Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa hali ilivyo nchini mwetu namna viongozi wetu wanavyoiendesha nchi, Kwa mikataba ya vificho yenye kuliingiza taifa kwenye hasara mfano ikiwa kuibinafsisha bandari yetu ambayo ni nguzo kuu ya...
2 Reactions
5 Replies
671 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amekabidhi magari matatu ya Zimamoto (Mitambo) kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambayo yenye uwezo wa kubeba maji lita 5,000 na Foam...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Leo tarehe 11 April 2019,Akiwa mji wa Makambako mheshimiwa Rais amekiri wazi kuwa hajawahi ona mji Tanzania uliopangwa na kuwa na nyumba bora za Makazi kama Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako...
15 Reactions
416 Replies
69K Views
Kwa wale wenzangu na miye watavikumbuka vizuri "Mfululizo" wa vitabu vya "Ujinga wa Mwafrika". Vitabu hivi vilikuwa kwa muda mrefu sehemu ya simulizi la "Mazungumzo Baada ya Habari" na vilisimulia...
27 Reactions
129 Replies
18K Views
Habari Wakuu! Bado nafuatilia hofu aliyonayo mtanzania. Hofu ya kisiasa. Wasiwaai na kutokuaminiana. Awamu ya tano Watu walikuwa na hofu ya usalama wao, nazungumzia uhai wao na Uhuru wao. Awamu...
2 Reactions
11 Replies
792 Views
Kuna kila dalili kuwa maamuzi ya kutoa sadaka Bandari yetu yalishafanyika kwa mujibu wa maelezo ya Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa kupitia BBC kwa madai "hatuna fedha Trilioni 4 kujenga gati...
9 Reactions
23 Replies
4K Views
Mbali na viongozi kujua wanaowateua ni bure kabisa lakini bado wanaendelea kuteua watu hao hao! Awamu zote mambo ni haya haya, miaka nenda rudi bado tunafanya makosa haya haya! Hii inafanya...
2 Reactions
1 Replies
861 Views
Kila kiongozi akisimama kuhutubia au kuongea lazima amsifie /amtaje Mama. Utaratibu huu ulianza awamu ya tano na unaendelea kwa kishindo, sote tunajua Rais wetu ni mwanamke na ana mamlaka ya...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Baada ya mashauriano ya viongozi waku waliopo safarini nje ya nchi Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Makamu Mwenvekiti Bara Mheshimiwa Tundu Lissu a Katibu Mkuu Mheshimiwa John...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
John Mongela ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, mkoa ambao umejaa rushwa kuanzia juu mpaka chini. Mkoa wa Arusha kila kukicha zinaibuliwa tuhuma za rushwa na ufisadi kiasi cha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Zitto amegoma kukosoa content za mkataba alichoona yeye ni mjadala wa Bunge kwamba ndiyo mara Kwanza. Lakini hataki pia kutuambia kinachokwenda bungeni ni Muswada, sheria au mkataba...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema chama chake hakitatoa tamko lolote kuhusu habari ya kuuzwa kwa bandari za Tanganyika kwa mwarabu wa Dubai kwa sababu ni 'HABARI ZA KUBUMBA'...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Sitaki kuongeza neno lolote zaidi ya kutambulisha. Naomba, kwa heshima na taadhima, sikiliza haya maneno ambayo hayakukanushwa ndipo uamue. Je, tumefikaje hapa?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ubinafiswaji kwangu naichukulia kama tabia ya wavivu. Bandari tuwape JKT waiendeshe. Kweli hatujui source of income kwetu ni ipi? Dah Mwafrika ni hasara kwa Mungu nahisi!! Miaka 60 ya uhuru...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Imeandikwa alio macho ataongezewa na sio nacgo hata kile kidogo atanyang'wanya . Huu utaratibu hakuna Kiongozi yeyote kwa waliomtangulia aliyeutumia, Kikwete na Ushikaji wake hakutumia hii staili...
7 Reactions
90 Replies
6K Views
Tulipo sema Kuna mtu anataka sifa ambazo baadae zitakuwa kilio kwa Taifa tulikuwa na uhakika yakuwa ndivyo itakavyokuwa. Haya sasa huko mpakani Holili Shehena ya mahindi imezuiwa magari zaidi 500...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
MCHANGO WA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) WAKATI AKICHANGIA MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA WA MWAKA 2022/2023 (THE FINANCE ACT, 2022) BUNGENI DODOMA 28 JUNI 2022 1.0...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hili Jiji la Dodoma na halmashauri yake ni moja ya sehemu iliyojaa Rushwa iliyokithiri viwango vya kawaida vya kupeana maji ya kunywa kishkaji, ni Jiji la hovyo likiongozwa na Mkurugenzi wake...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Mhe. Mpina nianze kukupongeza kwa michango yako kila Bunge linapokaa. Leo ulipokuwa unachangia kwenye bajeti ya Wizara ya Sheria na Katiba ulitoa hoja ambayo kila Mtanzania atakuunga mkono...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Jamani nina swali ambalo nadhani hata wabunge wetu wangejiuliza kabla ya kupitisha hili jambo. Na wasiangalie wao wanaishi sasa waangalie na watoto na wajukuu wajao wataishi vipi huko baadae...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…