Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Profesa wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford amemshauri serikali ya Samia kuwa na uangalifu kuhusiana na kutekeleza miradi mikubwa aliyoianzisha Magufuli kwa pupa kwa kuwa inaweza kuliingiza...
18 Reactions
103 Replies
7K Views
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA NISHATI ACT WAZALENDO NDG. ISIHAKA MCHINJITA KUHUSU MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/24. Utangulizi Jana Mei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali omesema itaanza ujenzi wa wodi za kulaza wagonjwa katika vituo vya afya 807 nchini kikiwamo Kituo cha Afya cha Kihangara wilayani Nyasa. Akijibu swali la...
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Wakati Bungea la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likipitisha makadirio ya Tshs Trilioni 3.5 za wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ni vyema Prof.Mbarawa atambue kuwa aidha ATCL au TGFA...
1 Reactions
2 Replies
778 Views
Niendelee kung'ang'ania ubara kwanini wakati uraia wa Zanzibar unarahisisha maisha? Wazanzibar wamebahatika zaidi kupata uwanja mpana tena wa kipendeleo kabisa katika nafasi za uongozi, ajira...
2 Reactions
3 Replies
892 Views
Tunakumbushana tu kwa sababu Shujaa Magufuli ni kama Maji ulivyo umuhimu wake Yule Mwamba alikuwa ni Nabii bila shaka Mungu wa mbinguni amrehemu!
7 Reactions
21 Replies
2K Views
MHE. NDAISABA RUHORO AMEISHAURI WIZARA YA NISHATI KUWEKA FEDHA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA "Rais Samia ameona ni muda muafaka tuendeleze rasilimali ya Gesi Asilia ambayo MUNGU...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
January Makamba anasumbuliwa na tatizo kubwa sana la kutojua hesabu na kusema uongo. Anataabishwa sana na kufanya mambo ili kuonekana anafanya makubwa wakati ukweli ni kuwa mbali na maonyesho ya...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimeona kama wasiojulikana wamewekwa rasmi kwenye mfumo wa kiutawala. Kwanini? Kwa sababu hakuna anayewafahamu maafisa usalama wa Taifa kwa uwazi. Wapo kwa kificho zaidi kama wasiojulikana...
15 Reactions
51 Replies
4K Views
Kuna mambo siye Wahenga huwa tunabaki tunacheka tu Wakati wa Nyerere familia nyingi za mjini walitumia Gesi na Umeme kwa ajili ya Kupikia Sasa Chadema wanapofanya Gesi kuwa Mjadala wa kitaifa...
0 Reactions
3 Replies
492 Views
Mbunge wa Singida Kusini Elibariki Kingu ameitaka Serikali iipe mkataba mnono tena kampuni ya Songas ili iendelee kuiuzia Serikali umeme Ameyasema leo bungeni Dodoma
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali imesema reli ya kisasa ya SGR kutoka Dares salaam kwenda Morogoro (KM 300) itaanza kutoa huduma mwezi wa saba mwaka huu. Akijibu swali Bungeni Jijini Dodoma leo, Naibu Waziri wa Ujenzi...
3 Reactions
5 Replies
900 Views
Sheria za kimataifa zinasema umbali wa maili 200(320km) kutoka ufukweni mwako ni eneo lako la bahari. Sasa kwa Tanganyika ambayo ukitoka tu kidogo unakuta visiwa vya Zanzibar eneo lake la bahari...
4 Reactions
97 Replies
15K Views
Nimepitia Wizara zote waliandaa kile wanaita seminaza kuwajengea Wabunge uelewa. Mfano Afya waliandaa kuhusu Elimu ya Bima ya Afya kwa wote, Madini Wiki ya Stamico, Ardhi Waliandaa kile wanaita...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
ENG. EZRA CHIWELESA - TANZANIA ITAIUZIA CHINA GESI ASILIA KUPITIA MRADI WA LNG Mgodi wa Biharamulo StamiGold tumepokea Umeme na hasara ya Mafuta zaidi ya billion 1.2 yaliyokuwa yanatumika mgodini...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa...
9 Reactions
62 Replies
4K Views
MKUU wa Wilaya ya Morogoro,Rebeca Nsemwa,amejikuta akipokelewa na Mabango pamoja na vilio kutoka kwa wananchi wa Vijiji vya Dalla tarafa ya Bwakira na Mbwade tarafa ya Mvuha katika Halmashauri ya...
1 Reactions
146 Replies
13K Views
Dar es Salaam. Mwandishi wa Habari Mkuu wa Gazeti la Mwananchi, Elias Msuya ameshauri Serikali kutazama upya msimamo wake kuhusu zuio la uraia pacha, akisema uraia pacha utasaidia kufungua milango...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo,
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom