye kutengeneza Katiba mpya tutakopa Baadhi ya mambo mazuri Kutoka kwenye Katiba mbalimbali za Nchi zilizofanikiwa
Leo Rais Ruto wa Kenya amemteua DPP Hajji kuwa Boss wa NIT lakini...
Hii nchi wananchi wake ni wajinga na hovyo wa kiwango cha lami inakuaje FBI, CIA na m16 watu wao hawana kinga kabisa ila hili li nchi la kimasikini mnataka kuwawekekea kinga kisa ni .... Kwahiyo...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema mchakato wa Katiba Mpya lazima utungiwe Sheria mpya.
Lissu amesema sheria iliyounda Tume ya Warioba na Bunge Maalum la Katiba haiwezi kutumika...
HOTUBA YA MHE. DKT. PHILIP I. MPANGO (MB.),WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA MWAKA 2018/19 DODOMA JUNI, 2018
1.0...
WABUNGE WATAKA DENI LA TPDC LILIPWE
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Dunstan Kitandula akiwasilisha bungeni maoni ya kamati hiyo kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya...
Hivi karibuni, mkulima amefungua kesi mahakamani dhidi ya baadhi ya Mawaziri kufuatia report ya CAG kuonesha kuwa kumekuwa na wizi/ubadhirifu/ufujaji mkubwa wa pesa ya umma kwenye wizara zao...
Watanganyika wanacho taka ni Yanga na Simba zishinde au zifanye vizuri basi, hayo mambo mengine hayawahusu kabusa, yaani hata nchi ikipigwa mnada ni poa kabisa na hakuna mwenye time.
Si bure...
January Makamba anasumbuliwa na tatizo kubwa sana la kutojua hesabu na kusema uongo. Anataabishwa sana na kufanya mambo ili kuonekana anafanya makubwa wakati ukweli ni kuwa mbali na maonyesho ya...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini, Mhe. Andrey Avetisyan katika ofisi za...
Nakuomba uzingatie ushauri huu ninaokupatia kwa sasa, kwani una faida kwako binafsi na kwa kampuni yenu ambayo inajiendesha kwa uaminifu sana na ina jina zuri Nchini na nje ya nchi hii.
Kama...
Unajua kwanini? Jamaa ni wazoefu na wajanja sana kupita maelezo, ona mpima samaki kwa kura anavyotayarishwa.
Vineno vineno, viugomvi ugomvi vitapamba moto hatimae atatimliwa na upande ule...
SEKTA YA ELIMU KATIKA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe, (Naibu Waziri Uwekezaji, Viwanda na Biashara) tarehe 28, Mei, 2023 amekagua...
"....Tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"
Brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba (JPM) angeniacha...
Majuzi nimelisikia Bunge letu tukufu wakijadili hoja ya URAIA PACHA na HADHI MAALUM kwa kina sana lakini yaonyesha wazi viongozi wetu hawajui maana wala tofauti ya mifumo hii miwili japokuwa ni...
Utamaduni wa Mtanzania umebomoka nani asimame mahali pale palipobomoka na kupajenga tena,nimeona maridhiano kwa watu fulani lakini maridhiano hayajafika kwenye dhihaka,kashfa na shutuma kwa...
JAMHURI ya Muungano wa Tanzania-Kazi Iendelee.
Mei Mosi kulifanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani, kama ilivyo kawaida ya siku zote inapofika tarehe na mwezi huo.
Kitaifa siku hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.