John Mongela ni nani kwa Rais Samia?

John Mongela ni nani kwa Rais Samia?

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
3,889
Reaction score
8,486
John Mongela ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, mkoa ambao umejaa rushwa kuanzia juu mpaka chini.

Mkoa wa Arusha kila kukicha zinaibuliwa tuhuma za rushwa na ufisadi kiasi cha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuchukua hatua ya kumsimamisha kazi bwana Pima aliyekuwa mkurugenzi wa jiji hilo pamoja na wafanyakazi wengine.

Licha ya mbunge wa Arusha mjini Bwana Mrisho Gambo na Waziri Mkuu kulalamika waziwazi lakini Rais Samia hachukui hatua yoyote kwa mkuu wa mkoa huyu, lakini Rais Samia ameenda kumtumbua mkuu wa mkoa wa Mara kisa tu mbunge Waitara amelalamikia zoezi la kuweka vigingi kwenye mpaka wa Serengeti ambalo ni agizo la serikali kupitia GN namba 8.
 
Kwani hujui ni mtoto wa nani?
Gertrude Mongela

Mtu aliekuwa kwny kampeni za Ally Hassan Mwinyi kiwa Rais 1985 na wakafanikiwa kumpiga chini Rashid Mfaume Kawawa na Salim Ahmed Salim

Waziri Mwandamizi .mstaafu

Spika wa Bunge la Africa

Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa Dunia wa wanawake Beijing 19

Mbunge wa Ukerewe mstaafu

mpinzani wa muda wote wa Mzee Msekwa mkerewe na Mwanasiasa mkongwe mwenzake
 
Gertrude Mongela

Mtu aliekuwa kwny kampeni za Ally Hassan Mwinyi kiwa Rais 1985 na wakafanikiwa kumpiga chini Rashid Mfaume Kawawa na Salim Ahmed Salim

Waziri Mwandamizi .mstaafu

Spika wa Bunge la Africa

Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa Dunia wa wanawake Beijing 19

Mbunge wa Ukerewe

😅😅😅😅
 
Arusha hakuna hata stendi moja ya maana wakati kabla ya mkoa kugawanywa mapato toka madini ya Tanzanite yaliendesha nchi nzima.

Arusha wamasai wanahamishwa tu toka makazi yao ya asili.
 
MTU MWENYE AKILI TIMAMU UNATEGEMEA MA ZWAZWA YA CCM YAIVUSHE HII NCHI????

NCHI IMEJAA WAJINGA, WAPUMBAVU NA MAJUHA.
 
Back
Top Bottom