Halmashauri ya Jiji la Dodoma linaongoza kwa Rushwa. No money no service!

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,894
Hili Jiji la Dodoma na halmashauri yake ni moja ya sehemu iliyojaa Rushwa iliyokithiri viwango vya kawaida vya kupeana maji ya kunywa kishkaji, ni Jiji la hovyo likiongozwa na Mkurugenzi wake asiyejali kitu chochote, haya ni baadhi

1. Hupati hati bila kutoa rushwa, waje hao wachache Viongozi na mawaziri waliopatiwa hati bila usumbufu na rushwa kuwatetea Hawa Wala rushwa

2. Kibali cha ujenzi bila rushwa hupati, na huna Cha kiluwafanya, watakuja mawaziri waliopewa Vibali bila usumbufu kujenga magorofa na lodge Kwa majina ya watu Kwa pesa za uwizi kuwatetea.

3. Hupewi kibali cha ukarabati bila rushwa labda jengo liwe la Waziri au Mbunge ambao wengi wanewekeza hapa.

Hii ni halmashauri ya Jiji ya hovyo kuliko zote Toka nchi hii imeumbwa.
 
Kwenye uandaaji wa hati kuna ucheleweshaji mkubwa sana katika hii Manispaa
nasikia hata wenye viwanja maeneo ya mnadani kuelekea nara wanazuiwa kujenga sababu eneo hilo wanataka kuwapa vigogo.wenye maeneo hayo wanzungushwa miaka nenda rudi bila kupewa majibu ya nini kinachoendelea.
 
Niliwahi kuwepo hapo kuna dada anaitwa Oliver ni changamoto sana amekwapua viwanja vya watu maeneo ya nzuguni ameacha migogoro mikubwa sana na huyu mafuru amembeba sana.
 
Back
Top Bottom