Tetesi: Tanzania imezuia malori 500 ya mahindi wakati mlisema mnachakula cha kutosha

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,223
11,287
Tulipo sema Kuna mtu anataka sifa ambazo baadae zitakuwa kilio kwa Taifa tulikuwa na uhakika yakuwa ndivyo itakavyokuwa.

Haya sasa huko mpakani Holili Shehena ya mahindi imezuiwa magari zaidi 500 hayana vibali ku export mahindi while tulisema chakula kipo nawatu wauze kwa kuwa ni jasho lao.

Samahani natamani kujuwa je mmebadili GIA hewani wau kitu gani kimetokea.

Kwani simliambiwa ? Namkajibu kwa kejeli hamfungi mipaka na kumkejeli Hayati Magufuli sasa mbona mnafunga mpaka achieni chakula kitoke alafu muone mtakavyo watawala watu wenye njaa. End

Habari kamili The Citizens ya Kenya.
 
Wakiruhusu chakula kitoke watskuja kujuta na kazi watapoteza,, niko nimekaa paleee mtakuja kunikumbuka,
IMG_20230510_163038.jpg
 
Misukosuko lazima ije nchi zote duniani nyakati hizi ikiwemo Tanzania,ila mkisubiri kuona mbaya nyinyi,sisi huku tunapambana sana kuhakikisha Tanzania inakuwa imara kwenye majanga yanayoikumba dunia nzima.
 
Si kuna taarifa kwamba mamlaka za Kenya ndiyo zimegomea hayo mahindi kama ilivyokuwa enzi zile,kumbe propaganda!
 
Tulipo sema Kuna mtu anataka sifa ambazo baadae zitakuwa kilio kwa Taifa tulikuwa na uhakika yakuwa ndivyo itakavyokuwa.

Haya sasa huko mpakani Holili Shehena ya mahindi imezuiwa magari zaidi 500 hayana vibali ku export mahindi while tulisema chakula kipo nawatu wauze kwa kuwa ni jasho lao.

Samahani natamani kujuwa je mmebadili GIA hewani wau kitu gani kimetokea.

Kwani simliambiwa ? Namkajibu kwa kejeli hamfungi mipaka na kumkejeli Hayati Magufuli sasa mbona mnafunga mpaka achieni chakula kitoke alafu muone mtakavyo watawala watu wenye njaa. End

Habari kamili The Citizens ya Kenya.
Sema neno kuhusu huyu rais lini anatoka maana naona ameanza kuuza kila kitu nchi inaangamia
 
tumainiEl ongea kuhusu nchi kuuzwa, Bandari zote za Tanzania tumewapa waarabu wa Dubai huku hatujui tunachopata.
 
Wakati mwingine tusiwe tunatoa lawama zisizo na msingi! Kama utaratibu unasema ili mtu aweze kusafirisha mazao nje lazima awe na kibali,hakuna namna lazima apate kibali kinachotolewa kwa utaratibu uliowekwa!
 
Back
Top Bottom